Zitakuja nyakati tutatamani Magufuli arudi hata siku moja madarakani

Mawazo yako na speed sana. Unafiikiria vitu vikubwa sana kutatua mambo mepesi. Sina nia ya kuku embarass lakini nataka niseme issues nyingi zinakosewa na viongozi wetu. Hebu fikiria ni kazi ngapi zimepotea kwa chuki binafsi ya Jiwe dhidi ya Yusuf Manji. Manji through makampuni yake alikuwa anaajiri watu kwa maelfu. Mtu mmoja mwenye madaraka ana kisasi naye amemvuruga na Manji kafunga viwanda na ahughuli zake yuko Canada. Wanao suffer ni Watanzania waliokuwa wanafanya kazi kwenye makampuni yake.
Mkuu hapana hakuna shida kuni embarass mimi mbona ni kawaida?

Ninacho taka ufahamu ni kwamba hii nchi ni tajiri sana katika rasilimali zake. Hiyo ni fact. Utajiri wa hii nchi ni baada ya DRC na SA katika bara laqqq Afrika.

Kitu ambacho kina niudhi na kushindwa kukielewa ni kwamba Rais wetu ana hangaika na mambo madogo madogo kama ya wamachinga na kufanya mikutano isiyo na tija kama ya SADC. Mambo yanayo husu SADC yametupotezea mda mwingi sana. Imetosha sasa. Hatupaswi ku deal nayo tena. Kama ukombozi wa Afrika umesha fanyika na nchi zote ziko huru.

Mambo ya biashara basi tufanye lakini sio lazima tuchukue uwenyekiti, wa nini?

Wenzetu kama wakenya, SA na nchi nyingenzo zimeachwa sehemu nzuri ukilinganisha na sisi. Sisi inabidi vitu vingi tuanze sisi wenyewe upya wakati wenzetu wanaendeleza waliyo achiwa. Kwa nini Rais wetu hakukataa huo uwenyekiti? Unatusidia nini sisi sasa?

Rais wetu angeutumia huu mda wake wa miaka 10 kuijenga nchi yetu effectively.

Tanzania na watanzania wana mhitaji yeye. Kuna mambo mengi anatakiwa ayasimamie, kwani naamini bila yeye hakuna ambaye ana ujasiri wake wa kuthubutu mambo mazito na makubwa ya maendeleo.

Hii miradi mikubwa miwili SGR na Stieglers, barabara za kuunganisha mikoa na ujenzi wa makao makuu Dodoma peke yake haitoshi. Hii nchi bado ina njaa ya miradi mingine mikubwa mingi itakayo weza punguza ukosefu wa ajira kwa vijana wetu sasa na baadae.

Serikali yetu iko slow sana katika kutekeleza miradi ya uhakika ya kuleta maendeleo ya nchi yetu haraka.

Nchi yenye dhahabu ambayo inaweza chimbwa miaka zaidi ya 60,

nchi yenye madini ya chuma ambayo yana weza chimbwa zaidi ya miaka 300,

nchi yenye almasi ambayo inaweza chimbwa takribani miaka 30,

nchi yenye uranium,

nchi yenye graphite ambayo inaweza kutuwezwsha sisi kutengeneza betri za magari ya future na yenye gesi asilia na makaa ya mawe,

nchi yenye game stones kama Tanzanite, safire, Rubin na mengineyo,

nchi yenye Mbuga za wanyama kem kem na mlima pekee mrefu na wenye barafu juu Afrika nzima na vyanzo vya maji kem kem
tuna piga kelele kwa umeme wa MW 2100?

Kwa nchi inayo taka mpaka kufikia 2025 kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati MG 2100 ni ridiculous thing! Bado tuna hitaji vyanzo vingine vya energy.

Kitu kingine kinacho nikereketa ni kwamba sielewi kwa nini Rais Magufuli anajisifu kuwa na reserve ya US Dollar bilion 6? Wakati wananchi wanalalamika hawana ajira na hivyo kukosa kipato.

Reserve ya cash ya nini mda huu? Reserve yetu si rasilimali zetu? Hiyo iko hata miaka 30 kuanzia hivi sasa. Ina maana miaka hiyo yote tutakuwa hatuja piga hatua ya kiutalam wa kuvuna madini yetu wenyewe na kuyauza ili kulipa madeni yetu?

Mimi nina uhakika the Generation to come itatuvusha tu haina haja ya kuwa na wasi wasi.

Ninge mshauri hizo hela azitumie kwenye mradi wa kuibadilisha sura ya Dar es salaam completely kama kwenye mradi wa Bonde la Msimbazi au Jangwani. Hapa kuleta sura ya kupendeza ingekuwa vizuri kama lingechimbwa na likawa bahari mpaka Surrender. Pembeni magorofa na Parks za kupumzika na kadhalika.

