AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,501
- 184
Uzushi mtupu
posible ;but dought in everthing y now y today y y y y
Uzushi mtupu
CAF walimtimua Jidawi lakina akaendelea kula pesa za bunge hadi msimu wake ulipokwisha sembuse huyo Mwepesi!
Tatizo hapo ni Zito kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2015 kwana watu wanaoendekeza udini na ukabila hawataki kabisa wengine wajinadi!
Atteeeeeeention!!!!! Zitto naomba uyajibu haya ya Mwanahalisi, tujue kulia ni wapi kushoto ni wapi. Na kama kuna visasi na Antony Komu utuambie ndg yangu, kwa mustakbali wa chama na Taifa in general. Isijekuwa ndiyo Mwanahalisi inafanya agenda ya siri kuivuruga CHADEMA! Nina mashaka.
CAF walimtimua Jidawi lakina akaendelea kula pesa za bunge hadi msimu wake ulipokwisha sembuse huyo Mwepesi!
Tatizo hapo ni Zito kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2015 kwana watu wanaoendekeza udini na ukabila hawataki kabisa wengine wajinadi!
Kwa nini Waberoya unapenda sana kuwa popo?Some chadema fans never cease to amaze me!!
kwa akili yako ndogo mleta maada humu, hakuna mwenye uwezo wa kumtimua Zitto ndani ya chadema huyo hayupo!!!! hata wakae kikao na Mtei deliberately wamtimue hakuna!!!! unapoandika maada kama hizi uwe mwangalifu sana
Halafu kumbuka childish ideas kwenye siasa ni kujitukana, hujasema zito amekosea kitu gani na kwa nini afukuzwe! kama ni kutoenda bungeni walikuwa wengi tu hawakwenda bungeni!!! hupo hapo??
Akina Mbowe na Slaa hawatamweza Zitto walishamkosea na kijana kafyatuka sasa! mtatumia wee magazeti ya tz daima na mwanahalisi hamtaweza!!! ukishukutana na mtu anajiita mwanaume anashindwa ku-mface Zito na kwenda gazetini, wakati mko chama kimoja na wote mna vyeo ni weakness!!!
chadema naona mmepania sana kujiimarisha kwa style ya kutafuta mchawi nani, kupigana na Cuf, to me I am curious, this makes you guys aidha vilaza wa siasa, au hamjui mnaongea nini, yaani mnachefua, unajiona ukija tu JF unaweza andika lolote, wenye akili wanawaangalia
Lissu hajasema swala la kufukuzwa ila vikasuku vimerukia na kujipa moyo, na mwingine anaanzisha maada iko digrresive!!! what a shame!!
Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar IIyas & then some Islams?
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na Omar Ilyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja wa mawaziri wa serikali, ambayo ilipona kupinduliwa. Na tumekuwa wote ndani ya bunge la UDSM-USRC
Mimi personally nimekuwa muwazi sana na mkweli katika kila kitu kinacholigusa taifa hili na hasa uhuru wa mawazo na maoni ambao umedhihirika kuwa watanzania wengi sio kuwa hawana, bali huwa wepesi sana kuamini mambo na ni waoga kuonekana wanapingana na hali iliyopo.
Mtazamo huu umenifanya nimpende Zitto na JF members wowote wale ambo huwa wanapenda kufikiria nje ya box, au another direction/angle. Zitto amekuwa akinifurahisha kwa kuleta changamoto za kuleta mawazo tofauti na kile ambacho wengi huwa wanafikiria.
Zitto ni kweli anapenda sifa, kama binadamu mwingine yeyote yule, ila unapotaka sifa kwa kusimamia haki na ukweli na hasa unapopigania haki basi sifa hii ni sifa timilifu na inapendeza. Omar Ilyas naye alikuwa mmoja wao wa wanaopenda sifa ila kwa sasa naona amekua kidogo, nadhani Salim A Salim amemkuza.
Si nia yangu niwaharibie hawa jamaa , ila ni hali yangu kueleza ninachowaza baada ya kuwafuatilia hawa watu tangu enzi hizo. Sijajua status ya Omar Ilyas kwenye issue nzima za udini, siwezi kumtuhumu, personally nimemuona ni mtu mzuri tu na anayependa wote pasi kujali udini ila bado ni rafiki wa Zitto!
Tuendelee: Role model wa Zitto ni Salim A. Salim, rais bora kwake yeye ni Kikwete, MD bora aliyewahi kumsema yeye ni Rashid Idrisa yule wa TANESCO.
Tie, cord, umoja, Urafiki wa Zitto, Ridhwan, Omar Ilyas ni mkubwa sana kuliko maelezo, hili group lililotaka kuipindua serikali ya Kayombo-DARUSO, ili wao wapate madaraka si tu ni la hatari bali la kuangaliwa sana. Ridhwan amekuwa akijitetea sana yeye anataka ku-practise sheria hili hali kutaka uongozi amekuwa akitamani tangu siku nyingi sana.
Ukiwa rafiki na Ridhwan umekuwa rafiki wa Kikwete!!! Huwezi kuwa adui wa JK ukawa rafiki wa Ridhwan, JK si tu anampenda Ridhwan kama motto, bali kama mwanaCCM mwenzie aliye tayari kulinda interest zao.
Si ajabu Zitto kuwa alikuwa mmoja wa wanakamati ya bunge ya kuchunguza madini, maana JK anampenda Zitto, ambaye ni rafiki wa Ridhwan!
Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE' na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi.
Kilichonifanya nijiulize je what makes Zitto na JK kuwa marafiki? Je Zitto na JK walikuwa wanajuana kabla ya JK kuwa rais? Definitely Yes!
Je swali gumu na baya ambalo halina ushahidi ni je Zitto kuwa inclined kwa JK, Salim na kuwapenda baadhi ya viongozi wa kiislam je ni mdini?..........I mean chunguzeni hili. May be not! Kindly don't conclude! What Salim teaches Zito?? Salim is CCM, is Salim and JK close friends? Cause Ommy and Zitto are close friends, Ooh! Ommy ni personal assistant wa Salim, Nauliza Kama Ridh, Zitto, Ommy ni marafiki then Salim and JK ni maadui? Find out please. However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni
Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly?
Au ni kuwa ni great thinker ambaye anaishi kwa falsafa zake ambazo hatuzijui! Je mnafikiri Zitto kuwaambia waandishi wa habari yaliyojiri ndani ya chadema alikuwa hajui watu watamrudi? Who is greater to him? JK, wananchi wake Kigoma, mali au?
I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence. But we should examine him carefully and not judge him. Nimegusia tu swala la uislam maana mpaka leo kuna baadhi ya waislamu wanaofikiri kuwa wanaiweza kuigawa nchi hii kidini, na kuna wakristo wanaofikiri wanaweza kuigawa nchi hii kidini.
That's bringing another bitter question how far do we believe these opposition leaders? I mean all!
That said, I am just thinking
Kabla ya Chadema kumtimua/kimsimamisha uanachama Zitto kutokana na kutoendana na malengo ya chama, ingefaa chama hicho kifanye tathmini ya kutosha katika namna ya kumtimua. Bila shaka uongozi wa juu wa Chadema inafahamu nguvu za Zitto zinatoka wapi -- ni kutoka kwa mafisadi ambao wako tayari (kutokana na fedha) kuvishawishi vyombo na mamlka nyingine za serikali kumlinda.
Halafu pia kwa bahati mbaya kuna suala la udini, ambalo Zitto kesha onyesha kwamba huenda atalitumia -- kwamba anatimuliwa kutokana na dini yake -- ingawa hii haiwezi kuwa na mashiko sana pamoja na kwamba yeye ataitumia sana.
Chadema waangalie historia ambayo inaweza kuwaongoza: waangalie jinsi CUF ilivyokuwa inahaha kumtimua mwenyekiti wao wa kwanza James Mapalala. Iangalie jinsi hao hao CUF walivyokwama kuwafukuza Wabunge wao wawili wa viti maalum katika Bunge la 2000-2005 ambapo pamoja na kwamba CUF iliwafukuza uanachama hivyo kupoteza haki yao ya kuwa wabunge, Msekwa, wakati huo Spika, alikataa akasema bado ni wabunge --eti utaratibu hauklufuatwa na upuuzi mwingine etc etc!
Halafu kuna ile lesson ya marehemu Chacha Wangwe, ambayo viongozi wa Chadema lazima waliangalie, hasa kutokana na wabaya wao katika chama tawala walivyokuwa wakijaribu kuwasukumia kwamba wao (viongozi wa Chadema) ndiyo walihusika katika kifo chake eti tu kwa sababu Wangwe alikuwa amepanga kujitoa chamani!
Inawezekana kwa Mapalala, CUF hawakuwa na taabu sana kumtimua, kwa sababu hakuwa Mbunge. Kwa Mbunge kama Zitto (na kama ilivyokuwa kwa wale wa viti maalum wa CUF) inaweza ikawa shughuli nzito kwa Chadema. Bunge (kwa kutumia uwingi wa wabunge wa CCM ndani yake) linaweza kukwamisha kufukuzwa kwa Zitto kwa kisingizio eti kakakat rufaa (bila shaka atakata rufaa mahakamani) etc etc.
Mimi naona kwanza Viongozi wa Chadema wangemsihi ajitoe mwenyewe ajiunge na CCM au chama kingine bila kuleta purukushani kubwa. Kupoteza Mbunge mmoja kwa Chadema si hasara kubwa, hasa Mbunge huyo anaonekana kuwa anakisaliti chama na sera zake.
Akikata basi waanze kumtenga polepole katika vikao vya juu vya chama, asiwe anaalikwa hadi yeye mwenyewe ajihisi kwamba hatakiwi. Nadhani hiyo ndiyo njia sahihi na pekee.
Nawasilisha.
CCM hawakuwatimua akina sitta, mwakyembe na wengine nyie mnataka kumtimua zitto? demokrasia ndani ya chadema ni changa mno. mkimtimua zitto mtakuwa ndio mmejimaliza.
CHAMA CJA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KIMEFIKIA MAAMUZI YA KUMFUKUZA CHAMANI NAIBU KATIBU MKUU WAKE ZITTO ZUBERI KABWE KUTOKANA NA TABIA YAKE YA KIFISADI NA TAMAA ZA HELA CHAFU ZA MAFISADI.TAARIFA HII IMELETWA KWANGU NA KIGOGO MMOJA WA CHAMA AMBAYE YUKO KWENYE KIKAO KINACHOENDELEA SASA CHA KUJADILI MWENENDO WA WABUNGE WAPYA,UONGOZI WA CHAMA NA TATHMINI YA UCHAGUZI WA URAISI KILICHOANZA JANA,SIJAAMBIWA KINAFANYIKIA WAPI.
MJUZAJI AMENIAMBIA KUWA WAKATI WANAJADILIANA ISSUE YA MWENENDO WA WABUNGE ILIBIDI WAMTOE NJE NAIBU KATIBU MKUU HUYO KWA KUWA AJENDA HII ILIMHUSU SANA YEYE KAMA KIONGOZI WA WABUNGE WASIO NA MAADILI NA WASIOHESHIMU VIONGOZI WAO.BAADA YA KUTOKA HUKU AKISONYA KUONYESHA DHARAU KUBWA MKUU MMOJA ALISEMA HAMNA HAJA YA KUTOKA AKAE NA ASIKIE MAAMUZI YETU KWA UWAZI.
BAADA YA ZITTO KUKAA TENA KWENYE KITI CHAKE NDIPO MMOJA WA WAJUMBE AKASEMA ZAIDI YA DHARAU NA MAKOSA YOTE ALIYOFANYA ZITTO KITENDO CHA KUTUSONYA WOTE HAPA NI DHARAU KUBWA NA NAOMBA TUPIGE KURA YA KUMFUKUZA NDANI YA CHAMA ,WAJUMBE WOTE WALISHANGILIA NA MWENYEKITI ALIPOULIZA WANGAPI WANASEMA ZITTO AFUKUZWE WOTE WALISIMAMA WAKISHANGILIA NA KUSEMA KIWAVI JESHI KIFUKUZWE.
