Zimbabwe nao walianza mchezo kama huo. Watanzania wanapenda amani but hivi vyombo vya dola vinavyomilikiwa na familia ya JK ndiyo wanataka kutuletea tabu. Hiyo amani ya Tanzania siku moja itakuwa historia........"Hapo zamani za kale Tanzania ilikuwa ni nchi..............."
Hawa watu lazima tuwawajibishe kwa maslahi ya Taifa. Hakuna cha usalama wa Taifa wala mavi......Watanzania tunajua nguvu zetu zilipo. Hizi movie tumeziona huko Arusha, Ubungo, Nyamagana lakini hatimaye.........nguvu ya umma ilisimama.
Tehe tehe...!hapo ndipo.hatuwezi kuibadilisha 1+1=2 kuwa 11.ukweli husimama kivyake siku zote tatizo wa-tz hawapendi kuambiwa ukweli.Dkt Slaa yeye aende mbele>mahakamani >awaambie wahisani>Mwenyezi Mungu.tutajua mwisho wa siku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.