Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Nahitaji kujua tarehe Zipi katika mzunguko Wangu na uwezo wa kushika ujauzito mzunguko Wangu ni wa siku 28. nimeshapumzika vya kutosha Natafuta mtoto mwingine Sasa mwaka umepita Sioni matokeo labda nahisi nakosea tarehe . Naomba kujuzwa tafadhal.
Pole mkuu, ukiwa unatafuta mtoto usiziite za hatari ziite siku njema. Kutoka siku ya 10 piga kazi kwa kuruka siku moja moja mpaka ya 20. Fanya kama mchezo usifikirie Habari za mimba. Sali muombe Mungu pia kuna siku utakuta hiyo
 
Pole mkuu, ukiwa unatafuta mtoto usiziite za hatari ziite siku njema. Kutoka siku ya 10 piga kazi kwa kuruka siku moja moja mpaka ya 20. Fanya kama mchezo usifikirie Habari za mimba. Sali muombe Mungu pia kuna siku utakuta hiyo
Asante Sana.
 
Nilikua natumia vijiti vilipo isha muda nilitoa mwaka juzi mwishoni, nilikaa hivi hivi mpaka Sasa mzunguko Wangu umerudi kama mwanzo Ndio tarehe Sasa sijui au Ndio vijiti Hivyoo.
My dear hivo vijiti ndo vinakufanya hivyo, hapo kama unahitaji kupata mtoto nakushauri rudi hospital onana na gyno muelezee kuwa umetoa IUD mwaka umepita lakini hujabahatika kupata ujauzito, kuna suppliments utapewa ili zikuboost na kubalance hormone zako. Bila hivyo mtadinyana tuuuuu mpaka mchoke bureee kabisa!Haya manjia ya uzazi wa mpango kila mtu na jinsi yanavyomchukua kwakweli, njia nzuri ni kufata kalenda tu lakini muwe makini na msiwe walevi maana ni hatari mnaweza pitiwa pia.
 
Mimi mwenzangu huwa anaweza kupita hata miezi mitatu hajableed na akija kubleed inaweza dumu week mbili mpaka tatu? Je hilo ni tatizo na vipi kuhusu kupata mimba
 
Nilishatumia sana hii kalenda akanasa mimba. nilifanikiwa kwa miaka mitatu kumaintain kalenda na hakupata mimba hadi nilipokuja kujisahau akanasa. Sasa hivi tumeamua hakuna kutumia kalenda, ameweka kijiti cha miaka 3.
 
Vipi kuhusu mwanamke kuwahi kuingia kwenye MP yake yani kwa huu mwezi alitakiwa kuingia Tar 28 lakini kaingia tar 25 hilo sio tatzo?
Si tatizo kama hali hii haijitokezi mara kwa mara. Kama likizidi ni vema kwenda hospitali mkuu.
 
dinho25, Umenikumbusha biology A level but nadhan kwa hesabu hii kuna watu watapata mimba tu. Siku ya ovulation ni siku ya kati katika mzunguko wako. Nimeona umeandika mtu akiwa na 35 bas ovulation ni siku ya 2

Hapa sidhani kama kweli mkuu. Sehemu nyingne naona fresh ila hapo kwa ovulation stage sidhani kama ipo sawa. Nadhani naweza kukuelezea step zote na na baadhi ya hormone kuanzia menstruation mpaka menstruation. Nikirefer kutoka kwa BIOLOGICAL SCIENCE
 
Ukitaka kujua hatari ya kupata ujauzito ni ile siku una minyege ya kufa mtu, maamaaa ukitoa k tu ni lazima unase!

Huu ndo ujanja wa haya mavituuu!
Yah kwasababu siku hiyo yai linaachiwa kwa kurutubishwa
 
Rejeeni,tafiti na uhalisia kama MNA familia, kiuhalisia hai hupevuka na kusafiri,pia kipindi kuwa katika moon, tumbo la kizazi pia acidic huwa. Hivo siku ya 11_16 baada ya kumaliza ndo siku za hatari.
 
Nothing is constant at all ujue kuwa hizi series of changes zinasababishwa na hormone never luteal phase kuwa constant
 
Inakuaje mwanamke anashika mimba siku moja baada ya kumaliza bleed?
Its very rare but it happen. Why?
Inatokea MKUU kwa sababu ya hormone imbalance

Huwa hivi vishada vya mayai viko viwili na huwa vinapokezana kupefuka na kutoa yai kila mwezi yai hutoka upande mmoja tu upande mwingine uko kimya (uko kwenye series of process) ya kutoa yai next month.

Ikitokea being stimulated yote katika different time hapo ndo mwanamke anaweza kupata mimba kwenye safe days zake

Na ikitokea pia akapata hormonal imbalance yanaweza kuwa stimulated yote na akapata watoto wasiofanana

Kikubwa MKUU ni hormone imbalance
 
Mimi mwenzangu huwa anaweza kupita hata miezi mitatu hajableed na akija kubleed inaweza dumu week mbili mpaka tatu? Je hilo ni tatizo na vipi kuhusu kupata mimba
Ana umri gani MKUU?

Maana kuna kitu tunaita immature nes (neuroendocrine system) = hypothalamus pituitary ovarian system

Hii ni system mkuu inayohusiana na kizazi kwa mwanamke wanasayansi wengi wanasema inakuwa haijakomaa hasa chini ya 25yrs maturation ranges 23-27 years kabla ya hapo siku zake ni shagala bagala anaweza akakaa miezi 6 bila kuziona daya na hana mimba mpaka akifikia ukomavu ndo kila mwezi anaanza kuziona unless changes takes place
 
Mfano wa hizo zionyeshazo na siku za kupata mtoto wa jinsia fulani ni zipi? Samahani kwa usumbufu.
Hii ni kubahatusha tu kama ni kalenda ya kupata mtoto wa kiume

Lakini true theory ni kuwa fanya ngono during ovulation kwa kuwa determiner wa mtoto wa kiume ni mwanaume y gene for male huwa ziko speed sana kuliko x gene for female lakini y zinaishi muda mfupi sana.
 
Wakuu ningependa kujua ni siku gani hatar kwa mwanamke kupata mimba kuanzia siku ya kwanza ya kubleed,.Mfano: kama ameingia hedhi mwez wa 5 tarehe 26, na mwezi wa 6 tarehe 25,Je siku yake/zake hatari za kushika mimba ni zipi/lini? Naomba Msaada wenu Wakuu?
 
Back
Top Bottom