Zitakuja nyakati tutatamani Magufuli arudi hata siku moja madarakani

Ukipita mitandaoni utaona baadhi ya vijana wanavyolalamika bila Sababu

Wanamlaumu Rais magufuli kwamba maisha magumu
Ati zile maisha magumu zimeripotiwa na Rais wetu mpendwa

Tuliobahatika kuishi awamu zote tano Tunajua Mambo yalivyo na yalivyokuwa

Sisi wengine tumejifunza somo la uvumilivu tulivumilia hali ngumu kipindi cha Nyerere kutokana na Nchi yetu chini ya Nyerere kuwapinga mabeberu kwa vitendo

Mabeberu walifanya kila hila kimkwamisha Nyerere ila Kwasababu tulijua Nyerere anachopigania tulimvumilia hatukutaka tuwe wasaliti Ndani ya nchi yetu na Alifanya kazi kubwa

Baada ya hapo walipita ma Rais watatu kabla ya magufuli na walifanya kadri ya wawezavyo kuijenga Tanzania ila alipokuja magufuli tulipiga magoti kumshukuru Mungu tulijua magufuli ni nani na anataka nini
Nilikuwapo pale uhuru wakati magufuli akiapishwa sio siri nilitokwa na machozi nilimwona pia kadinali pengo akiifuta mawani yake bila shaka alitokwa na machozi

Siku ile mvua ilinyesha sana sikumbuki maneno mengi ya magufuli ila nakumbuka mstari mmoja tu alisema NiTAANZA KAZI LEO LEO Hii sentensi iliniamsha Ari ya uzalendo ule niliouamini kutoka kwa Baba wa Taifa mwl.Nyerere

Moja ya ziara za kwanza kabisa ya magufuli ilikuwa ni pale BOT baada ya ziara alisema banki kuu ni kama haina fedha maana yake zilitembea na wahuni kutokana na upole wa kikwete

Tuliomwamini magufuli tuliendelea kumwombea tulijua nguvu ya mafisadi katika Nchi Hizi maskini ni kubwa sana tulijua mafisadi watutumia kila mbinu kumkwamisha ni kweli wengine walihamisha pesa zao wengine walifunga biashara wengine walifanya kila aina ya ufedhuli kuhakikisha magufuli anakwama

Lakini miaka minne baadae Mzee yupo imara zaidi maadui zake wapo hoi wengine waliamua kuonyesha hasira zao hadharani kwa kumhujumu

Mimi binafsi nafurahi mwenyezi Mungu kunijalia uhai kushudia maajabu ya awamu ya tano awamu iliyojaa uzalendo,kupenda wananchi wake na kupigania maslahi ya Nchi
Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanasiasa na watu wasio wazalendo wanakubali kutumika na mabeberu ila hawatafanikiwa

Mimi nitawasilimua wajukuu wangu uzalendo wa Huyu msukuma toka kanda ya ziwa aliyeamua kuitengeneza ile Tanzania ya Nyerere aliyoitarajia

Ahsante magufuli ipo siku wanaokubeza watatamani urudi Ikulu hata saa moja tu urekebishe Mambo
Kwani ni ngumu kupata Rais mwaminifu na mchapa kazi kama wewe
atakaye tamani Magufuli ni msiba na bashite tu wengine wote tukisikia kaondoka kijumla kama mgabe au ally bashiri wa sudani tutasherehekea wiki nzima
 
Sikatai mkuu ila kujenga uchumi sio swala la mwaka mmoja
Inahitajika mikakati
Na mikakati aliyoileta magufuli naamini tutapiga hatua kubwa
Na mimi sikatai kuwa kujenga uchumi sio swala la mwaka mmoja mkuu ila kulingana na hali ilivyo hivi sasa serikali hainabudi kumwaga pesa katika miradi mbali mbali mikubwa ili wananchi wapate ajira. Na kama unavyojua kuwa ajira ni kipato kwa mtu mmoja mmoja.

Sielewi kwa nini Rais Magufuli aweke reserve ya US Dollar bilioni sita ya nini? Hizo hela si angezitumia tu kwenye projects tofauti ambazo zitaisaidia nchi kupata maendeleo?

