Kauli kama hii hutolewa na aliyeishiwa hoja kama wewe.Inategemea ni aina ipi ya sifa imetolewa, na kwa jambo lipi.
Wanaopenda "blanket statement" ni wale wasiokuwa objective. Wanaamini kuwa mtu au kitu kinaweza kuwa sahihi muda wote na katika kila namna. Hawaamini kuwa mtu anaweza kuwa sawa muda huu na baadaye au kesho akatenda jambo baya. Wanaamini mtu ana uwezo wa kuwa "mwema" kwa kila jambo.Kauli kama hii hutolewa na aliyeishiwa hoja kama wewe.
HUO ndiyo ujinga mwingine mnaouendeka vijana wa BAVICHA , eti kwa sababu Mbowe alimfundisha siasa Zitto, basi atamzidi kila siku. Na mwalimu wa CHATO aliyemfundisha Magufuli maye yuko juu kuliko Magufuli? Nyie akili zenu mnazijua wenyewe na vilaza wenu wa UFIPAYaani na wewe unamlinganisha Zito na Mbowe?
Mbowe ndiye alimfanya Zito kwenye siasa za Tanzanai. Sasa huyo Zito kuna nn cha maana amefanya cha kumlinganisha na Mbowe.
Zito badala ya kulea wanasiasa kama Mbowe alivyomlea anakazana kuwapoteza wenzake tu kama kina Machange. Zito ni empty tin
Kwa nini Magufuli sasa hivi hampongezi Mbowe, can you tell?Ni mwendawazimu tu atakayekashifu ziara ya rais jimboni kwake na kuzindua miradi. Nakumbuka hata Mbowe alishamsifia sana Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi alipotembelea jimbo la hai. Hata Magufuli alimpongea Mbowe. Hiyo ndiyo siasa siyo mayoye kama ya akina Lissu na Mdee
Maneno mengi ulichokiandika hakina uhusiano wowote na mada iliyopo. Baada ya Viroba kupigwa marufuku Vijana wa BVICHA mmepata arosto vichwani wenu.Wanaopenda "blanket statement" ni wale wasiokuwa objective. Wanaamini kuwa mtu au kitu kinaweza kuwa sahihi muda wote na katika kila namna. Hawaamini kuwa mtu anaweza kuwa sawa muda huu na baadaye au kesho akatenda jambo baya. Wanaamini mtu ana uwezo wa kuwa "mwema" kwa kila jambo.
Watu hao ni kama ninyi na Mfalme wenu asiyepangiwa. Hamuamini kama anaweza kukosea.
Mimi naamini kuisifia serikali na kumsifia kiongozi inawezekana maana lazima yapo mazuri ya kusifiwa. Hali kadhalika yapo MABAYA yasiyostahili kusifiwa, bali kukosolewa hata "kupondwa" kabisa. Na kwa mantiki hiyo, yeyote anayesifia, awe Mbowe, Lissu, Zitto, au hata wewe lazima mwenye akili timamu za kawaida kabisa ajiulize, "je hizi sifa zilistahili mahali hapa au la"?
Bahati mbaya, wewe inawezekana si miongoni mwa hao wenye uwezo wa kujizuia na kujiuliza swali hilo, and that's a pity.
Ampongeze kwa lipi? Wamekutana wapi? Kwani Zitto amempongezea ikulu? Pongezi haiombwi. Shirikisha ubongo wako kabla hujainua vidole kuandika.Kwa nini Magufuli sasa hivi hampongezi Mbowe, can you tell?
Zitto ni mbowe watano.Yaani na wewe unamlinganisha Zito na Mbowe?
Mbowe ndiye alimfanya Zito kwenye siasa za Tanzanai. Sasa huyo Zito kuna nn cha maana amefanya cha kumlinganisha na Mbowe.
Zito badala ya kulea wanasiasa kama Mbowe alivyomlea anakazana kuwapoteza wenzake tu kama kina Machange. Zito ni empty tin
Umemaliza kazi.Zitto ni mbowe watano.
je we ulichokiandika hapa kina husiana vipi na ilichopo jukwaaniManeno mengi ulichokiandika hakina uhusiano wowote na mada iliyopo. Baada ya Viroba kupigwa marufuku Vijana wa BVICHA mmepata arosto vichwani wenu.
Mwenye ubongo huyo!!Ampongeze kwa lipi? Wamekutana wapi? Kwani Zitto amempongezea ikulu? Pongezi haiombwi. Shirikisha ubongo wako kabla hujainua vidole kuandika.