Zitto alibaki katika siasa kwa upendeleo na sasa anawinda upendeleo

robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
484
1,000
Zitto miaka yote alikuwa mtu mwenye mdomo mrefu lakini aliishi kwa kuachiwa jimbo kwa urafiki binafsi na Kikwete, ambaye 2010 alishindwa hata kufanya kampeni za CCM ndani ya jimbo la Zitto. Alipoingia JPM Zitto akajionesha mtu wa kujua uchumi sana! Ajabu ameingia Samia zitto ni ziiiii! Kimyaaa!

Tunachokiona ni kutafuta huruma apendelewe katika siasa na hasa kwa tabia yake ya kutanguliza u-dini ktk siasa. Ni mtu anayelazimisha urafiki na Samia kwa gharama ya wansiasa wenzake ili aonekane ana busara.
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,471
2,000
Siasa za hivi hazina afya.

Badala ya kutafuta kuungwa mkono na kila mdau nyie mnajaribu kuwafukuza mbali wadau wanaoweza kuuunganisha nguvu kupigania mnachotaka.
 

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,715
2,000
Kwa namna ya hoja zinavyokaa hakika CCM mna kazi kujivika Uchadema ili kuhalalisha hoja ziungwe mkono
 

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,678
2,000
Kwa namna ya hoja zinavyokaa hakika CCM mna kazi kujivika Uchadema ili kuhalalisha hoja ziungwe mkono

Kuna mwingine anajiita USSR kaja uzi wenye maudhui kama haya haya, na reference zake za cdm za ugomvi wao huko nyuma. Kwa bahati hawajui tunaweza kutofautisha ugomvi wa Zito wa zamani, na hiki kinachoendelea hivi sasa. Leo kuna hoja kaanzisha Zito dhidi vya serikali Samia, sasa wanajitokeza kutupumbaza tusione hoja za leo za Zito, bali tumuone kwa hizo angle nyingine.
 

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,004
2,000
Hawa ndo walikuwa wakosoaji wakubwa sasa wameridhika? Ni udini tu unamsumbua huyu kijana wa sura ya granite.
 

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,004
2,000
Hawa ndo walikuwa wakosoaji wakubwa sasa wameridhika? Ni udini tu unamsumbua huyu kijana wa sura ya granite.
 

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,453
2,000
Kuna thread zinaanzishwa tunazichukulia powa, lakini kumbe kuna undani wa kutusaidia. Yaani sasa Zitto anawasiliana na CCM? Siyo mwanasiasa huyu. Fake creature!
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,560
2,000
Kuna thread zinaanzishwa tunazichukulia powa, lakini kumbe kuna undani wa kutusaidia. Yaani sasa Zitto anawasiliana na CCM? Siyo mwanasiasa huyu. Fake creature!
Mbowe, Lisu nk mlipokuwa mkienda kunywa Chai ikulu na mwenyekiti wa CCM taifa Kikwete mlikuwa fake creature?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom