Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

Akili za kuambiwa, changanya na zako. Anza kujiuliza Zitto anapata wapi taarifa ya nana hiyo toka TISS. Unadhani ripoti kama anayo angeacha kuirusha kwenye mitandao ili ajipatie umaarufu zaidi? Upuuzi mtupu.

Inaonesha wee ni zuzu tu!
Hivi unafikiri wanaofanya kazi TISS ni malaika? Ujue kuwa walioko TISS Ni Watz wenzetu wengine Wana ndugu zao wako vyama pinzani akiwemo Zitto Kabwe! Sijui unachoshangaa ni nini Zitto kupata info toka TISS.. !!
Try to think big brother!
 
Hili Zitto aliingizwa famba. Hakuna namna JPM ashindwe na atashinda kwa kishindo ambacho ni cha kihistoria ...
hii haina tofauti na kushangilia ushindi wa masumbwi kwa bondia anayedai kashinda ilhali anapigana na mpinzani wake ambaye amefungwa mikono!

hivi Watanzania mnakwama wapi?
 
ZITO atapata wapi ripoti ya TISS hata rais mwenyewe hapewi, ripoti kama hiyo huwa wanapewa kamati ya watu sita tu
Umenichekesha sana Kiongozi...... nakumbuka nilisoma sehemu fulani wakidai kuwa China ikitokea jambo zito limeikumba nchi basi kuna watu 7 tu ndio hukaa na kufanya maamuzi kwa niaba ya 1.6 Billion people
 
Dunia haijawahi kuwa fair, hata US na demokrasia yao yote, matokeo ya kura ya Uraisi yanatangazwa baada ya kupitiwa na genge la watu wachache.Sio nguvu ya umma kama demokrasia inavyotaka.
 
Huyu zitto kuna siku atapigwa mawe kwa jinsi anavyoudhi kwa uzushi na uongo. Wenye kujua wanajua uchaguzi huru na haki kwa wapinzani wa ccm ni ule unatoa mwanya kwa ubeberu kuweza kuchezesha hila zao ili waweze kuweke uongozi wa kuendeleza na kulinda maslahi yao. Viongozi wenyewe ni hao vibaraka kina lissu zitto na wengine.
 
Ukweli tuseme Rais wetu ni mchapa kazi na ana nia nzuli tu ila kuna vitu vidogo ambovyo vinaweza kurekebishika hasa kwa upande wa democracy tumuunge mkono na tumuuombe mungu amuweke sawa ili Watanzania wote tumpende
Wapenda nchi hii wanatakiwa wamuombee huyu mtu afyekwe na corona
 
Kazi za TISS ni pamoja na hayo yote uliyoyataja na kuondoa vigingi vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi na taifa bila ya kufuata, kusubiri maelekezo au ruksa ya Rais na hata hao wanaolia kuwa serikali imewaumiza si kweli wameshughulikiwa na TISS bila serikali kuwa na habari. Usiwachezee TISS kazi zao ni ustawi wa Taifa.

TISS ni vikaragosi wa CCM tu!!
Kama TISS wangelifanya kazi zao kwa weledi TUSINGELIKUWA NA WATU WASIOJULIKANA NJI HII....!!
Nina hakika waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi zaidi ya 30, walio wapoteza Ben Saanane na Azory Gwanda leo wangelikuwa lupango....!
 
Huyu zitto kuna siku atapigwa mawe kwa jinsi anavyoudhi kwa uzushi na uongo. Wenye kujua wanajua uchaguzi huru na haki kwa wapinzani wa ccm ni ule unatoa mwanya kwa ubeberu kuweza kuchezesha hila zao ili waweze kuweke uongozi wa kuendeleza na kulinda maslahi yao. Viongozi wenyewe ni hao vibaraka kina lissu zitto na wengine.

Kinachotakiwa ni TISS kujitokeza nakupinga madai ya Zitto Kabwe Kama hayana Ukweli!!
Lakini wanapokaa kimya ni dhahiri shairi kuwa Kuna Ukweli katika hili.

Yawezekana Zitto ana Ukweli na anachosubiri ni TISS wakanuse halafu aweke Mambo hadharani!
Chesea Ruyagwa........Kuna watu walisha aga kwao buana!
 
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
TISS iko huru kabisa, lakini katika ujasusi anaefaidika ni yule aliyepo Madarakani. Ni kama vile unaishi nyumba chafu na chombo cha kufanya usafi kimetambua kuwa kuna nyumba chafu, Wanapokuja kutoa huduma nyumba isafishwe.

Nyumba inapo safishwa barabara na kuwa safi, anaefaidika ni anaekaa ndani ya nyumba muda huo. Hiyo huitwa the benefit of incumbance.
 
Kadanganye wapuuzi wenzako wa Lumumba St. TISS ya Tanzania haiko huru ndiyo maana iko KISIASA ZAIDI kuisaidia CCM iendelee kubaki Madarakani na siyo KIUSALAMA!
TISS(Tanzania Intelligence Security Services) ni kuangalia Usalama wa Nchi kwa ujumla wake(Watanzania wote na Serikali yao) na si kikundi cha Watawala wachache wa CCM!
 
Ujinga na kama si ujuha wa Zitto na timu yake.Hiyo ripoti ya TISS yeye ndiyo amekabidhiwa ? Haya maneno ni propoganda za kuzamani sana enzi za Nuhu na Yakobo.Inaonekana Membe atawaingiza mkenge vibaya mno.
 
Kadanganye wapuuzi wenzako wa Lumumba St. TISS ya Tanzania haiko huru ndiyo maana iko KISIASA ZAIDI kuisaidia CCM iendelee kubaki Madarakani na siyo KIUSALAMA!
TISS(Tanzania Intelligence Security Services) ni kuangalia Usalama wa Nchi kwa ujumla wake(Watanzania wote na Serikali yao) na si kikundi cha Watawala wachache wa CCM!

Naweza nikapoteza muda sababu ya uwezo wako wa kuelewa ni mdogo na ukashindwa kuelewa au MAPENZI YA UPINZANI YAMEKUZIDI.

Wao wanatakiwa wahakikishe nchi ni usalama, serikali ya nchi yao ni imara ili Serikali iweze kuwahudumuia wananchi wake.

Wao TISS wakIhakikisha iwe hivyo kama wanavyotakiwa na ni juukumu lao la kwanza. Ni nani anafaidika jukumu hilo likitekelezwa kwa ukamilifu?ni aliyeko madarakani.
Hata upinzani wa leo ungekuwa ndio chama tawala pia ndio upinzani ungefaidika. Sasa sijui nikwambie nini. TISS wasaidie chama cha Mbowe wakati sio Serikali ?.

JITAHIDI KUELEWA MAUDHUI YA MAJUKUMU.
 
Hakuna chama cha mbowe mkuu, uwe na adabu
 
"Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020".
Kiongozi umeamua kupotosha alichoandika Zitto ama ni kosa tu la kiuandishi?

"hawezi kushinda uchaguzi huru na haki". Hili halihitaji darubini hata ukifumba macho masikio yatasikia kelele za uchaguzi huru na haki kutoka kila kona. Hata polepole aliwahi kulipigia kelele jambo hilo, lakini alipogundua kwamba hakuna anae sikiliza aliamua kuungana nao kwenye ulaji.
 
80 Reactions
Reply
Back
Top Bottom