robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Zitto miaka yote alikuwa mtu mwenye mdomo mrefu lakini aliishi kwa kuachiwa jimbo kwa urafiki binafsi na Kikwete, ambaye 2010 alishindwa hata kufanya kampeni za CCM ndani ya jimbo la Zitto. Alipoingia JPM Zitto akajionesha mtu wa kujua uchumi sana! Ajabu ameingia Samia zitto ni ziiiii! Kimyaaa!
Tunachokiona ni kutafuta huruma apendelewe katika siasa na hasa kwa tabia yake ya kutanguliza u-dini ktk siasa. Ni mtu anayelazimisha urafiki na Samia kwa gharama ya wansiasa wenzake ili aonekane ana busara.