Zitto achoka kuvumilia

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Inaumiza sana. Ukisikia watu walioumia tukio la kinyama Arusha inaumiza. Mtoto anaona Mtu aliyevaa nguo za polisi anampiga Risasi, mtoto huyu daima atawaonaje polisi. Mpaka lini unyama huu utaendelea? Halafu watu wanafanya siasa. Raia wamekufa. Tuvumilie kweli?

Zitto.png
ZITTO : facebook na twitter.
 
Pale mjengoni hata mawaziri wengi watahamia CHADEMA baada ya kumaliza kazi yao mwaka 2015. Chondechonde, msimkubali mtu kama Lukuvi na Wasira huko CHADEMA
 
Uvumilivu sasa hivi unaisha. Kama serikali wanataka kuona kuwa Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi, wawatume IGP Mwema na Nchimbi kwenye mazishi na CCM iwatume Nape, Mtela na Nchemba ndo wataona kama Watanzania bado ni mbumbumbu au siyo.
 
Acha afunguke kwa kuwa wako watu wanaleta ushabiki wa kisiasa wakati watoto wadogo wakifariki. Wengine wanaendelea na vikao Dodoma kana kwamba hakuna kilichotokea. Watu hao wana watoto ndugu, jamaa na marafiki. Lakini kwa kuwa hawakufa kwenye hilo tukio kwao is not an issue. Hii ni hatari sana kwa uongozi wa bunge. Ni kwamna hawana huruma au tuwaeleweje? Nami nauliza the same question. Huvi kweli huyo mtoto akijaliwa akawa mkubwa atakuwa anawaonaje polisi walio kwenye uniform? Bila shaka kila atakapokutana nao atakuwa anawakimbia. Zamani tuliwajua polisi kama usalama wa taifa lakini sasa wanataka tuwaite uhasama na taifa. Hii siyo sahihi kabisa. Pole sana Mhe. Zitto kwa hicho ulichokiona. Hakikisheni Arusha haiwi Benghazi au Alleppo. Hakikisheni amani inarejea bila kujali itikadi za vyama.
 
Sijui niseme Chadema tumekua wapole sana au ni kwasababu tumekuwa watu wakutoa matamko kiasi kwamba imefika mahali Serekali ya CCM imeshatuzoea kwamba hatuna lolote zaidi ya kutoa matamko?

Hii imekua ni sawa na Panya kumzoea Paka, kiasi kwamba panya anaweza kumchezea paka kwa kila mchezo huku paka akiwa hachukui hatua yoyote ile zaidi ya kulia kwake.

Ifike mahali Chadema tuseme "enough is enough" haiwezekani kila siku tumekuwa watu wakuonewa kiasi hichi. Watu wanauliwa na wengine kujeruhiwa vibaya kila siku.
 
Uvumilivu sasa hivi unaisha. Kama serikali wanataka kuona kuwa Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi, wawatume IGP Mwema na Nchimbi kwenye mazishi na CCM iwatume Nape, Mtela na Nchemba ndo wataona kama Watanzania bado ni mbumbumbu au siyo.

nauliza mwenye kujua physical address ya mwigulu nchemba
 
Hatuwezi kuvumilia sasa basi, cha muhimi Zitto ashirikiane na wenzake kutwite na kwenda kukaa nao meza moja si sawa!
Inauma. Hatuvumilii tena.
 
Pale mjengoni hata mawaziri wengi watahamia CHADEMA baada ya kumaliza kazi yao mwaka 2015. Chondechonde, msimkubali mtu kama Lukuvi na Wasira huko CHADEMA

maccm wote pale mjengoni wanatamani CHADEMA ife, unadhani ulaji wanaoupata halafu CDM inawatibulia hiyo nyongo usipime ni vile tu hawawezi kutupulizia sumu tuangamie.
 
uvumilivu sasa hivi unaisha. Kama serikali wanataka kuona kuwa uchungu wa mwana aujuaye mzazi, wawatume igp mwema na nchimbi kwenye mazishi na ccm iwatume nape, mtela na nchemba ndo wataona kama watanzania bado ni mbumbumbu au siyo.

hayo ashetani hayawezi kukanyaga arusha hadi hasira ya wananchi itulie
 
Pole Zitto,tumewapa madaraka makubwa watu hambao hata ubalozi wanyumba kumi hawakustahili.
Ukiona mtu anatoka hadharani kusherekea viti 16 vya udiwani katikati ya msiba,Unapigwa na butwaa!
 
Hii mijibwa koko (Polisiccm) wanaipeleka kubaya sana hii nchi...
 
Pale mjengoni hata mawaziri wengi watahamia CHADEMA baada ya kumaliza kazi yao mwaka 2015. Chondechonde, msimkubali mtu kama Lukuvi na Wasira huko CHADEMA

Wasimkubali yoyote kutoka CCM, au la wawadanganye kama wanawakubali halafu tunawapeleka mabwepande kuwapiga kiboga kwa tamaa zao za madaraka
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom