Zito ni jembe

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wana jamvi kiukweli tusiwe wanafiki Zito ni Jembe na anauwezo wakiuongozi ameisaidia hii inchi katika mangapi kuwawajibisha mawaziri katika nchi hii tumuunge mkono ACT wazarendo kijana anauwezo .Namalizia kuwa Zito Kwa Tanzania ni immortal.
 
WaTZ wana mambo ya ajabu sana!!! zitto anasimamia kile watu wanahitaji!!! hatufuati chama tunafiata watu!!
zitto kabwe sio kwamba yeye ndo bora kupita wengine!!!!
kuna mashujaa nchii ambao wanastahiri tuzo lazini hawapewi...
acheni mambo yenu!! kuwa makini..
 
PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kiburi cha kujiona hakuna zaidi ya yeye. Anandika Saed Kubenea … (endelea).

Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.

"Ninamfahamu vizuri. Wakati tuhuma hizi za usaliti zilipoanza kuibuka, Kamati Kuu ilinikabidhi jukumu la kumsaidia mama yake mzazi kumlea kijana huyu."

Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT – Tanzania.
Prof. Baregu aliwahi kuwa "mlezi wa Zitto" ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho "kusaidia kumlea."

Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, "Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki."
Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto "katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum," anaeleza Baregu.

Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema.

Ndugu wana jamvi kiukweli tusiwe wanafiki Zito ni Jembe na anauwezo wakiuongozi ameisaidia hii inchi katika mangapi kuwawajibisha mawaziri katika nchi hii tumuunge mkono ACT wazarendo kijana anauwezo .Namalizia kuwa Zito Kwa Tanzania ni immortal.

Wala usiwe na papara, endelea kumuunga mkono, kichwa na miguu, then baada ya miezi mitatu njoo na mada yako hii.
 
DHIMA(mission) na MAONO (vision) za ujamaa ni nzuri sana ila sasa watu ambao inatakiwa wamuunge mkono hawataki kabisa hiyo kitu ambayo mwishoni hupelekea msimamo ya kimaadili. Kitu ambacho wakina Chenge sijui kama watamuunga mkono
 
PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kiburi cha kujiona hakuna zaidi ya yeye. Anandika Saed Kubenea … (endelea).

Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.

“Ninamfahamu vizuri. Wakati tuhuma hizi za usaliti zilipoanza kuibuka, Kamati Kuu ilinikabidhi jukumu la kumsaidia mama yake mzazi kumlea kijana huyu.”

Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT – Tanzania.
Prof. Baregu aliwahi kuwa “mlezi wa Zitto” ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho “kusaidia kumlea.”

Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, “Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki.”
Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto “katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum,” anaeleza Baregu.

Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema.

Prof Baregu alivyotskiwa na Chama chake ajiondoe kwenye Tume ya Jaji Warioba alionyesha jeuri na kugomea maagizo ya CHAMA. Reference should be taken into account
 
Tunazungumzia ya Ayatollah hapa na si ya Baregu kama unataka kuzungumzia ya Baregu anzisha thread nyingine. Na kwa taarifa yako Baregu hajawahi kukisaliti chama na hakuna mpango wa kumfukuza na pia hana mpango wa kuhamia chama chochote kile.

Prof Baregu alivyotskiwa na Chama chake ajiondoe kwenye Tume ya Jaji Warioba alionyesha jeuri na kugomea maagizo ya CHAMA. Reference should be taken into account
 
PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kiburi cha kujiona hakuna zaidi ya yeye. Anandika Saed Kubenea … (endelea).

Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.

“Ninamfahamu vizuri. Wakati tuhuma hizi za usaliti zilipoanza kuibuka, Kamati Kuu ilinikabidhi jukumu la kumsaidia mama yake mzazi kumlea kijana huyu.”

Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT – Tanzania.
Prof. Baregu aliwahi kuwa “mlezi wa Zitto” ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho “kusaidia kumlea.”

Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, “Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki.”
Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto “katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum,” anaeleza Baregu.

Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema.

Gazeti la Tanzania daima la Mboe.
 
Uwe unauliza kwanza badala ya kukurupuka!! Aliyekwambia hili ni gazeti la Tanzania Daima ni nani!? Hata kama ni Tanzania Daima je, haya yalisemwa na Prof Baregu au hayakusemwa? Muwe mnatafakari kwa kina kabla ya kukurupuka.

Gazeti la Tanzania daima la Mboe.
 
Ndugu wana jamvi kiukweli tusiwe wanafiki Zito ni Jembe na anauwezo wakiuongozi ameisaidia hii inchi katika mangapi kuwawajibisha mawaziri katika nchi hii tumuunge mkono ACT wazarendo kijana anauwezo .Namalizia kuwa Zito Kwa Tanzania ni immortal.

Hujaona threads nyingine ambazo thread yako ingekaa.kama comments?
 
aliyemnukuu Prof Baregu ni wewew na nikakukumbusha ya Prof Baregu. usijifanye hamnazo. hoja kuu ilikuwa zitto ni jembe,
 
Ndugu wana jamvi kiukweli tusiwe wanafiki Zito ni Jembe na anauwezo wakiuongozi ameisaidia hii inchi katika mangapi kuwawajibisha mawaziri katika nchi hii tumuunge mkono ACT wazarendo kijana anauwezo .Namalizia kuwa Zito Kwa Tanzania ni immortal.

Zito ni jembe kwako ambaye umeshindwa kupambanua mbivu na mbichi, kwa taarifa yako umaarufu wa zito umeshachuja, alikosea timinig za kutoka CHADEMA.
 
Back
Top Bottom