Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Pole sana Muheshimiwa,Tunakuombea upate nafuu mapema ili urudi Bungeni kuwatetea Watanzania,Tunafuatilia kwa ukaribu maendeleo ya afya yako...
 
Pole Mkuu Zitto, Mungu akujaliye afya njema.....tupo pamoja katika sala.
 
Hakika Mungu Ni Mwema Zitto You Will Be Fine Soon.

Mungu Ni Mwema Pia Hata Kwa Nyani Ngabu Na Mama Hope Mtaacha Malumbano, Kejeli Na Matusi Kwenye Thread Hii Muhimu.

Jifunzeni Kwa Invisible Kuwa Ni Vyema Kuficha Upumbavu Wako Kuliko Kuficha Kekima Zenu
 
Natuma salamu za pole kwa kijana mwenzetu mheshimiwa Zitto.

Mheshimiwa kijana mwenzetu Zitito sasa anahitaji "personal trainer" wa kuhakikisha anakuwa "physically fit" na kupata muda mzuri wa kupumzika hasa pale anapojiandaa na vikao muhimu kama hiki cha madini.

Kwa kuwa bado mheshimiwa ni kijana bado ana muda wa kuweza kuepuka magonjwa ya kujitakia kama vile BP na kiharusi pamoja na "obesity".

Pia namshauri kwamba ajiunge na jarida la Men's Health ili apate subscriptions ambazo zitampa mawaidha ya namna ya kujiangalia afya yake for the rest of his life.

Haya mengine ya unga na kadhalika ni sisi kumwombe kijana mwenzetu ambae ana majukumu mazito tena ya kukabiliana na "vigogo" katika ulingo wa siasa za kiafrika.

Mheshimiwa Zitto ni vitu viwili tu vya kuangalia katika afya yako, unene na uzito!
 
Rich, kuna tofauti gani kati ya UNENE na UZITO? nilidhani hivyo havitenganishwi meaning ukiwa mnene lazima utakuwa mzito.
 
Rich, kuna tofauti gani kati ya UNENE na UZITO? nilidhani hivyo havitenganishwi meaning ukiwa mnene lazima utakuwa mzito.

Unajua kwamba unaweza kuwa mnene na si mzito? Yaani una mwili umejaa lakini bado ni mwepesi au...
 
Pole mheshimiwa, tunakuombea upate nafuu haraka na uondokane na hiyo mitihani ya dunia.

Na wanaorushiana "Vijembe" katika hii thread wakati mwingine mfikiri, hivi angekuwa anayeugua ni mwanao, Kaka, Mjomba nk, ukapata nafasi ya kuingia humu ungeanza kuandika mambo ya ajabu ama ungekuwa unamuombea apone haraka. But, ALL ARE VANGARIES OF LIFE!
 
Zitto,
Nakuombea uzima mkuu upate kupona tumkome nyani gledi!..
Duh, yaani wakati huu wa issue ya madini ndio ugonjwa una strike!...Meeen, wakati mwingine unaweza kufuru!
 
ACHA HIZO BANA HUYU MTU NI MZIMA...!

Ni matatizo tu kidogo kama mwanadamu wa kawaida mwenye kupitia SURUBA!

SEMA MUNGU AMPONYE NA SI AMPUMZISHE!

HUU UCHURO SASA HUU!

kwani kumuombea kupumzika kwa amani ni kosa ? u unataka niseme apumzike kwa shida?
 
Mambo vipi jmushi ? Habari za kwa bushi zinasema je ?

Mwulize JK alikutana naye huko Ujepu na bado atakutana naye mwezi AUGUST ila ni Baada ya Mkamapssxcuse me...MKAPA MAP'S DESTRUCTION HENCE JUSTICE!

Make sense?
 
Hiyo siijui kwa kweli! naomba hiyo recipe au inapatikana wapi niitafute?

Sasa nijuavyo mimi unene au "obesity" ni pale ambapo mtu anakuwa na excess fat mwilini hasa sehemu izungukayo kiunoni na hivyo kusababisha pamoja na magonjwa mengine "diabetes".

Na uzito au "overweight" ni pale ambapo BMI au Body Mass Index ya mtu inazidi 25 au mpaka 29.

Sijui umenifahamu hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom