Zitto aagiza walimu wanaouza maandazi wakamatwe

Waongezewe mishahara lakini piawajengewe nyumba zakuishi maeneo yaoyakazi kamailivyokuwa miaka yamtanzania halisi mwalimu wa butiama
 
Waalim hata wawe na mishahara mikubwa wameshajijengea tabia ya kutojali kazi yao na kufanya biashara. hawabadiliki. Wameuwa elimu. Mtoto darasa la NNE hajui kusoma taa. Naona waalimu wana mgomo baridi. Wao wanalialia tu. Mbona wafanyakazi wote tuna hali ngumu ila kazi tunafanya.

Mfano. Mwl mkuu anasema std v mje jmosi. Watoto wanarudishwa eti nalisha KUKU. Hawa watu wafukuzwe wanauwa elimu yetu.
 
Waoneeni huruma Walimu. Kada hii imesahaulika mno na Serikali ya CCM. Mishahara yao ni kidunchu mno ukilinganisha na kazi ngumu wanayoifanya ya kukufanya leo uandike hayo uliyoandika yasiyo na staha kwa Walimu. Walimu wanafanya biashara kujiongezea kipato potelea mbali hata wakinyonga elimu hadi kufa labda mtashituka na kuona umuhimu wao na kuboresha maslahi yao nao watarudi kwenye mud ya uzalendo. Hakuna namna Zitto ye amekurupuka tu.
 
Ma'mkubwa shikamoo.... Kiukweli nakerwa na hii tabia ya kuwaambia watoto waende shule jumamosi.

Hiyo mitaala sijui ratiba vyovyote inavyoitwa mbona ilipanga siku za shule ziwe jumatatu mpaka ijumaa??? Kama siku hizo hazitoshi basi waiombea serikali kupitia wizara ya elimu iongeze siku za masomo.
 
Waoneeni huruma Walimu. Kada hii imesahaulika mno na Serikali ya CCM. Mishahara yao ni kidunchu mno ukilinganisha na kazi ngumu wanayoifanya ya kukufanya leo uandike hayo uliyoandika yasiyo na staha kwa Walimu. Walimu wanafanya biashara kujiongezea kipato potelea mbali hata wakinyonga elimu hadi kufa labda mtashituka na kuona umuhimu wao na kuboresha maslahi yao nao watarudi kwenye mud ya uzalendo. Hakuna namna Zitto ye amekurupuka tu.
Acha upuhzi wako, walimu wana mishahara mikubwa au wewe unazungumzia wanaoanza kazi? Hivi hujui kwamba kuna walimu wana mishahara mikubwa kuwazidi walimu wakuu? Uliwahi ona mwalimu mkuu akifanya hizo biashara shuleni?
 
Waalim hata wawe na mishahara mikubwa wameshajijengea tabia ya kutojali kazi yao na kufanya biashara. hawabadiliki. Wameuwa elimu. Mtoto darasa la NNE hajui kusoma taa. Naona waalimu wana mgomo baridi. Wao wanalialia tu. Mbona wafanyakazi wote tuna hali ngumu ila kazi tunafanya.

Mfano. Mwl mkuu anasema std v mje jmosi. Watoto wanarudishwa eti nalisha KUKU. Hawa watu wafukuzwe wanauwa elimu yetu.
hapana...walioua elimu sio waalimu

Waalimu ni cadre inayodharaulika zaidi nchini.......Serikali imejenga hiyo dharau kwa kutokujali maslahi yao

Wamejiona ni wapweke hivyo lazima wangetafuta namna ya kujikomboa kwa maisha

Nikuulize...Walimu wa Private schools wanauza kashata?
 
Acha upuhzi wako, walimu wana mishahara mikubwa au wewe unazungumzia wanaoanza kazi? Hivi hujui kwamba kuna walimu wana mishahara mikubwa kuwazidi walimu wakuu? Uliwahi ona mwalimu mkuu akifanya hizo biashara shuleni?

Mwanapropaganda nakubaliana na wewe kweli kuna walimu wenye mishahara mikubwa japo sijui kwako mshahara mkubwa ni upi. Ninachosema ni majority ya walimu wana hali ngumu sana. Mishahara kidunchu (kima cha chini) huja kwa kuchelewa nk. Ndio maana hao wachache wasilfanya biashara ni wa kuhesabu. Lakini ukweli ni kwamba maisha ya walimu ni duni sana Tanzania na ni tatizo mtambuka linalopuuzwa na watawala corrupt.
 
Waalim hata wawe na mishahara mikubwa wameshajijengea tabia ya kutojali kazi yao na kufanya biashara. hawabadiliki. Wameuwa elimu. Mtoto darasa la NNE hajui kusoma taa. Naona waalimu wana mgomo baridi. Wao wanalialia tu. Mbona wafanyakazi wote tuna hali ngumu ila kazi tunafanya.

Mfano. Mwl mkuu anasema std v mje jmosi. Watoto wanarudishwa eti nalisha KUKU. Hawa watu wafukuzwe wanauwa elimu yetu.
yupo mwalimu wa shule ya msingi analipwa milioni mbili kwa mwezi bado nayeye analia mshahara mdogo, walimu wanasoma hadi masters bado wameng'ang'ania shule ya msingi kisa anakabiashara kake ka ubuyu na mandazi. Wapo walimu wanasimamia shule zao binafsi huku wakivuta mshahara wa serikali, ipo siku tutawashika mkono.
 
Mwanapropaganda nakubaliana na wewe kweli kuna walimu wenye mishahara mikubwa japo sijui kwako mshahara mkubwa ni upi. Ninachosema ni majority ya walimu wana hali ngumu sana. Mishahara kidunchu (kima cha chini) huja kwa kuchelewa nk. Ndio maana hao wachache wasilfanya biashara ni wa kuhesabu. Lakini ukweli ni kwamba maisha ya walimu ni duni sana Tanzania na ni tatizo mtambuka linalopuuzwa na watawala corrupt.
walimu wengi mishahara yao ni laki nane na kuendelea, ulitaka walipwe ngapi ndio waridhike? au nao wanataka mil kumi kwa mwezi kama madaktari?
 
Tuwe tunaacha porojo na stori za kwenye vijiwe vya kahawa umefkiria unalipwa take home laki 570(mwalim wa degree) iyo ilipe nauli kila cku ilipe pango, upate hela ya mahitaji ibaki mpka mwezi mwingine....waliim awalii tu na mishahara mbn hakuna posho, house allowance n.k...tuwaache walimu wetu maana wanatumika sana kwa wana siasa kutafuta umaarufu makonda n mfano mzuri tu.....
 
Iziii hapaaaa
 
Attachments

  • 1456812001410.jpg
    1456812001410.jpg
    44 KB · Views: 35
Back
Top Bottom