Kama wazungu wanatulingia na hela zao tuchukue hata za wachina au warusi. Siku za mbele watalii wengi wata miminika kuja kuona wanyama wetu. I am sure.

Rsis Magufuli mwaga pesa kwenye miradi na isimamie mwenyewe. Watanzania wanahitaji Motivation. Kuwa na taifa la watu wanyonge sioni kama ni busara.

Achana na SADC isikupotezee mda. Na hao wa Uganda kama hilo bomba lao la mafuta hawataki lipitie kwetu, tuachane nao. Tusing'ang'anie vitu vya wenzetu. Mafuta hayana future. Waache waedelee kusuasua tu. Europe magari ya diesel yamesha anza kupigwa marufuku kweye miji mikubwa kama Stuttgart.

Na hivi sasa kwenye Automobile industries betrii za gari zina matter sana.
 
Nani anae tamani kuona mbunge anapigwa risasi mchana kweupe na watuhumiwa hawakamatwi,huu utawala ni wakikatiri sana na ni wakisee,,,,Pamoja na wewe mtoa post ni museee...!!!
mtoa post anatamani jina litoke ktk ma DC wapya,hawaoni wenzake kina Musiba wanahangaika tu na hawapati hata u Katibu kata
 
Nimekuelewa sasa. Very positive contribution
 
Nani anae tamani kuona mbunge anapigwa risasi mchana kweupe na watuhumiwa hawakamatwi,huu utawala ni wakikatiri sana na ni wakisee,,,,Pamoja na wewe mtoa post ni museee...!!!
Mleta uzi mawe aliyotandikwa humu nadhani ataelewa kwanini Twaweza wamefungiwa .
 
TWAWEZA ya Maria Sarungi? Acha tu ifungiwe na ikiwezekana na yeye mwenyewe Maria afukuzwe nchi. Maria Sarungu ndiyo hao hao vibaraka wa mabeberu.

Maria Sarungu by the way sio mtanzania kwa taarifa yako. Maria Sarungu ana asili ya kitanzania kwa vile baba yake ni mtanzania, lakini yeye mwenyewe ana nationality ya Hungary kwa mama yake mzungu. Na amechukua kibongo cha mama yake Tsehai. Kwa majina Anajulikana kama Maria Sarungi Tsehai.

Maria Sarungi Tsehai ana agenda moja tu ya kufanya nayo ni kumkandia Rais wetu na serikali yake nje na hasa ujerumani ili ionekane kama ni serikali ya kidikteta ambayo inaendeshwa kwa misingi ya ukiukwaji wa haki za binadam. Promoter ni Deutsche Welle DW na NGOs tofauti Germany.

Sija msikia hata mara kwenye kwenye Deutsche Welle au Al Jaseera akieleza mambo mazuri ya miradi ambayo Rais wetu na serikali yake inayaifanya. Yeye ame FOCUS kwenye uongo wa kuiharibu serikali ya Magufuli tu na sio kingine. Ni nyoka hatari sana huyu mwanamke.

Hivyo Mzee Sarungi anapo sikia habari hizi za binti yake ana jisikiaje? Au na yeye ndiyo yuko kwenye kundi moja na mwanae?

Hii ndiyo mijitu ambayo haitaki kufanya kazi za kuleta maendeleo bali kupata pesa kutoka pesa za walipa kodi wa nchi nyingine kama Germany.

Maria Sarungi Tsehai ndiyo hao hao vibaraka wanao lipwa na NGOs kutoka ujerumani ambao wana nia ya kuzuia maendeleo yetu.

Ningekuwa mimi ndiyo Magufuli ninge mpiga marufuku kuja nchini. Aende akaishi huko huko mama yake anakotoka Hungary.

Itakuwaje mtu kama yeye ana ikashifu nchi ambayo Baba yake, wajomba na shangazi zake wanaishi kwa maslahi yake binafsi? Mbona hamlaumu Rais wa nchi ambayo mama yake anatoka ambaye anafanya mambo ya ovyo sana kuhusu wakimbizi kutoka Afrika na kuwatandea wamachi wake mambo mabaya?

Rais wa Hungary Victor Orban ni racist wa kupindukia. Na EU ana sifa mbaya sana. Naye pia ni mpinga kila kitu kinacho husu EU. Mbona hamshutumu yeye? Hapo ndipo utajua kiasi gani hawa watu wanatumika.

Kudai haki za binadam ni Afrika tu na sio kwao Ulaya?

Nafikiri iko siku Rais Magufuli atajijutia udhaifu wake wa kuwa na huruma na watu kama hawa.
 
