Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Zitto Zuberi Kabwe aliwahi kufungiwa miezi minne na bunge kwa kupigia kelele mikataba mibovu ya madini hasa Buzwagi!
Wakati huo bunge lenye wabunge wengi wa CCM walimuondosha bila huruma,akaenda kufanya mikutano kuwaeleza wananchi,tukamuelewa na kumuunga mkono!
Leo watu hao hao ndio wanajifanya kujivika uzalendo na kusahau waliyotenda nyuma!
Hata vijana wa lumumba nao wanajisahaulisha na kuhamisha magoli!