Wewe unajua kuwa Tanzania tuko nyuma sana kwenye mambo ya Telecomuniction technogy kama 5G na mambo ya satellite technology kwanini asitilie mkazo hizi technologies zikatusaidia baadae?

Asiwaze kuingiza faida tu bali pia ajifunze ku invest kwa faida ya baadae pia. Investment isiwe one sided kwenye majengo na madaraja mazuri na barabara tu isipokuwa pia kwenye technologies za baadae kwa vijana wetu. Haya ni mambo ambayo wanafunzi wetu wanatakiwa kujifunza vyuoni.

Ili vijana wetu wawe competitive baadae lazima wawe wamesindikwa imara kiteknolojia na sio tu kuimiza uchuuzi wa umachinga. Kwa hali hii hatuwezi jenga vijana ambao watajiamini baadae kamwe.

Serikali lazima iweke mikakati madhubuti ya maisha yetu na vijana wetu baadae.

Anacho kifanya mpaka sasa ni kitu vizuri sana ila kwa mtazamo wangu naona hiyo miradi yaliyo ianzisha bado haitoshi kuwawezesha watanzania wengi wakawa na ajira. Rais Magufuli anatakiwa aachie pesa kwenye miradi mingi na sio kukumbatia pesa.

Sioni sababu ya kukumbatia pesa wakati nchi bado tuna rasilimali kubwa. It doesn't make any sence!

Kama kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma, hilo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa, lakini hai-justfy kuwa aendelee kubana matumizi yenye tija wakati wananchi wanaumia kwa kukosa pesa za kuendesha maisha yao. Ina msaidia nani?

To be honest, haya mambo ya kuwa-motivate wamachinga peke yake is a ridiculous thing. Wamachinga wana potential gani ya kusaidia kuinua uchumi wa hii nchi na kuleta maendeleo ya kweli?

Magufuli ni mwoga wa ku-deal na Diaspora. Hajui kuwa hawa watu baadhi yao wana exposure kubwa ya kusaidia nchi yetu kwenye maendeleo.

Nilimsikia siku akiisifu Morocco kuwa ina watalii wengi kwa mwaka kuliko sisi, kitu ambacho hajui ni kwamba wamoroko wana dual citzenship sisi hatuna. Waturuki wana dual cutzenship pia na ndiyo maana wame fanikiwa kupiga hatua katika technology kama hii ya SGR mpaka sasa.

Watu wanashida ya kipato. Amwage tu pesa kwenye miradi mingi itakuja kulipa baadae ninauhakika. Kulimbikiza pesa nyingi hajui marais watakao kuja baadae watakuwa na msimamo gani? Watazila pesa zote na wananchi hawata ambulia kitu. Je, atakuwa amekamilisha ndoto zake za kuwasaidia wanyonge?

Yeye na Rais Nyerere ni exceptionals wanatakiwa wawe saints, lakini hao wengine wote ni wabinafsi. Watazipiga hizo hela kwa manufaa yao. Hatujui lini tutapata marais kama hawa wawili tena.
 
Chato inakosaje umuhimu? Kule ni watanzania pia punguza chuki

Halafu hakuna mabilion yoyote yaliyopelekwa chato hizo ni propaganda tu
Airport inayojengwa chato unafikiri ni milioni mbili?
Chato haina umuhimu kuendelezwa huku kuna sehemu nyingi Tanzania zenye population kubwa na rasilimali za kutosha, we niambie Chato ina nini cha muhimu sana kuwekewa airport kubwa? Labda kuna kitu sikioni. Tumegundua madini kule au?
 
Hata Mimi ningemkumbatia makonda
Kwasababu kumfukuza makonda ilikuwa ni kurudisha mtandao wa madawa ya kulevya iliyosambaratishwa

Usije ukaona magufuli kakaa kimya ukajua ni mjinga

Mmekaa kusingizia mtandao wa madawa ya kulevya, hehehe, em niambie mtandao upi huo ambao Makonda aliukomesha? ulishawahi sikia hata mtu moja mkubwa kakamatwa toka hilo sakata lianze? Msiwe mnakuja na vitu ambavyo havina proof, makonda hajafanya chochote kudeal na wauza madawa, ni the same na kipindi cha nyuma tu, sanasana amekaa kutukana tu watu wazima kawageuza watoto wake.

