Zitambue sifa za Nguruwe

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
1. Tofauti na wanyama wengne ndio mwenye majina mengi duniani. Mimi ntataja machache tu kwenye orodha.

2. Mkuu wa meza bana hacheuwi

3. Vilevile nguruwe huyu akipata njaa akakosa chakula yeye hula watoto wake wote.

4. Kiti moto wazee anachuchu kama za mtu kabisa.

5. Nimwana Israel aloraniwa Jangwani akiwa na Mussa.

6. Huyu msyekere yeye nyama yake ukiweka juani anageuka kuwa funza kabisaaaa!

7. Ana sifa yakufa kizembe sana yani ukichoma udi kwenye banda lake unakuta mizoga baada ya mda mchache.

KUBWA KULIKO, MBUZI KATORIKI ANAINGIA BLID KABISA KAMA MWANADAMU

USIGUSE HATA MIZOGA YAO.
FB_IMG_1623489239829.jpg
 
USIGUSE HATA MIZOGA YAO.View attachment 1816117
Mkuu ulaaniwe popote ulipo na kizazi chako chote

Unapata wapi ujasili wa kumtafuti wakati huli

Unapata wapi uwezo wakuzungumzia mali iliyo wapa watu uatajiri hata wewe unatumia hivyo vilivyo nunuliwa kwa nguruwe

Unapata wapi nguvu ya kuacha ibada yako na kutafiti ibada ya wengne

Fanya yanayo kuhusu usiangalie ya mwenzio
 
Usilolijua ni kuwa ndio mnyama msafiki kuliko wanyama wote wafugwao.

Usisahau pia kuwa nguruwe hakulaniwa bali alidhuhiliwa kuliwa.
Mbona mnamsema sana nguruwe ila mnamfumbia macho ng'amia bata, sungura, kamongo, kambare nk? Kuna nn nyuma ya nguruwe?
 
Uyu nguruwe me mwenyeweee ninamtafuna tena na castle lager bariidi lakini hainizuii kumzungumzia maajabu yakee
 
Mkuu ulaaniwe popote ulipo na kizazi chako chote

Unapata wapi ujasili wa kumtafuti wakati huli

Unapata wapi uwezo wakuzungumzia mali iliyo wapa watu uatajiri hata wewe unatumia hivyo vilivyo nunuliwa kwa nguruwe

Unapata wapi nguvu ya kuacha ibada yako na kutafiti ibada ya wengne

Fanya yanayo kuhusu usiangalie ya mwenzio
Nani kakuambia Kama sili?? lakini je hiyo inazuia kuzungumzia ukweli juu ya sifa zake?
 
Back
Top Bottom