Zitto aibuka na mbinu ya kuing’oa CCM

Huko nje ndio huko rais anatumia madaraka yake kuagiza vyombo viwahujumu wapinzani, na kwenye box la kura tunaona uhayawani wa wazi dhidi ya wapinzani ili ccm watangazwe washindi. Kwa maneno marahisi ccm haiko madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa mabavu ya vyombo vya dola.
Endelea kuota, sina tatizo na hilo.
 
Ngumu sana kuitoa CCM madarakani..

Jamaa anatuumiza sana lakini heri anatuumiza na tunaona mambo yanafanyika..

Binafsi natamani huyo Mzee aendelee mpaka 2025 na hapo asitake kujiongezea muda..

The guy anaboa sana ila kusema kweli ANACHAPA KAZI.
 
Duh! Dunia ina maajabu, Mbunge ambaye Chama chake kina Mbunge mmoja anaongelea kukiondoa Madarakani Chama chenye Wabunge zaidi ya 200? Hivi tofauti ya Zito Kabwe na act yake na Cheyo na UDP yake ni ipi? Mimi nafikiri angejali kwanza kutetea kiti chake cha Ubunge kwa maana hata kama atarudi Bungeni, sijui.

Dunia ina maajabu sana huyu mtanzania anayemsema Zitto mfukoni na bank ana miliki milion moja lkn malengo yake ni kuwa na million mia tano leo anamshangaa Zitto kwa ku dream na kufata ndoto zake ila yeye za kwake hataki tujadili!!! Elimu, Elimu, Elimu!
 
The guy is a puppet, simple and clear, you can see right through his manipulative words! Saying half-truths while carefully covering for his boss.

I don't respect people like that.
 
Kuna Wehu na Wendawazimu wanaamini ACT Wazalendo eti imedhamiria kuitoa Ccm madarakani

Uchaguzi wa mwakani ni wa kuchagua Chama kikuu cha Upinzani kati ya Chadema na ACT Wazalendo sio kuitoa Ccm madarakani
 
tukiwa na pesa mingi kila kiwe bureeee
... ujamaa pls come back.. we miss you
Inadaiwa kwamba hivi sasa makusanyo ya kodi ni makubwa kuliko hapo kabla, lakini jambo la kushangaza kwenye hospitali kubwa za Serikali tunalazimishwa kulipia huduma pamoja maiti wetu.
Kwakweli katika hilo ni lazima tuelewane
 
Back
Top Bottom