Zitto akosa sympathy za kutosha baada ya kufikishwa mahakamani.

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Kwa nini inaonekana Zitto hapati sympathy kubwa kutoka kwa wananchi (hata humu ndani JF) kutokana na kufikishwa kwake mahakamani? Hii ni dalili ya kuwa nyota yange yaanza kufifia kutokana na kauli zake za utata za hivi karibuni?

Jee wanaChadema in particular wameanza kum-shiti na kuamini ni kweli anatumiwa na watu wanaotaka chama hicho kivurugike?

Tusisahau kwamba nyota ya kijana huyu iling'aa sana baada ya kutimuliwa Bungeni mwaka 2006 kuhusu suala la Buzwagi. Inawezekana alijisikia sana na hivyo kuanza kufikiria makubwa na kutaka kupiga hatua kubwa kuliko uwezo wake?
 
Ingekuwa vyema kama unge muuliza kwanza ni watu wangapi na akina nani amepata sympathy toka kwao. Unacho-present hapa ni fikira zako, huna uhakika. Muulize basi then lete data kamili.
 
Sina hakika na maoni yako, maana yamekaa kama swali lakini umeweka na najibu yanayotikana na unachoamini. Jambo moja ambalo lazima tujiulize, ni kwa maslahi ya nani? Taifa, Chadema, CCM au nani? Nadhani lazima tuwe makini sana kwa maneno yetu, inaweza kuwa usimsaidie mtu ama kikundi unachokipenda na hili naamini halina maslahi kwa yeyote zaidi ya kutuondoa Watanzania kwenye issue za msingi.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwa nini inaonekana Zitto hapati sympathy kubwa kutoka kwa wananchi (hata humu ndani JF) kutokana na kufikishwa kwake mahakamani? Hii ni dalili ya kuwa nyota yange yaanza kufifia kutokana na kauli zake za utata za hivi karibuni?

Jee wanaChadema in particular wameanza kum-shiti na kuamini ni kweli anatumiwa na watu wanaotaka chama hicho kivurugike?

Tusisahau kwamba nyota ya kijana huyu iling'aa sana baada ya kutimuliwa Bungeni mwaka 2006 kuhusu suala la Buzwagi. Inawezekana alijisikia sana na hivyo kuanza kufikiria makubwa na kutaka kupiga hatua kubwa kuliko uwezo wake?
That is the truth, i think it was a pre-planned movement, i doubt even its postponement to after bunge they are waiting to see what will happen, if will be kicked out then the judgment follows to draw more sympathy on him. .
 
Kwa nini inaonekana Zitto hapati sympathy kubwa kutoka kwa wananchi (hata humu ndani JF) kutokana na kufikishwa kwake mahakamani? Hii ni dalili ya kuwa nyota yange yaanza kufifia kutokana na kauli zake za utata za hivi karibuni?

Jee wanaChadema in particular wameanza kum-shiti na kuamini ni kweli anatumiwa na watu wanaotaka chama hicho kivurugike?

Tusisahau kwamba nyota ya kijana huyu iling'aa sana baada ya kutimuliwa Bungeni mwaka 2006 kuhusu suala la Buzwagi. Inawezekana alijisikia sana na hivyo kuanza kufikiria makubwa na kutaka kupiga hatua kubwa kuliko uwezo wake?

unataka kusema kukamatwa kwake ilikuwa mind-game?
 
Kha Wajameni, binadamu huteleza.. mwacheni kijana wa watu ajipange upya aje amefunguka mwaka 2011 siasa ni kupanda na kuteleza na kuporomoka vilevile!
 
Back
Top Bottom