Zitto aahidi utumishi uliotukuka

joseeY

Senior Member
Nov 4, 2010
108
17
Zitto amewaasa wakazi wa Igunga kuchagua mbunge atakayeweza kuwasemea kero zao ili zifanyiwe kazi.“Nianze kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa wagombea wote, wameonyesha namna walivyojiandaa kuwatumikia wananchi,” alisema Zito na kuongeza:

“Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.”

“Uchaguzi huu unaohusu kero za maji, ajira kwa vijana na hatima ya maendeleo ya watu wa Igunga na Chadema tumeshaonyesha mfano bungeni tupatieni mbunge wa 49 ili kutuongezea nguvu,” alisema.

Aliwahimiza wakazi wa Igunga kwenda kupiga kura kumchagua mbunge atakayeweza kuwasemea bungeni na si bora kiongozi.Alisema watu wanakumbuka katika Bunge la Tisa ambalo wabunge wa Chadema walikuwa 11, lakini kazi zao zilionekana na sasa wamefikia 48.

“Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.”

Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?
 
Ujumbe safi kutoka kwa mwanasiasa aliyekomaa. Kazi kwenu wana Igunga kuufuata au kudanganyika. Na mkikubali miaka mi4 ya kudanganyika msimlaumu mtu kama mtaendelea kubeba maji na punda
 
zitto simuelewi elewi vile anaonekana kama kuna wakati anavaa gamba na wakati mwingine analivua gamba.
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?

hila jamaa sijui kurya la wapi yani kila siku kutetea magamba tu yani ungejua unavokera watu kama una cha kuchangia si ukae kimya unataka umaarufu ambao haukutaki usitake tupewe ban kwa kuandika mambo yasiyostahili humu.shame on u bwawa.
 
Usipoteze nguvu zako kumjibu huyo kijana wa Nape, mwenzio yupo kazini
 
CDM wapo focused, wakipata nafasi wanamwaga sera, hawana muda wa kubwabwaja ujinga, acha magamba waendelee na siasa zao uchwara za kuwadanganya na kuwatisha wananchi, hawajui kwamba hata vijini wananchi sasa wanazinduka.
 
Mnapolijibu Li-kibaraka kama hili huwa mnalipa kichwa sana. Liancheni tu lichemke kwani hivyo ndivyo lilivyoumbwa kuwa kuwadi kwa watawala.
 
hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?

wewe point uliyoongea kuwasaidia wtanzani ni ipi katika maelezo yako kama si pumba? Acha kutumia masabuli, kojoa then kalale.
 
Hivi zitto amewajibu watz kupitia igunga ile hongo aliopata ya mil 100 kutoka baricks?.KAMA ANABISHA AJITOKEZE NA AKATAE KUWA HAKUHONGWA.NA HUYU ETI NDIE MWENYEKITI MTARAJIWA WA CDM BAADA YA MBOWE,MAANA MWK KUTOKA KASKAZINI WANA CDM WAMECHOKA NA HAKUNA MWINGINE.kule igunga wananchi hawatachagua magwanda nawaambia.
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?

Kama tuhuma zako ni kweli,afadhali kidogo anayehongwa shule za sekondari kwa wapiga kura wake kuliko kujinufaisha binafsi..
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?

We pimbi kweli....si bora aliehongwa shule kwa manufaa ya jamii kuliko suti............

Kufikiri na masaburi machafu ni taabu sana
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?
Bora mbunge ahongwe na ajengewe shule jimboni kwa manufaa ya watu wake kuliko rais anayehongwa suti 5 kwa manufaa binafsi na kuuza nchi.
 
Zitto amewaasa wakazi wa Igunga kuchagua mbunge atakayeweza kuwasemea kero zao ili zifanyiwe kazi.“Nianze kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa wagombea wote, wameonyesha namna walivyojiandaa kuwatumikia wananchi,” alisema Zito na kuongeza:

“Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.”

“Uchaguzi huu unaohusu kero za maji, ajira kwa vijana na hatima ya maendeleo ya watu wa Igunga na Chadema tumeshaonyesha mfano bungeni tupatieni mbunge wa 49 ili kutuongezea nguvu,” alisema.

Aliwahimiza wakazi wa Igunga kwenda kupiga kura kumchagua mbunge atakayeweza kuwasemea bungeni na si bora kiongozi.Alisema watu wanakumbuka katika Bunge la Tisa ambalo wabunge wa Chadema walikuwa 11, lakini kazi zao zilionekana na sasa wamefikia 48.

“Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.”

well said
 
Hajaongelea ile kashfa yake ya kuhongwa mil 100 na Barricks na kujengewa shule ya sekondari jimboni?

Mitoto ya Mafisadi utaijua tu kwa njisi inavyojibu hoja!!! Hivi mngesoma shule za kata kama sisi mngekuwwaje??? Inawezwkana kabisa hata majina yenu msingeweza kuandika.
 
Kama Zitto aliwachachafya (serikali) mpaka wakampoza kwa kujenga shule jimboni kwake mimi naona alifanya kitu cha kupongezwa. Halafu najaribu kujiuliza kutokana na wale wanaosema alihongwa shule!!?? Hivi serikali inapotekeleza miradi kwa wananchi walipa kodi ni hongo kwa mbunge wa eneo husika???.

Serikali ilijenga shule ikiwa inatekeleza wajibu wake kwa wananchi ambao ndo walipa kodi. Hili la kuhongwa shule linakujaje hapa?? Ulitaka shule isijengwe?? Au shule hiyo wanasoma familia ya Zitto peke yake?/ Familia ya Kalumanzila hawaruhusiwi kusoma pale??

Mimi naona hakuna hoja hapa, twendeni Igunga kuchukua jimbo kwa sera siyo kwa bastola.
 
Jamaniee wana jf tumtaftie jina huyu anaetumia masaburi kufikiri(Mwita25) me napendekeza aitwe GAY!
 
Back
Top Bottom