Zitoo wewe ni kama Mandela!!!

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,217
Huyu babu alivyokuwa anawatukana polisi hadi kuwaita POLICCM, lakini leo hii ni marafiki zake wakubwa, na wanamlinda vizuri tu kutoka kwa wananchi wenye hasira. Hii yote ashukuriwe Zitto kwa nguvu zake kubwa za kisiasa na kusuluhisha watu.
1497576_1496324153926947_1225264956_n[1].jpg
 
Huyu babu alivyokuwa anawatukana polisi hadi kuwaita POLICCM, lakini leo hii ni marafiki zake wakubwa, na wanamlinda vizuri tu kutoka kwa wananchi wenye hasira. Hii yote ashukuriwe Zitto kwa nguvu zake kubwa za kisiasa na kusuluhisha watu.
View attachment 125933

"Msujudie ,.;'.,?,. upate mradi wako". kwa wanasiasa hilo sio tabu.
 
sijui kama alishawahi kuwatukana
alikuwa anawaeleza ukweli ukweli wanakiuka misingi ya haki za binadamu
na pia alikuwa akiwaambia wamepigika...
sasa wametia adabu
 
sijui kama alishawahi kuwatukana
alikuwa anawaeleza ukweli ukweli wanakiuka misingi ya haki za binadamu
na pia alikuwa akiwaambia wamepigika...
sasa wametia adabu
Nabaada ya kuambiwa wamejitambua kwa kiwango fulani. Ndio maana hata mauaji ya Polisi dhidi ya Raia yanazidi kutoweka. Kweli Dr ni mkombozi wa ukweli. Hapa Zitto sijui ameingiaje? Au ni kwa kutuma watu wampige mawe Slaa ndio anafananishwa na Mandela?
 
Hata mie bado naitafuta connection ya huu uzi na title yake sijaipata bado...
Huyu Zitto kaingiaje humu...?
 
Babu Slaa Unafiki uko kwenye damu.
Kweli nimeamini waliosema wewe ni robot maana every minute in 24/7 uko humu jee unakula saa ngapi? Na kama wewe ni ke unaliwa saa ngapi? Na huku ulikojiita MSALANI unakwenda saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari Zitto, ndani ya habari Dr Slaa na wanausalama...:A S 39:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom