Elections 2010 Zitto akamatwa na polisi

Ile issue ya mabomu na risasi za moto ni soo.
Polisi lazima wamwambie akanushe ili kuua soo
 
Zimbabwe nao walianza mchezo kama huo. Watanzania wanapenda amani but hivi vyombo vya dola vinavyomilikiwa na familia ya JK ndiyo wanataka kutuletea tabu. Hiyo amani ya Tanzania siku moja itakuwa historia........"Hapo zamani za kale Tanzania ilikuwa ni nchi..............."

Hawa watu lazima tuwawajibishe kwa maslahi ya Taifa. Hakuna cha usalama wa Taifa wala mavi......Watanzania tunajua nguvu zetu zilipo. Hizi movie tumeziona huko Arusha, Ubungo, Nyamagana lakini hatimaye.........nguvu ya umma ilisimama.
 
Tehe tehe...!hapo ndipo.hatuwezi kuibadilisha 1+1=2 kuwa 11.ukweli husimama kivyake siku zote tatizo wa-tz hawapendi kuambiwa ukweli.Dkt Slaa yeye aende mbele>mahakamani >awaambie wahisani>Mwenyezi Mungu.tutajua mwisho wa siku.
 
Wanajaribisha pa kushikilia wanakosa...Ujinga tu, hawatafuti source ya matatizo, wanakimbilia kwenye kusuppress outcome..shit!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom