Mnh nahisi jamii forum imeingiliwa inawezekana baadhi ya wachangiaji mfano mwita na rejeo ni wazee (wa akili na mawazo) ndio maana wanashabikia CCM ila lazima wajue kuwa wanashangilia kifo chao maana baada yamiaka 20 kama bado CCM itaendelea kuwepo basi hata jina la TZ Watakuwa wameshaliuza na hatutakuwa na identity tena (fungukeni jamani)