MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,640
- 33,421
M4U kwema?Mwambie Mshumbusi kuna mkorogo grade one unauzwa nimpe address.
M4U kwema?Mwambie Mshumbusi kuna mkorogo grade one unauzwa nimpe address.
Tunaomba dipoto iwekwe mtandaoni tuiperuzi na kudadisiAisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Upinzani kwenye damu!! Sifuati watu nafuata itikadi. Hata shetani akibadilika akaja upande wangu ni sawa tuM4U kwema?
Kama anayepiga kura ni TISS Basi itakuwa hivyo, lakini Kama wapiga kura ni watz wenyewe hata mje na ripoti zote za kibeberu na kifisadi, Magu bado atashinda kwa ushindi wa juu Sana ambao haijawahi tokes nchini...just wait n see na mkongomani wenu!
Hilo tena andiko lisilo na ushahidi. Kama umeiona hiyo ripoti ya TISS si uiweke hapa! Ninavyo kufahamu Zitto kwa hulka yako ya kupenda UJIKO ungekuwa na hiyo ripoti usingechelewa kuibandika hapa. Au umewapelekea wafadhili wako huko Ulaya!?
Toa ndoto za alinacha we na uchambuzi uchara wenye malengo finyu na hasi! Eti urais na zaidi ya ujenzi, hivi unaelewa hata maana ya neno lenyewe!Ofcourse TISS kabla ya uchaguzi huwa wanafanya utafiti wao kujua nani anakubalika mbele ya wananchi.
Kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015, ilikuwa around 2013/2014 na kabla ya Lowasa kuhamia Chadema Ripoti ya "KITENGO" ilionyesha kuwa miongoni mwa possible candidates nchini, Magufuli anakubalika sana kwa wananchi
Sasa sishangai tena ripoti kama hiyo ya TISS kuonyesha kuwa hakubaliki, Huwa wanafanya utafiti kujua hali ya kinchi inakwendaje.
Kinachomkwamisha JPM ni Uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi na Demokrasia na haki za binadamu
Maisha ya watu yako duni, biashara zinakufa, Kilimo ambacho kinagusa watu wengi hajakipa kipaumbele, Hali ya usalama wa raia (mambo ya utekaji) ni ya mashaka, uonevu kwa wapinzani, wananchi hawapendi mambo ya maguvumaguvu kwenye siasa, ajira kwa vijana ni ngumu, Maslahi ya wafanyakazi yamesahauliwa, Stahiki za wastaafu zinapigwa danadana etc
Amebaki kuonyesha SGR, Stieglers, Flyover, Uwanja wa Ndege Chato, Daraja la baharini la Salender etc
URAIS NI ZAIDI YA UJENZI
Hatuhitaji ripoti ya TISS Wala mjinga mwingine yeyote kutueleza ambayo tayari tunayajua ambayo mwaka huu uchaguzi wa rais umeisha mapema... Magu pekee ndie chaguo la watz na waafrica wote wenye mapenzi mema! Vibaraka mtachakaa Sana mwaka huu!Hilo tena andiko lisilo na ushahidi. Kama umeiona hiyo ripoti ya TISS si uiweke hapa! Ninavyo kufahamu Zitto kwa hulka yako ya kupenda UJIKO ungekuwa na hiyo ripoti usingechelewa kuibandika hapa. Au umewapelekea wafadhili wako huko Ulaya!?
Kufuatana ne Zito, TISS chini ya ACT WAZALENDO inariport kwa ZITO.Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Aisee!!

Mfumo huu wa utawala wa nchj ndivyo unavyoendesha familia yako, unajenga na kununua magari huku familia yako imekondeana kwa njaa?Akisema serikali haina la kuonyesha kwa umma 2020.
Si kweli. Hata kama hatumpendi lakini si kwa design hii.
Huu ni uongo mtupu. Puuzieni hii taarifa
Wewe mbona unachukia sana maendeleoNi kweli sio sawa kusema kwamba hana vya kuonyesha maana hivyo anavyo. Ila hata makuburu wa Afrika kusini walikuwa na maendeleo ya kuonyesha ambayo hata Magufuli awe rais wa maisha hatayafikia, lakini akina Mandela na wenzake waliwakataa.
Kipi kitamwongezea kura?Hili Zitto aliingizwa famba. Hakuna namna JPM ashindwe na atashinda kwa kishindo ambacho ni cha kihistoria ...
Kazi za TISS ni pamoja na hayo yote uliyoyataja na kuondoa vigingi vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi na taifa bila ya kufuata, kusubiri maelekezo au ruksa ya Rais na hata hao wanaolia kuwa serikali imewaumiza si kweli wameshughulikiwa na TISS bila serikali kuwa na habari. Usiwachezee TISS kazi zao ni ustawi wa Taifa.Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Unapuuzaje taarifa kama hii?Huu ni uongo mtupu. Puuzieni hii taarifa