swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,479
- 3,613
Ahsante umesaidia wengi
Asante kwa swali rafiki,Inakuaje mwanamke anashika mimba siku moja baada ya kumaliza bleed? Its very rare but it happens. Why?
When you think upside down, ni ngumu watu kukuelewa kwa sababu wengi hawataki kufikiriHivi siku za kupata mimba ni za hatari kwelii? Au za kukosa mimbaa ndio za hatari zaidi?
Sijasema zitambue hatari za kupata mimba bali nimesema siku hatari nikimaanisha siku zenye uwezekano mkubwa wa mwanamke kupata mimba,Kupata mimba nako ni hatari?
Kwa mzunguko huo unaoongelea, kwa mfano mwezi huu siku 21 na ujao 23 mwingine 25, mzunguko wako ni hizo hizo siku wala si 30 wala 35.tena tofauti hiyo ya siku isikusumbue kwasababu tofauti ya siku za mzunguko mmoja na mwingine ni ndogo [haijazidi siku saba].Na sisi ambao leo tarehe 21 ,mwezi ujao tarehe 23 yaani hivo. Mzunguko wetu ni 30 au 35?
Hujanielewa namaanisha katika siku za hatari. Je za kwangu ni siku ya 16 au 21?Kwa mzunguko huo unaoongelea, kwa mfano mwezi huu siku 21 na ujao 23 mwingine 25, mzunguko wako ni hizo hizo siku wala si 30 wala 35.tena tofauti hiyo ya siku isikusumbue kwasababu tofauti ya siku za mzunguko mmoja na mwingine ni ndogo [haijazidi siku saba].
Kama mzunguko wako ni siku 21 ina maana yai liko tayari kurutubishwa kuanzia siku ya saba tangu uanze kubleed,kwahiyo zile siku zote zinazokaribiana na siku hiyo ya saba ni hatari mfano siku ya tano, sita,saba, nane mpaka tisa zitakuwa ni hatariHujanielewa namaanisha katika siku za hatari. Je za kwangu ni siku ya 16 au 21?
Bado hujanijibu. Nimebleed tarehe 21 mwezi wa 2, nikableed tarehe 23 mwezi wa 3Kama mzunguko wako ni siku 21 ina maana yai liko tayari kurutubishwa kuanzia siku ya saba tangu uanze kubleed,kwaiyo zile siku zote zinazokaribiana na siku hiyo ya saba ni hatari mfano siku ya tano,sita,saba,nane mpaka tisa zitakuwa ni hatari
Akikujibu nistue, kuna mtu mnashabihianabado hujanijibu
nmebleed tarehe 21 mwezi wa 2
nikableed tarehe 23 mwezi wa 3
je mimi siku zangu za hatari ni zipi?
siku ya 14 (28)
siku ya 16 (30)
au 21? (35)
niko kundi gani hapo?
Ww upo km mm leo hvi mwezi ujao hivi ili mradi tafrani tupu, nlishaacha kuhesabuna sisi ambao leo tarehe 21 ,mwezi ujao tarehe 23 yani hivo ...
mzunguko wetu ni 30 au 35?
mimi naandikaga kwa diaryWw upo km mm leo hvi mwezi ujao hivi ili mradi tafrani tupu, nlishaacha kuhesabu
Hiyo ya wapi mkuu.Inakuaje mwanamke anashik mimba siku moja baada ya kumaliza bleed?
Its very rare but it happen... Why??