Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 645
- 260
Last edited by a moderator:
mbona amechelewa sana kwenda igunga
je Rage aliwai?Mbona amechelewa sana kwenda Igunga
Better late than NEVER!lakini kafunika
chelewa ufike
au ndio mumeo kakutuma kusema haya
Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.
angalia kWANZA.YouTube - Broadcast Yourself.Mbona amechelewa sana kwenda Igunga
Mkuu mbona siamini amini hivi ni kweli au? Aisee natamani nije huko igunga, mbona raha jamani hadi 'masaburi' yangu yanawasha kwa jinsi yalivyohamasika. Mbona mwafaidiiiiiiii!!!!!!!!!!
huyu hapa!!! comical allyHuna tofauti na yule waziri wa saddam hussein.. nchi ishachukuliwa anasema bado tutawamaliza kama sisimizi, Poor you
Mkuu mbona siamini amini hivi ni kweli au? Aisee natamani nije huko igunga, mbona raha jamani hadi 'masaburi' yangu yanawasha kwa jinsi yalivyohamasika. Mbona mwafaidiiiiiiii!!!!!!!!!!
huyu hapa!!! comical ally
Mbona amechelewa sana kwenda Igunga
Huo ni uwongo, hapa Igunga ZITO hana ubavu wa kufunika wala CDM haina lolote zaidi ya kufanya fujo za kitoto ambapo wapiga kura titaipiga chini CDM