Zitambue siku hatari za kupata mimba

buno25

Senior Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
102
Points
225

buno25

Senior Member
Joined Sep 13, 2011
102 225
Mimi demu wangu huwa anaweza kupita hata miezi mitatu hajableed na akija kubleed inaweza dumu week mbili mpaka tatu?je hilo ni tatizo na vipy kuhusu kupata mimba
 

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
6,573
Points
2,000

Hute

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
6,573 2,000
nilishatumia sana hii kalenda akanasa mimba. nilifanikiwa kwa miaka mitatu kumaintain kalenda na hakupata mimba hadi nilipokuja kujisahau akanasa. sasaivi tumeamua hakuna kutumia kalenda, ameweka kijiti cha miaka 3, hivyo napiga mzigo tangu siku amekauka menstro hadi naikuta menstro ingine mimi nakanyaga kibati tu na ninamwaga ndani hakuan chomoachomoa. burudani tu.
 

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
16,782
Points
2,000

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
16,782 2,000
Ukitaka kujua hatari ya kupata ujauzito ni ile siku una minyege ya kufa mtu, maamaaa ukitoa k tu ni lazima unase!

Huu ndo ujanja wa haya mavituuu!
 

A.J

Senior Member
Joined
Jun 9, 2015
Messages
100
Points
225

A.J

Senior Member
Joined Jun 9, 2015
100 225
Asante kwa swali rafiki,iko hivi,kama nilivosema hapo,kwamba cycle length zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke na pia menstrual period[idadi ya siku za ku bleed] zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke.
Chukulia mfano huu:mwanamke ana mzunguko wa siku 21[short menstrual cycle] na idadi ya siku za kubleed ni saba[menstrual period].
Kwa mzunguko huo wa siku 21,ina maana kuipata siku ambayo kuna uwezekano mkubwa wa ovulation[yai kuwa tayari kurutubishwa] ni hivi
21-14[luteal phase]= 7
Kwa hiyo ovulation ina uwezekano wa kutokea siku ya saba kuanzia siku ya kwanza kubleed.
Sasa kama siku za ku bleed ni 6 au 7 huoni ya kwamba hapo zitakaribiana kabisa na siku ya ovulation ambapo kuna uwezekano wa kupata mimba endapo ata jamiiana wakati huo?
Kwahiyo ni suala ambalo linawezekana kwa ufafanuzi huo
Umenikumbusha biology A level but nadhan kwa hesabu hii kuna watu watapata mimba tu. Siku ya ovulation ni siku ya kati katika mzunguko wako. Nimeona umeandika mtu akiwa na 35 bas ovulation ni siku ya 21. Hapa sidhani kama kweli mkuu. Sehem nyingne naona frsh ila hapo kwa ovulation stage sidhan kama ipo sawa. Ndhani naweza kukuelezea step zote na na baadhi ya hormone kuanzia menstruation mpk menstruation. Nikirefer kutoka kwa BIOLOGICAL SCINCE
 

Forum statistics

Threads 1,358,297
Members 519,259
Posts 33,164,249
Top