ZITO atapata wapi ripoti ya TISS hata rais mwenyewe hapewi, ripoti kama hiyo huwa wanapewa kamati ya watu sita tuZito anapenda kuongea uongo vile anajua wabongo niwatu wa kudakia hoja...wanaomjua hupuuza taarifa zake!!

Wewe mbona unachukia sana maendeleo
Tunafukua
Akili za kuambiwa, changanya na zako. Anza kujiuliza Zitto anapata wapi taarifa ya nana hiyo toka TISS. Unadhani ripoti kama anayo angeacha kuirusha kwenye mitandao ili ajipatie umaarufu zaidi? Upuuzi mtupu.
hii haina tofauti na kushangilia ushindi wa masumbwi kwa bondia anayedai kashinda ilhali anapigana na mpinzani wake ambaye amefungwa mikono!Hili Zitto aliingizwa famba. Hakuna namna JPM ashindwe na atashinda kwa kishindo ambacho ni cha kihistoria ...
Umenichekesha sana Kiongozi...... nakumbuka nilisoma sehemu fulani wakidai kuwa China ikitokea jambo zito limeikumba nchi basi kuna watu 7 tu ndio hukaa na kufanya maamuzi kwa niaba ya 1.6 Billion peopleZITO atapata wapi ripoti ya TISS hata rais mwenyewe hapewi, ripoti kama hiyo huwa wanapewa kamati ya watu sita tu
Umenichekesha sana Kiongozi...... nakumbuka nilisoma sehemu fulani wakidai kuwa China ikitokea jambo zito limeikumba nchi basi kuna watu 7 tu ndio hukaa na kufanya maamuzi kwa niaba ya 1.6 Billion people
Huyu zitto kuna siku atapigwa mawe kwa jinsi anavyoudhi kwa uzushi na uongo. Wenye kujua wanajua uchaguzi huru na haki kwa wapinzani wa ccm ni ule unatoa mwanya kwa ubeberu kuweza kuchezesha hila zao ili waweze kuweke uongozi wa kuendeleza na kulinda maslahi yao. Viongozi wenyewe ni hao vibaraka kina lissu zitto na wengine.
Wapenda nchi hii wanatakiwa wamuombee huyu mtu afyekwe na coronaUkweli tuseme Rais wetu ni mchapa kazi na ana nia nzuli tu ila kuna vitu vidogo ambovyo vinaweza kurekebishika hasa kwa upande wa democracy tumuunge mkono na tumuuombe mungu amuweke sawa ili Watanzania wote tumpende
Kazi za TISS ni pamoja na hayo yote uliyoyataja na kuondoa vigingi vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi na taifa bila ya kufuata, kusubiri maelekezo au ruksa ya Rais na hata hao wanaolia kuwa serikali imewaumiza si kweli wameshughulikiwa na TISS bila serikali kuwa na habari. Usiwachezee TISS kazi zao ni ustawi wa Taifa.
Huyu zitto kuna siku atapigwa mawe kwa jinsi anavyoudhi kwa uzushi na uongo. Wenye kujua wanajua uchaguzi huru na haki kwa wapinzani wa ccm ni ule unatoa mwanya kwa ubeberu kuweza kuchezesha hila zao ili waweze kuweke uongozi wa kuendeleza na kulinda maslahi yao. Viongozi wenyewe ni hao vibaraka kina lissu zitto na wengine.
TISS iko huru kabisa, lakini katika ujasusi anaefaidika ni yule aliyepo Madarakani. Ni kama vile unaishi nyumba chafu na chombo cha kufanya usafi kimetambua kuwa kuna nyumba chafu, Wanapokuja kutoa huduma nyumba isafishwe.Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Tiss ni Wakala wa ccmAisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
TISS iko huru kabisa, lakini katika ujasusi anaefaidika ni yule aliyepo Madarakani. Ni kama vile unaishi nyumba chafu na chombo cha kufanya usafi kimetambua kuwa kuna nyumba chafu, Wanapokuja kutoa huduma nyumba isafishwe.
Nyumba inapo safishwa barabara na kuwa safi, anaefaidika ni anaekaa ndani ya nyumba muda huo. Hiyo huitwa the benefit of incumbance.
HaswaaUjinga na kama si ujuha wa Zitto na timu yake.Hiyo ripoti ya TISS yeye ndiyo amekabidhiwa ? Haya maneno ni propoganda za kuzamani sana enzi za Nuhu na Yakobo.Inaonekana Membe atawaingiza mkenge vibaya mno.
Kadanganye wapuuzi wenzako wa Lumumba St. TISS ya Tanzania haiko huru ndiyo maana iko KISIASA ZAIDI kuisaidia CCM iendelee kubaki Madarakani na siyo KIUSALAMA!
TISS(Tanzania Intelligence Security Services) ni kuangalia Usalama wa Nchi kwa ujumla wake(Watanzania wote na Serikali yao) na si kikundi cha Watawala wachache wa CCM!
Hakuna chama cha mbowe mkuu, uwe na adabuNaweza nikapoteza muda sababu ya uwezo wako wa kuelewa ni mdogo na ukashindwa kuelewa au MAPENZI YA UPINZANI YAMEKUZIDI.
Wao wanatakiwa wahakikishe nchi ni usalama, serikali ya nchi yao ni imara ili Serikali iweze kuwahudumuia wananchi wake.
Wao TISS wakIhakikisha iwe hivyo kama wanavyotakiwa na ni juukumu lao la kwanza. Ni nani anafaidika jukumu hilo likitekelezwa kwa ukamilifu?ni aliyeko madarakani.
Hata upinzani wa leo ungekuwa ndio chama tawala pia ndio upinzani ungefaidika. Sasa sijui nikwambie nini. TISS wasaidie chama cha Mbowe wakati sio Serikali ?.
JITAHIDI KUELEWA MAUDHUI YA MAJUKUMU.
"Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020".