Chausiku siyo Chamchana
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 379
- 229
Habari mkuu. Asante kwa elimu. Ila umenishitua sana. Mimi nilidhani mwanamke ndie anaweza kuwa na vimelea hatari lakini naona imekuwa vice versa eti kumbe mwanaume ndie anaweza kuwa na vimelea hatari akahatarisha afya ya mwanamke ila kwa upande wa ule uchefu umtokao mwanamke kinachohofiwa ni kinyaa tu! Samahani naomba kufahamu hivyo vimelea hatari anavyoweza kuwa navyo mwanaume vinaweza kuhatarisha afya ya mwanamke kama watakutana akiwa period.Hakuna tatizo kubwa, labda kama huyo mwanaume atakuwa na vimelea hatari, lakini inakuaje kuhusu kinyaa.