Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

Utafiti bila data uliofanywa na taasisi isiyokuwa na haki na Uhuru yenyewe.
Risasi kukata kona.

Mungu ibariki Tanzania
 
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Tunaomba dipoto iwekwe mtandaoni tuiperuzi na kudadisi
 
Ofcourse TISS kabla ya uchaguzi huwa wanafanya utafiti wao kujua nani anakubalika mbele ya wananchi.

Kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015, ilikuwa around 2013/2014 na kabla ya Lowasa kuhamia Chadema Ripoti ya "KITENGO" ilionyesha kuwa miongoni mwa possible candidates nchini, Magufuli anakubalika sana kwa wananchi

Sasa sishangai tena ripoti kama hiyo ya TISS kuonyesha kuwa hakubaliki, Huwa wanafanya utafiti kujua hali ya kinchi inakwendaje.

Kinachomkwamisha JPM ni Uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi na Demokrasia na haki za binadamu
Maisha ya watu yako duni, biashara zinakufa, Kilimo ambacho kinagusa watu wengi hajakipa kipaumbele, Hali ya usalama wa raia (mambo ya utekaji) ni ya mashaka, uonevu kwa wapinzani, wananchi hawapendi mambo ya maguvumaguvu kwenye siasa, ajira kwa vijana ni ngumu, Maslahi ya wafanyakazi yamesahauliwa, Stahiki za wastaafu zinapigwa danadana etc

Amebaki kuonyesha SGR, Stieglers, Flyover, Uwanja wa Ndege Chato, Daraja la baharini la Salender etc

URAIS NI ZAIDI YA UJENZI
Toa ndoto za alinacha we na uchambuzi uchara wenye malengo finyu na hasi! Eti urais na zaidi ya ujenzi, hivi unaelewa hata maana ya neno lenyewe!
 
Hilo tena andiko lisilo na ushahidi. Kama umeiona hiyo ripoti ya TISS si uiweke hapa! Ninavyo kufahamu Zitto kwa hulka yako ya kupenda UJIKO ungekuwa na hiyo ripoti usingechelewa kuibandika hapa. Au umewapelekea wafadhili wako huko Ulaya!?
Hatuhitaji ripoti ya TISS Wala mjinga mwingine yeyote kutueleza ambayo tayari tunayajua ambayo mwaka huu uchaguzi wa rais umeisha mapema... Magu pekee ndie chaguo la watz na waafrica wote wenye mapenzi mema! Vibaraka mtachakaa Sana mwaka huu!
 
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Kufuatana ne Zito, TISS chini ya ACT WAZALENDO inariport kwa ZITO.
 
Mbona taasisi zenye tabia hiyo zipo nyingi sana, mfano ni Tbc na magazeti ya serikali
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
 
Nani alikwambia mosaad au CIA wapo huru. Maisha ni kupambania jomba..
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
 
Hii TISS ni upuuzi gan Tanzania. Nchi ni ya Wananchi, hatuwezi. Agenda yetu siku zote ni HAKI, MAENDELEO na DEMOKRASIA. Shida yetu sio mtu, huyo Magufuli ajiondokee zake tu kwa amani. Tumechoka
 
Ukweli tuseme Rais wetu ni mchapa kazi na ana nia nzuli tu ila kuna vitu vidogo ambovyo vinaweza kurekebishika hasa kwa upande wa democracy tumuunge mkono na tumuuombe mungu amuweke sawa ili Watanzania wote tumpende
 
Ni kweli sio sawa kusema kwamba hana vya kuonyesha maana hivyo anavyo. Ila hata makuburu wa Afrika kusini walikuwa na maendeleo ya kuonyesha ambayo hata Magufuli awe rais wa maisha hatayafikia, lakini akina Mandela na wenzake waliwakataa.
Wewe mbona unachukia sana maendeleo
 
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Kazi za TISS ni pamoja na hayo yote uliyoyataja na kuondoa vigingi vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi na taifa bila ya kufuata, kusubiri maelekezo au ruksa ya Rais na hata hao wanaolia kuwa serikali imewaumiza si kweli wameshughulikiwa na TISS bila serikali kuwa na habari. Usiwachezee TISS kazi zao ni ustawi wa Taifa.
 
Back
Top Bottom