Zitto acha udalali wa mauzo ya uhuru wa Freeman Mbowe

Chadema ndio madalali,mmepokea dola 100,000 kutoka open society ya kenya kwaajili ya kugharamia kesi ya Mbowe,ndio maana hamtaki kesi ifutwe maana kesi kwenu ni ulaji
Mchawi akishindwa kukudhuru huwa anauguwa, anaweweseka .......anakonda.
 
W
Muache ujinga na upumbavu wa kumtesa mbowe na kumpa kiburi cha kijinga mkila kuku na bia yeye yupo nyuma ya nondo ....

Mbowe anafamilia ,wazazi na watoto wanamtegema mnamjaza ujinga huku akipoteza raslimali zake ...

Mbowe shituka hii dunia imejaa wanafiki tu wanafurahi kukuona upo ndani wao wanakula kuku kwa mrija huku nje ...omba msamaha kwa mama ni msikivu uje tuendelee na maisha ....
Mbowe aombe msamaha kwa kosa la kubambikiwa?
Kama ni kweli kabisa UKO hivyo, ninawaonea huruma sana walio wa uzao wako. Ninaomba kwa Mungu awaepushe na huo unafiki wa kiwango cha Mafarisayo, uliyonao.
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...
unahisi kwann wanamtumia zitto kuomba suluhu?mama yenu anapgopa mataifa yanavyofatilia
 
umuombe msamaha shetani
hakuna kitu kama hichoo bora kufa tu
 
umuombe msamaha shetani
hakuna kitu kama hichoo bora kufa tu
Unasema Bora kufa ,yaani mbowe afe wewe ubaki unakula wali na Pepsi ya baridi ....acha unafika ,Toka nje hadharani kama unataka kufa ...sio nyuma ya keyboard umejifucha chumban na simu et Bora kufa
 
Nani unamwita mbumbumbu wewe mpumbavu tu? Unataka kujua Chadema tunajivunia nini?
Chadema tunajivunia uwezo mkubwa wa akili Tulionao na nyie mnajivunia upumbavu mkubwa mlinao mkidhani Bunduki ndo zitawafanya mtawale milele,huyu alidhani atatawala miaka yote eti kisa jeshi linalipwa vizuri,muwe mnajifunza hata kwa wenzenu mpuuzi mkubwa wewe View attachment 2110692
 
Kosa la mbowe ni kushinikiza matamanio yake,mfn katiba mpya .. Tena kwa lazima na ubabe wa kijinga bila hata kutumia maneno yenye busara ,....

Anaivimbia hadharani serikali kwa kuandaa vikundi na kushinikiza maandamano na mikusanyiko ambayo Haina tija ...kwa Nini asibambikiziwe kesi ya ugaidi ...Mimi najua mbowe kabambikiziwa kesi kabisa ,kwa sababu ya dharau,kiburi ,jeuri na kujiona yeye anaweza kuikosoa serikali na maneno yake ya fedhuri na kijinga bila weredi na busara ....! Hata kama anahaki watu wa hivyo hakuna namna zaidi ya kuwakaanga tu ...!
nashukuru umetambua kuwa mbowe ni JASIRI .
lengo la chama chenu na sirikali yenu ni kudhoofisha watu makini na jasiri kama mbowe.
munataka muongoze mbumbumbu yasiyoweza kuhoji wala kukemea mawovu ktk sirikikali yenu
lakini tambueni ya kwamba mipango ya Mungu siyo ya binadamu.
 
Hii nchi unajikuta wewe jeuri kama nani ,huyo mbowe anasema hawezi omba msamaha hivi nyie chadema mnaakili sawa sawa kweli ....!

Hii dunia Kuna mtu ambaye hawezi omba msamaha ,mnajikuta mnajeuri ,hivi chadema mnajivunia Nini mpaka mnaona hamuwezi kujishusha mbumbumbu nyie mnamuumiza mwenyekiti wenu kwa umasikin jeuri wenu ,chama lenyewe masikini Bado linamvimbia aliyeshika mpini ,nyie ni takataka tu ...

Mnajifanya hamuwezi kuomba msamaha kwani mbowe anakitu gani cha special ? Mpaka hawez kulamba viatu vya mama samia ,unahisi mama samia akinyenyua mapembe na huyo mbowe akanyanyua mapembe nan ataumia ,hivi hamjui hata kusoma alama za nyakati ,yaani unataka kuidindia raisi ,harafu utegemeee ushindi ,sawa sawa na mtoto amleteee jeuri baba yake ,harafu kula kulala anategemea kwa baba yake ....

Hili chama halina hata watu wastaarabu na werevu ....

Zito anajua analolifanya ,watu kama chadema maisha wapo ,ni masikini jeuri ,hawaambiliki kila kitu wanajikuta wanajua ...mtakufa na tai shingoni kunguni nyie ...
Mbona una makasiriko ndugu?
 
Mwezi mchanga wewe
 
Kosa la mbowe ni kushinikiza matamanio yake,mfn katiba mpya .. Tena kwa lazima na ubabe wa kijinga bila hata kutumia maneno yenye busara ,....

Anaivimbia hadharani serikali kwa kuandaa vikundi na kushinikiza maandamano na mikusanyiko ambayo Haina tija ...kwa Nini asibambikiziwe kesi ya ugaidi ...Mimi najua mbowe kabambikiziwa kesi kabisa ,kwa sababu ya dharau,kiburi ,jeuri na kujiona yeye anaweza kuikosoa serikali na maneno yake ya fedhuri na kijinga bila weredi na busara ....! Hata kama anahaki watu wa hivyo hakuna namna zaidi ya kuwakaanga tu ...!
Kwa vile umekubali kwamba amebambikiwa kes tuje na tuoneshe ni wapi sheria inakataza kufanyiika Kwa maandamano katika nchi ya Tanzania. Ameonesha jeuri kivipi ambavyo imepelekea kuvunjika Kwa sheria?

Sababu ya mbowe kubambikiwa kesi nikuwa tu yupo tofauti kimawazo na serikali yako Kwa vile haitaki ikosolewe, watu kuhoji yanayoendelea.

Ndugu najua unafurahia hayo yote lakni ujue tu kwamba kinachowapa jeuri hapo kwemye chama si ubora wa chama bali ni vyombo vya dola Kwa sababu hampo tayari kukosolewa na anaekosa mwisho wake nikupotezwa.

Mwisho wa maji ni tope. Há tá magufuli mlimpangia miaka ili aongoze mda wake ukiisha kwahiyo yanamwisho na yote mtayalipia hayo.
 
Zitto is a deadly snake 🐍 capable of harming anyone, he should be kept at arms length.
 
Back
Top Bottom