Mkuu umekwenda mbali sana kwa chuki zako tu kwa Maria Sarungi. Umechanganya uwongo mwingi ili ku justify unayoyataka kutulisha.

TWAWEZA ni NGO iliyosajiliwa kihalali na Msajili wa NGOs nchini siyo mali ya Maria Sarungi na wala Maria Sarungi hafanyi kazi TWAWEZA. At most namjua founder CEO alikuwa anaitwa Rakesh Rajani na kwa sasa ni Aidan Eyakuze.

Secondly Tsehai ni jina la mume wa Maria, ila Maria Sarungi ni binti wa Prof Philemon Sarungi. Kama una shida ya uraia wake fikisha tuhuma yako Idara ya Immigration.

Kama unaandika taarifa za uwongo hata kiasi kidogo, zinachafua kabisa habari za ukweli ulizonazo.

Jukumu la kusifu miradi ya JPM lina watu wake including wewe, waache wengine wakosoe, ndiyo maana tulikwenda shule. Msilazimishe kila mmoja aone mnavyoona nyinyi. Nyinyi sifieni na wengine waache wafanye yao, wananchi nfdyo wataamua kwa njia ya kura
 
Nimekuambia weka ushahidi unaishia kubweka tu
Watanzania mnapenda majungu na umbeya hamna kabisa uhalisia unachokisema
Ushahidi upo ila kwenye utawala huu mtakataa kama mlivyokataa uvamizi wa Clouds studios mwaka 2017. Subiri Meko aondoke halafu hii thread tutaifukua tena.
 
Kwanini utendaji kazi wa magufuli unakuumiza roho?

Au mlidhani atafeli?
Siyo wivu bali nyie mnaomfananisha Nyerere na huyu mna kufuru na kumdhalilisha Nyerere. Msirudie tena kumfananisha Baba wa Taifa na vinyamkera.
 
Jenga hoja acha personal attacks
Wewe huna mamlaka ya kusema siwakilishi fikra za Baba wa Taifa
Kwasababu hunifahamu
Kwanza ondoa avatar ya Baba wa Taifa kwenye peofile yako. Huwakilishi fikra na falsafa zake.
 
Hii miradi mikubwa miwili SGR na Stieglers, barabara za kuunganisha mikoa na ujenzi wa makao makuu Dodoma peke yake haitoshi. Hii nchi bado ina njaa ya miradi mingine mikubwa mingi itakayo weza punguza ukosefu wa ajira kwa vijana wetu sasa na baadae.

Nikwambie tu kuna vijana na wanasiasa wakubwa tu walikuwa wanapinga ujenzi wa SGR na Stieglers

Unaweza kuona jinsi watanzania walivyo wajinga baadhi waliwaunga mkono

Ndio maana huwa sishangai Rais anapokuwa mkali Kwasababu yeye anavyanzo vingi vya Taarfa

Nchi hii kuna wanasiasa wanapokea mishahara miwili ya wazungu na kibunge

Ila furaha yetu ni kwamba Magufuli harudishwi nyuma na propaganda feki
 
Jenga hoja acha personal attacks
Wewe huna mamlaka ya kusema siwakilishi fikra za Baba wa Taifa
Kwasababu hunifahamu
Baba wa Taifa hakuwa mbaguzi kikabila na kikanda, unamashabikia Jiwe aliyewatenga watu wa Aeusha na Kilimanjaro.
Baba wa Taifa hakuwa muuaji, unashabikia mtu aliyeagiza Bensanane na Azory Gwanda wauliwe
Baba wa Taifa hakuwa mbinafsi wa kupenddelea alikozaliwa, unamshabikia anayejenga airport ya runway ya kimataifa kijijini kwake.
Baba wa Taifa akisema wasio na vyeti wasiajiriwe, unamshabikie aliyewaindoa wenye vyeti feki akamuacha mwanaye Bashite
Baba wa Taifa ndiye aliyesema twende kwenye vyama vingi, unamshabikia anyekakandamiza vyama vya upinzani
Baba wa Taifa alikuwa siyo mwizi, inamshabikia mwizi wa Tsh 2.4 Trilion
Ongeza mengine mwenyewe
 
Wachangiaji wamechangia kiulewedi wanaonyesha nchi yao wapi pa kupita

Sasa wewe Rafiki unatembea na sumu ya chuki dhidi ya magufuli
Ondoa zile negative opinions utaona jinsi mzee anavyochapa kazi
Mleta uzi mawe aliyotandikwa humu nadhani ataelewa kwanini Twaweza wamefungiwa .
 
88 Reactions
Reply
Back
Top Bottom