Sisemi magufuli ni mjinga kukaa kimya, lazima ana sababu zake ndiyo, ila na wewe huwezi kaa ukadhani yeye ni smart kwa kukaa kimya, huwezi jua makonda ana nini cha kumfanya akae kimya, yaweza kua ni negative sio positive, au hata ikawa ni ego tu kua hapangiwi kitu na mtu, si mara ya kwanza anakurupuka kufanya jambo kwa sababu ya ego tu kujifanya kua yeye ndiye anajua kuliko mwingine nchi nzima.

Tatizo we ni sifia kila kitu, mmemgeuza jamaa kama mungu flani vile kua hana mapungufu. Kaa ukumbuke na yeye ni binadamu vilevile, ana feelings ka wengine, tena yeye ana hasira za kijinga sana kuliko mtu wa kawaida, ukitaka proof ingia online angalia hotuba zake karibia zote.
 
Ukipita mitandaoni utaona baadhi ya vijana wanavyolalamika bila Sababu

Wanamlaumu Rais magufuli kwamba maisha magumu
Ati zile maisha magumu zimeripotiwa na Rais wetu mpendwa

Tuliobahatika kuishi awamu zote tano Tunajua Mambo yalivyo na yalivyokuwa

Sisi wengine tumejifunza somo la uvumilivu tulivumilia hali ngumu kipindi cha Nyerere kutokana na Nchi yetu chini ya Nyerere kuwapinga mabeberu kwa vitendo

Mabeberu walifanya kila hila kimkwamisha Nyerere ila Kwasababu tulijua Nyerere anachopigania tulimvumilia hatukutaka tuwe wasaliti Ndani ya nchi yetu na Alifanya kazi kubwa

Baada ya hapo walipita ma Rais watatu kabla ya magufuli na walifanya kadri ya wawezavyo kuijenga Tanzania ila alipokuja magufuli tulipiga magoti kumshukuru Mungu tulijua magufuli ni nani na anataka nini
Nilikuwapo pale uhuru wakati magufuli akiapishwa sio siri nilitokwa na machozi nilimwona pia kadinali pengo akiifuta mawani yake bila shaka alitokwa na machozi

Siku ile mvua ilinyesha sana sikumbuki maneno mengi ya magufuli ila nakumbuka mstari mmoja tu alisema NiTAANZA KAZI LEO LEO Hii sentensi iliniamsha Ari ya uzalendo ule niliouamini kutoka kwa Baba wa Taifa mwl.Nyerere

Moja ya ziara za kwanza kabisa ya magufuli ilikuwa ni pale BOT baada ya ziara alisema banki kuu ni kama haina fedha maana yake zilitembea na wahuni kutokana na upole wa kikwete

Tuliomwamini magufuli tuliendelea kumwombea tulijua nguvu ya mafisadi katika Nchi Hizi maskini ni kubwa sana tulijua mafisadi watutumia kila mbinu kumkwamisha ni kweli wengine walihamisha pesa zao wengine walifunga biashara wengine walifanya kila aina ya ufedhuli kuhakikisha magufuli anakwama

Lakini miaka minne baadae Mzee yupo imara zaidi maadui zake wapo hoi wengine waliamua kuonyesha hasira zao hadharani kwa kumhujumu

Mimi binafsi nafurahi mwenyezi Mungu kunijalia uhai kushudia maajabu ya awamu ya tano awamu iliyojaa uzalendo,kupenda wananchi wake na kupigania maslahi ya Nchi
Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanasiasa na watu wasio wazalendo wanakubali kutumika na mabeberu ila hawatafanikiwa

Mimi nitawasilimua wajukuu wangu uzalendo wa Huyu msukuma toka kanda ya ziwa aliyeamua kuitengeneza ile Tanzania ya Nyerere aliyoitarajia

Ahsante magufuli ipo siku wanaokubeza watatamani urudi Ikulu hata saa moja tu urekebishe Mambo
Kwani ni ngumu kupata Rais mwaminifu na mchapa kazi kama wewe
Uzi murua sana
 
