Zitto aandika kitabu kuhusu Amina Chifupa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto aandika kitabu kuhusu Amina Chifupa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Mar 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ahadi za wanasiasa bana.....huyu jamaa kitabu chake sijui bado anakifanyia utafiki....
  lolz..

  kauli za Zitto hizo...alitoa mwaka 2007 mpaka leo naomba atuambia kitabu kipo bookshop gani tukakinunue....
   
 2. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tatizo zito kila kitu kwake ni politic , akiandika na aeleze ukweli juu na uhusiano wao wa ngono na tofauti zake na karamagi zilizosababishwa na kumgombea amina .
  Zito wahi kwa babu kabla huduma haijasitishwa mazima
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwani alisema ni lini hasa hiko kitabu kitakuwa tayari?
  Kama hajasema exactly day basi endeleeni kusubiri.
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Zito bana always controversial...
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  mmh mi mbona taayari ninacho hapa....lol Zitto.
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  zittophobiasis
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  bado anaandika
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu hizi ni hearsay tu.....hakuna mtu aliewafuma wakiibanjua mri ya 6......ila Zitto anasema Amina alikuwa rafiki yake na walishirikiana mambo mengi....
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...