Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Wakati tunakua ilikuwa ni jambo baya sana kusema kuwa Mtu mzima muongo, ni mbaya zaidi hata akitoa gesi kusema ni yeye ametoa gesi na kuchafua hali ya hewa. mpaka sasa naamini ni vivyo hivyo.

Zitto ndugu yangu una ubishi wa kijinga sana. Wewe humsikilizi kabisa Rais. Msikilize Rais anachosema kama Rais kasema ni gawio basi nawe anza kuamini kuwa hilo ni gawio. sasa wewe unakuja na ubishi wako kuwa si Gawio ni Maduhuli. why do you do that? acha ubishi bwana. Rais akisema amesema nawe inabidi usikilize anachosema.

kuna mama mmoja alikuwa na mumewe wanapendana sana. ikatokea siku moja mumewe alianguka toka kwenye mnazi akazimia. yule mama kwa haraka akaita usafiri na kumpeleka mumewe hospital. daktari alimwangalia yule bwana haraka haraka akiwa amelazwa kitandani. akasema "mama huyu mumeo ameshafariki nenda tu ukamzike"
yule bwana bahati nzuri akawa naye ndo ameshtuka akimsikia daktari anampa maelezo yule mama kuwa "kutokana na kudondoka kule huyu mumeo amesababisha utumbo mwembamba huko tumboni uvunjike na hivyo kuzuia damu kwenda kwenye ubongo na kusababisha mumeo afariki,mchukue tu akazikwe"

jamaa akasikia akashtuka na kusema kwa sauti ya chini kuwa

Mume :"daktari mimi sijafa nipo hai"
mkewe alimfuata mumewe kwa ukali kidogo na kumkemea huku akilia kwa kwikwi.

Mke: "mume wangu acha ubishi msikilize mtaalamu anachosema.kama kasema umeshakufa basi umekufa subiri tu tukakuzike.siyo unaanza kubishana na wataalam"
 
Kama unabisha zitto kakosea sawa weka vifungu vya kikatiba tuone amekosea wapi halafu nayy atakujibu ili ulizike kuwa detail zake ziko sawa au kakosea
 
GuDume,

Kama kuna watu wajinga basi wewe ni nambari wahedi..!!
Ulichoongea pamoja na mfano wako vinachekesha na kukuumbua kuwa wewe ni mjinga sana na huwezi kupingana na ZZK kwa hoja yoyote. Maana kwa mfano wako huu wa mke na mmewe kuanguka kwenye mnazi na daktari kusema jamaa kafa huku yuko hai basi AAMINI KUWA KAFA KWASABABU KASEMA DAKTARI??? KWA HIYO NA WEWE UNATAKA KUWAAMBIA WATANZANIA MAGUFULI AKISEMA WATANZANIA WAMEKUFA, WAJINGA, HAWANA AKILI, WAPIGA DILI n.k. LAZIMA WAKUBALI KWA VILE KASEMA RAIS.....!!!Huu ni uzezeta uliopitiliza.....!!!
Unatakiwa ukachunguzwe afya yako inaonekana wewe NI MAREHEMU na naomba uamini maneno yangu...!!
 
Umekurupuka gudume alichomaanisha sicho unachofikiria....soma tena fikiria upya
 
GuDume,

Kama kuna watu wajinga basi wewe ni nambari wahedi..!!
Ulichoongea pamoja na mfano wako vinachekesha na kukuumbua kuwa wewe ni mjinga sana na huwezi kupingana na ZZK kwa hoja yoyote. Maana kwa mfano wako huu wa mke na mmewe kuanguka kwenye mnazi na daktari kusema jamaa kafa huku yuko hai basi AAMINI KUWA KAFA KWASABABU KASEMA DAKTARI??? KWA HIYO NA WEWE UNATAKA KUWAAMBIA WATANZANIA MAGUFULI AKISEMA WATANZANIA WAMEKUFA, WAJINGA, HAWANA AKILI, WAPIGA DILI n.k. LAZIMA WAKUBALI KWA VILE KASEMA RAIS.....!!!Huu ni uzezeta uliopitiliza.....!!!
Unatakiwa ukachunguzwe afya yako inaonekana wewe NI MAREHEMU na naomba uamini maneno yangu...!!

Mkuu jamaa ametumia fasihi,badala yake welevu watakucheka wewe!
 
Wakati tunakua ilikuwa ni jambo baya sana kusema kuwa Mtu mzima muongo, ni mbaya zaidi hata akitoa gesi kusema ni yeye ametoa gesi na kuchafua hali ya hewa. mpaka sasa naamini ni vivyo hivyo.

Zitto ndugu yangu una ubishi wa kijinga sana. Wewe humsikilizi kabisa Rais. Msikilize Rais anachosema kama Rais kasema ni gawio basi nawe anza kuamini kuwa hilo ni gawio. sasa wewe unakuja na ubishi wako kuwa si Gawio ni Maduhuli. why do you do that? acha ubishi bwana. Rais akisema amesema nawe inabidi usikilize anachosema.

kuna mama mmoja alikuwa na mumewe wanapendana sana. ikatokea siku moja mumewe alianguka toka kwenye mnazi akazimia. yule mama kwa haraka akaita usafiri na kumpeleka mumewe hospital. daktari alimwangalia yule bwana haraka haraka akiwa amelazwa kitandani. akasema "mama huyu mumeo ameshafariki nenda tu ukamzike"
yule bwana bahati nzuri akawa naye ndo ameshtuka akimsikia daktari anampa maelezo yule mama kuwa "kutokana na kudondoka kule yule jamaa alisababisha utumbo mwembamba huko tumboni uvunjike na hivyo kuzuia damu kwenda kwenye ubongo na hivyo mumewe amefariki akazikwe"

jamaa akasikia akashtuka na kusema kwa sauti ya chini kuwa

Mume :"daktari mimi sijafa nipo hai"
mkewe alimfuata mumewe kwa ukali na kumkemea

Mke: "mume wangu acha ubishi msikilize mtaalamu anachosema.kama kasema umeshakufa basi umekufa subiri tu tukakuzike.siyo unaanza kubishana na wataalam"
KWA MANENO ULIYOTUMIA UNAONEKANA WEWE NI MPUMBAVU. TUMIA HOJA ZITTO NI KIONGOZI ASIYE NA MFANO, PIA NI MSOMI WA KIWANGO CHA JUU. WEWE UNAJUA KUANDIKA KWENYE MITANDAO TU.
 
Back
Top Bottom