Miaka minne tu deni La taifa limedabo miaka 10 je.
kwani deni la taifa linakuhusu nini..wewe wajibu wako fanya kazi na lipa kodi ghalani..hujaambiwa unakuja kudaiwa nyumbani kwako. after all hata kama ni madeni, ni kwa ajili ya kupanua nguvu za kiuchumi pesa haiendi mfukoni mwa mtu..matumizi yake tunayaona nchi nzima..wewe nini bana kibaraka wa wazungu.. utabaki unalialia miaka yote hivyohivyo hutakaa uendelee..
 
Na mimi sikatai kuwa kujenga uchumi sio swala la mwaka mmoja mkuu ila kulingana na hali ilivyo hivi sasa serikali hainabudi kumwaga pesa katika miradi mbali mbali mikubwa ili wananchi wapate ajira. Na kama unavyojua kuwa ajira ni kipato kwa mtu mmoja mmoja.

Sielewi kwa nini Rais Magufuli aweke reserve ya US Dollar bilioni sita ya nini? Hizo hela si angezitumia tu kwenye projects tofauti ambazo zitaisaidia nchi kupata maendeleo?

Wewe unajua kuwa Tanzania tuko nyuma sana kwenye mambo ya Telecomuniction technogy kama 5G na mambo ya satellite technology kwanini asitilie mkazo hizi technologies zikatusaidia baadae?

Asiwaze kuingiza faida tu bali pia ajifunze ku invest kwa faida ya baadae pia. Investment isiwe one sided kwenye majengo na madaraja mazuri na barabara tu isipokuwa pia kwenye technologies za baadae kwa vijana wetu. Haya ni mambo ambayo wanafunzi wetu wanatakiwa kujifunza vyuoni.

Ili vijana wetu wawe competitive baadae lazima wawe wamesindikwa imara kiteknolojia na sio tu kuimiza uchuuzi wa umachinga. Kwa hali hii hatuwezi jenga vijana ambao watajiamini baadae kamwe.

Serikali lazima iweke mikakati madhubuti ya maisha yetu na vijana wetu baadae.

Anacho kifanya mpaka sasa ni kitu vizuri sana ila kwa mtazamo wangu naona hiyo miradi yaliyo ianzisha bado haitoshi kuwawezesha watanzania wengi wakawa na ajira. Rais Magufuli anatakiwa aachie pesa kwenye miradi mingi na sio kukumbatia pesa.

Sioni sababu ya kukumbatia pesa wakati nchi bado tuna rasilimali kubwa. It doesn't make any sence!

Kama kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma, hilo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa, lakini hai-justfy kuwa aendelee kubana matumizi yenye tija wakati wananchi wanaumia kwa kukosa pesa za kuendesha maisha yao. Ina msaidia nani?

To be honest, haya mambo ya kuwa-motivate wamachinga peke yake is a ridiculous thing. Wamachinga wana potential gani ya kusaidia kuinua uchumi wa hii nchi na kuleta maendeleo ya kweli?

Magufuli ni mwoga wa ku-deal na Diaspora. Hajui kuwa hawa watu baadhi yao wana exposure kubwa ya kusaidia nchi yetu kwenye maendeleo.

Nilimsikia siku akiisifu Morocco kuwa ina watalii wengi kwa mwaka kuliko sisi, kitu ambacho hajui ni kwamba wamoroko wana dual citzenship sisi hatuna. Waturuki wana dual cutzenship pia na ndiyo maana wame fanikiwa kupiga hatua katika technology kama hii ya SGR mpaka sasa.

Watu wanashida ya kipato. Amwage tu pesa kwenye miradi mingi itakuja kulipa baadae ninauhakika. Kulimbikiza pesa nyingi hajui marais watakao kuja baadae watakuwa na msimamo gani? Watazila pesa zote na wananchi hawata ambulia kitu. Je, atakuwa amekamilisha ndoto zake za kuwasaidia wanyonge?

Yeye na Rais Nyerere ni exceptionals wanatakiwa wawe saints, lakini hao wengine wote ni wabinafsi. Watazipiga hizo hela kwa manufaa yao. Hatujui lini tutapata marais kama hawa wawili tena.
Kweli tunatofautiana maono, yaani na huyu Magufuri unamfananisha na Nyerere na kumuita saint?? Hata shetani ameshituka alipoona maandishi yako, anyway kumbe wewe ni diaspora
 
Mmekaa kusingizia mtandao wa madawa ya kulevya, hehehe, em niambie mtandao upi huo ambao Makonda aliukomesha? ulishawahi sikia hata mtu moja mkubwa kakamatwa toka hilo sakata lianze? Msiwe mnakuja na vitu ambavyo havina proof, makonda hajafanya chochote kudeal na wauza madawa, ni the same na kipindi cha nyuma tu, sanasana amekaa kutukana tu watu wazima kawageuza watoto wake.

Sisemi magufuli ni mjinga kukaa kimya, lazima ana sababu zake ndiyo, ila na wewe huwezi kaa ukadhani yeye ni smart kwa kukaa kimya, huwezi jua makonda ana nini cha kumfanya akae kimya, yaweza kua ni negative sio positive, au hata ikawa ni ego tu kua hapangiwi kitu na mtu, si mara ya kwanza anakurupuka kufanya jambo kwa sababu ya ego tu kujifanya kua yeye ndiye anajua kuliko mwingine nchi nzima.

Tatizo we ni sifia kila kitu, mmemgeuza jamaa kama mungu flani vile kua hana mapungufu. Kaa ukumbuke na yeye ni binadamu vilevile, ana feelings ka wengine, tena yeye ana hasira za kijinga sana kuliko mtu wa kawaida, ukitaka proof ingia online angalia hotuba zake karibia zote.
Makonda alikuja kusambaratishwa waletaji madawa washindani na kutengeneza mfumo wa kuingiza madawa ya kulevya ya wapambe wake tu.
 
kwani deni la taifa linakuhusu nini..wewe wajibu wako fanya kazi na lipa kodi ghalani..hujaambiwa unakuja kudaiwa nyumbani kwako. after all hata kama ni madeni, ni kwa ajili ya kupanua nguvu za kiuchumi pesa haiendi mfukoni mwa mtu..matumizi yake tunayaona nchi nzima..wewe nini bana kibaraka wa wazungu.. utabaki unalialia miaka yote hivyohivyo hutakaa uendelee..

Sawa mkazi wa chatu,
 
Sawa nakubaliana na wewe , maana hata walioendelea walipitia wakati mgumu sana kimaisha na kiuchumi kama nchi lkn je kipimo cha maendeleo ni nini kwani?

Maana hatuwezi sema tunaendelea au tutaendelea huku watu wanalia ukata kila kona. Angetuandaa saikolojikali kuwa jamani kwa situesheni hii hatutaweza kukamilisha yafuatayo na baada ya kufanya hili tutafanya hili ambalo lina tija kwa taifa na vizazi vijavyo

Sio tujikaze huku hatujui nini kinachoendelea mara zinanunuliwa ndege ambapo si uwekezaji wenye tija kwa taifa mara mia angejenga SGR nchi yote mastiglaz goji ambapo tunajua nishati ni muhimu na usafirishaji wa ndani ni muhimu pia
 
Nenda zako huko, Nyerere akiwa Rais ulikuwa na umri gani? Na Mwinyi alipokuwa Rais ulikuwa unasoma wapi? Na Mr Clean alipokuwa Rais ulikuwa unafanyakazi wapi? Acha kutetea upumbavu kwa kuandika uongo wako. Brarifuuuuuu!!
 
Naona mkuu umechanganya mambo mengi kwenye hoja yako mpaka umepotea ulipoanzia. Kwanza umelaumu sekta binafsi kuwa ndiyo inaporomosha uchumi. Kwa hili nakupinga by 100%. Kati ya 1967 na 1985 tulikuwa na uchumi wa Serikali yaani Masharika ya umma ndiyo yalikuwa yanafanya biashara zote Tanzania. Matokeo tunayajua wote. Kuanzia 1990s mpaka leo Serikali ilibinafsisha mashirika yote ya umma na ndiyo huu uchumi tulionao. Kwa hiyo linganisha hivyo vipindi viwili unajua nani mjenga uchumi kati ya Serikali na sekta binafsi.

Umeongelea mambo ya teknoloji ya matreni na ya mjini (metros & trums) na waste disposal. Siyo kwamba hatujui kama hiyo teknoloji ipo au hatutaki bali kupanga ni kuchagua. Itakapofika wakati mwafaka tutai adopt.
Hawali ya yote kabla sija kujibu niliomba kukuuliza kama umesha wahi ishi kwenye nchi yeyote iliyo endelea duniani ambayo ina mfumo wa kibepari. Maana vingenevyo itakuwa vigumu kunielewa kama huo mfumo wa kibepari haujui vizuri ulivyo.

Inawezekana mkuu katika intepration ya information ya ubongo wako ikawa hivyo naomba samahani kwa hilo kama unaona nimechanganya mambo mengi kwenye hoja moja. Lengo langu kwenye hii hoja ilikuwa kutoa mawazo yangu juu ya miradi ambayo inaweza ikatusaidia kutengeneza au ku create ajira nyingi ambazo vijana wengi hasa wale waishio mjini DSM wanazihitaji kwa haraka sana.

Umesema vizuri Kuanzia 1990s mpaka leo Serikali ilibinafsisha mashirika yote ya umma na ndiyo huu uchumi tulionao, lakini katika mchangi wako huu wa hoja nina hisi kuna kitu umesahau.

Utakumbuka mwaka 2015 kuna uchaguzi wa taifa ulifanyika na tulimpata kiongozi mpya wa nchi. Mambo aliyo yafanya kiongozi huyu mpya sina aja ya kukueleza, naomba malizia mwenyewe.

Hapa chini kuna machache ambayo nimeyaorodhesha kwa uchache tu ili ukumbuke jinsi gani sekta binafsi baada ya huo uliouita ubinafsishaji kufanyika. Kuna mengi ambayo sija yatoa;

1. Unakumbuka kilichotokea kwenye bandari yetu?

2. Unakumbuka Reli ya kati na Tazara zilikuwaje? Pia Reli ya Tanga na Arusha?

3. Unakumbuka Ziwa Nyasa kulikuwa hakuna Meli? Unakumbuka MV Liemba ilikufa? Kuna meli ngapi zilikuwa zina operate ziwa Victoria toka meli iliyokuwepo kuzama?

4. Usafiri Dar ulikuwaje? Na barabara za mikoani je?

5. Elimu yetu mashuleni ilikuwaje?

6. What about Air Tanzania?

7. TTCL yetu je ilikuwa katika hali gani? Je serikali ilikuwa inapata devident?

8. Mitandao ya mawasiliano yalikuwaje?

9. Hali ya mgao wa Umeme ilikuwaje?

10. Maswala ya maji je?

Sasa ulimwengu wote unazungumzia technology mpya ya 5G na Glas fiber cable je, kuna plan yeyote ambayo sekta binafsi inatarajia kuifanya? Project kama hii sidhani kama kuna kampuni ambayo iko tayari ku-invest. Naomba nijuze.

Sijui wewe mwenzetu uko katika hali gani kimaisha, lakini sisi masikini tuna shida sana. Off course tunahitaji sekta binafsi, lakini unamsikia kila mara Rais akilalamika kuhusu sekta binafsi inavyo shindwa kuchangamkia fursa nyingi ambazo nchini zitatokea? Unajua kwa nini? Naomba majibu yako hapa.

What? Unasema nini? Tusubiri mpaka wakati mwafaka uje ndiyo tu adopt hizo Systems wakati tunazungumzia sera ya viwanda now?

Unajua saa nyingine kama huna cha kusema ni afadahli unyamaze maana naona unapenda kusema mambo ambayo huyajui na wala huna idea nalo.

Kama wewe ni mkazi wa jiji la DSM basi naomba zunguka kwenye mitaani yote ya jiji hapo ndiyo utajua nini nasema.

