fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
Uvumilivu sasa hivi unaisha. Kama serikali wanataka kuona kuwa Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi, wawatume IGP Mwema na Nchimbi kwenye mazishi na CCM iwatume Nape, Mtela na Nchemba ndo wataona kama Watanzania bado ni mbumbumbu au siyo.
Pale mjengoni hata mawaziri wengi watahamia CHADEMA baada ya kumaliza kazi yao mwaka 2015. Chondechonde, msimkubali mtu kama Lukuvi na Wasira huko CHADEMA
uvumilivu sasa hivi unaisha. Kama serikali wanataka kuona kuwa uchungu wa mwana aujuaye mzazi, wawatume igp mwema na nchimbi kwenye mazishi na ccm iwatume nape, mtela na nchemba ndo wataona kama watanzania bado ni mbumbumbu au siyo.
Unajua ukiacha mtu achezee mboni ya jicho ipo siku ataitoboa
Pale mjengoni hata mawaziri wengi watahamia CHADEMA baada ya kumaliza kazi yao mwaka 2015. Chondechonde, msimkubali mtu kama Lukuvi na Wasira huko CHADEMA