Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kitila Mkumbo ni act, na wewe ni Mkuu wa act ambaye unaishutumu Serikali yetu kufanya maovu dhidi ya Watanzania lkn wkt huo huo mtu wa Chama chako kaapishwa na Raisi wetu kuwa sehemu ya Serikali unayoishutumu kuwa ovu, sasa ili kuonyesha msimamo wako kama Mkuu wa Chama kwa nini usianzie na Kitila Mkumbo kwa kumuondoa Serikalini, kwa maana haingii akilini yeye Kitila kuwa sehemu ya Serikali unayoipa shutuma nzito,...