LAKINI KWA UPANDE MWINGINE ZIITO HAKUONYESHA KUSHTUSHWA NA HALI HIYO NA BADALA YAKE ALINYANYUKA NA KUSEMA ATAENDA MAHAKAMANI NA HUKO NDIO WATAKAPOKUTANA.
VIONGOZI HAO WAMEKUBALIANA MMOJA WAO ALIYETANGAZA KUPEWA BARUA YA ONYO ATAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI BADAE LEO KUTANGAZ TERMINATION YA ZITTO CHAMANI NAAMINI ATAKUWA AMEPOTEZA UBUNGE WAKE PIA
CHAMA KINAKUA HAYAKWEPEKI HAYA
hii ni tetesi kutoka kwa mtu wa kuaminika CHADEMA.
"edwin mtei tayari alishaanza kufikiri jinsi ya kupata sehemu yake,kurudisha heshima yake iliyopotea kama moja ya wasomi wa wakati huo lakini pia kumuonyesha mwalimu kwamba alifanya kosa kumsimamisha kazi.bahati haikuwa yake mapema na lilmpasa kusubiri kwa miaka takribani 13 hadi mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa huku mfumo wa kibepari ambao mtei amekuwa moja ya makuwadi wake akiwa imf ukishika mizizi na jamii nyingi za kikomunisti za wakati huo zikirudi kwenye ubepari.katika yote hayo ndoto yake ilikuwa inaendelea."lazima niwaadabishe nyerere na wote waliomsapoti".tukumbuke kuwa ilikuwa ngumu hata kwa lilian mbowe ambaye alisoma chuo kikuu cha maryland kupata kazi tanzania wakati huo.yote haya yalimzidishia edwin mtei uchungu huku akiamini kuwa familia yake ilikuwa na haki zaidi kuliko nyingine.kwa hiyo mwaka 1992 ulipofika chadema ikasajiliwa moja kwa moja.(ndugu,jiulize utaratibu wote uliandaliwa lini,kwa nani na kwa faida ya nani?).kushiriki siasa kwa edwin mtei huku nyerere akiwa hai halikuwa jambo la busara sana,mzee huyu (ambaye kwa aina ya masterplan yake) naamini kwamba ni mwerevu sana akamuweka bob makani,huyu alipaswa kukipasha kiti moto kwa muda kabla freeman mbowe ambaye amemuoa lilian mtei (mtoto wa mtei) kukabidhiwa mikoba ya kuendeleza plan yake." mwisho wa kunukuu
Some chadema fans never cease to amaze me!!
kwa akili yako ndogo mleta maada humu, hakuna mwenye uwezo wa kumtimua Zitto ndani ya chadema huyo hayupo!!!! hata wakae kikao na Mtei deliberately wamtimue hakuna!!!! unapoandika maada kama hizi uwe mwangalifu sana
Halafu kumbuka childish ideas kwenye siasa ni kujitukana, hujasema zito amekosea kitu gani na kwa nini afukuzwe! kama ni kutoenda bungeni walikuwa wengi tu hawakwenda bungeni!!! hupo hapo??
Akina Mbowe na Slaa hawatamweza Zitto walishamkosea na kijana kafyatuka sasa! mtatumia wee magazeti ya tz daima na mwanahalisi hamtaweza!!! ukishukutana na mtu anajiita mwanaume anashindwa ku-mface Zito na kwenda gazetini, wakati mko chama kimoja na wote mna vyeo ni weakness!!!
chadema naona mmepania sana kujiimarisha kwa style ya kutafuta mchawi nani, kupigana na Cuf, to me I am curious, this makes you guys aidha vilaza wa siasa, au hamjui mnaongea nini, yaani mnachefua, unajiona ukija tu JF unaweza andika lolote, wenye akili wanawaangalia
Lissu hajasema swala la kufukuzwa ila vikasuku vimerukia na kujipa moyo, na mwingine anaanzisha maada iko digrresive!!! what a shame!!
Tutawafukuza wote wanaotumiwa kukipa uamaarufu chama pale itakapoonekana hawana tena umuhimu tena hiki chama kina agenda zake kingechukua nchi mgeona ila kwasasa inawekwa kiporo.