Zitanitoka TSHS ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitanitoka TSHS ngapi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Amoeba, Aug 28, 2009.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  nina shida ya kausafiri kwa ajili ya mke wangu kuendea sokoni, watu wengi wamenishauri NIAGIZE nje (JP) inakuwa nafuu kiasi, naweza sevu hata ada ya mtoto! naomba mnifahamishe nitatakiwa kulipia vitu gani na gani kwa kiasi gani kuanzia bandarini mpaka kwa mke wangu? i'll aprishieti eni help, teh teh!
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  pia naskia kuna baadhi ya kodi zimesamehewa kwa waalimu, mke wangu ni mwalimu. tunaweza kuokoa pesa kiasi? jua kali jamani. mwenye habari za ndani jamani
   
 3. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Usiniambie.
  Kodi zipi hizo zimesamehewa?
   
Loading...