Zitto afunika Igunga

Nimeona ndugu. '' TUMEKUJA KUONGEZA NGUVU ILI KUHAKIKISHA USHINDI HUO UNAKUWA NI USHINDI MKUBWA AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA TANZANIA''..End of quote. CCM mbona mnalo mwaka huu
 
Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.
 
Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.

Huna tofauti na yule waziri wa saddam hussein.. nchi ishachukuliwa anasema bado tutawamaliza kama sisimizi, Poor you
 
Huna tofauti na yule waziri wa saddam hussein.. nchi ishachukuliwa anasema bado tutawamaliza kama sisimizi, Poor you
huyu hapa!!! comical ally
291697_172465046163975_120770791333401_359147_1118526925_s.jpg
 
Mkuu mbona siamini amini hivi ni kweli au? Aisee natamani nije huko igunga, mbona raha jamani hadi 'masaburi' yangu yanawasha kwa jinsi yalivyohamasika. Mbona mwafaidiiiiiiii!!!!!!!!!!

Unawashwa masaburi mpelekee Mataka akukune
 
Huo ni uwongo, hapa Igunga ZITO hana ubavu wa kufunika wala CDM haina lolote zaidi ya kufanya fujo za kitoto ambapo wapiga kura titaipiga chini CDM
 
ccm sijui wataificha wapi hii aibu. Jk nadhani anaweza kujifanya yeye hakuwepo wakati wanashindwa.

Nepi nadhani masabuli yanamwasha maana lazima apate tumbo la kuhara maana sijui kama watamwachia hicho cheo tena maana amesababisha matatitzo makubwa.

Itabidi yeye ndo avuliwe gamba baada ya uchaguzi huu!
 
Huo ni uwongo, hapa Igunga ZITO hana ubavu wa kufunika wala CDM haina lolote zaidi ya kufanya fujo za kitoto ambapo wapiga kura titaipiga chini CDM

Mheshimiwa unaishi Sudan nini?,manake haiwezekani ukawa hata huangalii TV au hujui kinachoendelea. Afu mi nahisi wewe,mwita,ritz,rejao mtakuwa wazee tu.Manake kijana yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM isipokua kama kuna maslahi fulani ya kifisadi anayoyapata.
 
Mbona amechelewa sana kwenda Igunga

Unafikiri ni wakurupukaji kama ccm?CDM imejipanga vizuri kila mtu na majukumu yake,Sio kama ccm kazi yao kubwa ni kuigiza comedy kila siku,mara ooh nyumba imechomwa barua ikabaki,oooh Mtandio ni hijabu Nyambafu kubalini matokeo nyie ni vichwa vya nazi.
 
Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.

Ni kweli kwa vichwa vya nazi kama wewe ni mziki mzito.
 
Back
Top Bottom