Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,294
- 1,288
Kwa hiyo sasahiv watoto wa maskini mmeajiriwa?Ona watanzania mlivyo wa hovyo
Mtu wa vyeti feki ndio unamtetea kweli?
Je sisi Watoto wa maskini tutaajiriwa wapi km vyeti feki wataajiriwa
Kwahilo namuunga mkono Rais acha vyeti feki watumbuliwe tu