Wapinzani wa Tz hamna kitu
Kwasababu kaenda ikulu ndio unasema hamna kituWapinzani wa Tz hamna kitu
Naona hadi anasaliii
Anamshukuru Mungu.Naona hadi anasaliii
Upinzani sio uadui...Wapinzani wa Tz hamna kitu
AiseeNdo wanasiasa! Asilaumiwe ZZK wote ni wale wale kasoro tareheView attachment 1645472