Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
mwaka 2016/17 Wafanyakazi wote wa sekta ya Umma na Sekta Binafsi walichangia jumla ya shilingi trilioni 3 kwenye mapato yote ya Serikali kulinganisha na Wenye mitaji ambao watachangia jumla ya shilingi bilioni 900 tu kutoka kwenye kodi za faida/gawio, ongezeko la mitaji na riba (taxes on income/interests, profits and capital gains ). Kwa hiyo 75% ya Makusanyo ya Kodi ya Mapato inatoka kwa Wafayakazi na 25% inatoka kwa Waajiri.
TUCTA inapaswa kutumia takwimu kujenga hoja za kutaka nyongeza za mishahara na kupunguza makato ya Kodi, Hifadhi ya Jamii na hili la 15% ya Bodi ya Mikopo
TUCTA inapaswa kutumia takwimu kujenga hoja za kutaka nyongeza za mishahara na kupunguza makato ya Kodi, Hifadhi ya Jamii na hili la 15% ya Bodi ya Mikopo