Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Inakuaje mwanamke anashika mimba siku moja baada ya kumaliza bleed? Its very rare but it happens. Why?
Asante kwa swali rafiki,

Iko hivi, kama nilivyosema hapo, kwamba cycle length zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke na pia menstrual period [idadi ya siku za ku bleed] zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke.

Chukulia mfano huu: Mwanamke ana mzunguko wa siku 21 [short menstrual cycle] na idadi ya siku za kubleed ni saba[menstrual period].

Kwa mzunguko huo wa siku 21, ina maana kuipata siku ambayo kuna uwezekano mkubwa wa ovulation [yai kuwa tayari kurutubishwa] ni hivi: 21-14 [luteal phase] = 7

Kwa hiyo ovulation ina uwezekano wa kutokea siku ya saba kuanzia siku ya kwanza kubleed. Sasa kama siku za ku bleed ni 6 au 7 huoni ya kwamba hapo zitakaribiana kabisa na siku ya ovulation ambapo kuna uwezekano wa kupata mimba endapo atajamiiana wakati huo?

Kwahiyo ni suala ambalo linawezekana kwa ufafanuzi huo
 
Na sisi ambao leo tarehe 21 ,mwezi ujao tarehe 23 yaani hivo. Mzunguko wetu ni 30 au 35?
Kwa mzunguko huo unaoongelea, kwa mfano mwezi huu siku 21 na ujao 23 mwingine 25, mzunguko wako ni hizo hizo siku wala si 30 wala 35.tena tofauti hiyo ya siku isikusumbue kwasababu tofauti ya siku za mzunguko mmoja na mwingine ni ndogo [haijazidi siku saba].
 
Kwa mzunguko huo unaoongelea, kwa mfano mwezi huu siku 21 na ujao 23 mwingine 25, mzunguko wako ni hizo hizo siku wala si 30 wala 35.tena tofauti hiyo ya siku isikusumbue kwasababu tofauti ya siku za mzunguko mmoja na mwingine ni ndogo [haijazidi siku saba].
Hujanielewa namaanisha katika siku za hatari. Je za kwangu ni siku ya 16 au 21?
 
Hujanielewa namaanisha katika siku za hatari. Je za kwangu ni siku ya 16 au 21?
Kama mzunguko wako ni siku 21 ina maana yai liko tayari kurutubishwa kuanzia siku ya saba tangu uanze kubleed,kwahiyo zile siku zote zinazokaribiana na siku hiyo ya saba ni hatari mfano siku ya tano, sita,saba, nane mpaka tisa zitakuwa ni hatari
 
Kama mzunguko wako ni siku 21 ina maana yai liko tayari kurutubishwa kuanzia siku ya saba tangu uanze kubleed,kwaiyo zile siku zote zinazokaribiana na siku hiyo ya saba ni hatari mfano siku ya tano,sita,saba,nane mpaka tisa zitakuwa ni hatari
Bado hujanijibu. Nimebleed tarehe 21 mwezi wa 2, nikableed tarehe 23 mwezi wa 3

Je mimi siku zangu za hatari ni zipi?
Siku ya 14 (28)
Siku ya 16 (30)
Au 21? (35)

Niko kundi gani hapo?
 
Back
Top Bottom