Mji umeelemewa na vijana wasio na uwezo wa kujilisha. Halafu wewe unasema tusubiri wakati mwafaka? Wakati gani ni mwafaka? Unataka kusubiri mpaka chaos inatokea ndiyo uanze kujenga miundo mbinu ambayo itatoa ajira nyingi kwa vijana? Aisee! Nafikiri wewe ni masikini wa akili sana.

Any way siwezi jua unachangia hoja kutoka kwenye perspective ipi? Laiti ningeju ningekueleza mengi. Vijana wana hitaji ajira sasa. Na hakuna mwelekeo wowote ambao nimeuona wa sekta binafsi kuweza kutoa ajira nyingi at once! Ni serikali ya Magufuli tu ina uwezo huo. Na sio mwingine!
SmartSelect_20190911-103446_Drive.jpeg
 
Ataongezewa mkuu sisi tupo tandahimba huku tunamuelewa sn huku kusini apige kazi tu.
Kuna kundi jingine kubwa sasa hivi linazaa hovyo huko bila kuwa na malengo halafu mwisho wa siku nao wanaishia kumlaumu JPM..

Awamu hii hakuna cha dezo, bila kufanya kazi halali hakuna hela tena naomba aongezewe miaka 5 ikamilike 15 na imani tutapata kizazi cha wachapakazi, achana na hiki kilichokuwa kimezoea dezo muda wote katika awamu zilizopita..
 
Hakuna siku katika maisha yangu sitawahi tamani huyu kiumbe arudi madarakani. Haipo...
Ukipita mitandaoni utaona baadhi ya vijana wanavyolalamika bila Sababu

Wanamlaumu Rais magufuli kwamba maisha magumu
Ati zile maisha magumu zimeripotiwa na Rais wetu mpendwa

Tuliobahatika kuishi awamu zote tano Tunajua Mambo yalivyo na yalivyokuwa

Sisi wengine tumejifunza somo la uvumilivu tulivumilia hali ngumu kipindi cha Nyerere kutokana na Nchi yetu chini ya Nyerere kuwapinga mabeberu kwa vitendo

Mabeberu walifanya kila hila kimkwamisha Nyerere ila Kwasababu tulijua Nyerere anachopigania tulimvumilia hatukutaka tuwe wasaliti Ndani ya nchi yetu na Alifanya kazi kubwa

Baada ya hapo walipita ma Rais watatu kabla ya magufuli na walifanya kadri ya wawezavyo kuijenga Tanzania ila alipokuja magufuli tulipiga magoti kumshukuru Mungu tulijua magufuli ni nani na anataka nini
Nilikuwapo pale uhuru wakati magufuli akiapishwa sio siri nilitokwa na machozi nilimwona pia kadinali pengo akiifuta mawani yake bila shaka alitokwa na machozi

Siku ile mvua ilinyesha sana sikumbuki maneno mengi ya magufuli ila nakumbuka mstari mmoja tu alisema NiTAANZA KAZI LEO LEO Hii sentensi iliniamsha Ari ya uzalendo ule niliouamini kutoka kwa Baba wa Taifa mwl.Nyerere

Moja ya ziara za kwanza kabisa ya magufuli ilikuwa ni pale BOT baada ya ziara alisema banki kuu ni kama haina fedha maana yake zilitembea na wahuni kutokana na upole wa kikwete

Tuliomwamini magufuli tuliendelea kumwombea tulijua nguvu ya mafisadi katika Nchi Hizi maskini ni kubwa sana tulijua mafisadi watutumia kila mbinu kumkwamisha ni kweli wengine walihamisha pesa zao wengine walifunga biashara wengine walifanya kila aina ya ufedhuli kuhakikisha magufuli anakwama

Lakini miaka minne baadae Mzee yupo imara zaidi maadui zake wapo hoi wengine waliamua kuonyesha hasira zao hadharani kwa kumhujumu

Mimi binafsi nafurahi mwenyezi Mungu kunijalia uhai kushudia maajabu ya awamu ya tano awamu iliyojaa uzalendo,kupenda wananchi wake na kupigania maslahi ya Nchi
Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanasiasa na watu wasio wazalendo wanakubali kutumika na mabeberu ila hawatafanikiwa

Mimi nitawasilimua wajukuu wangu uzalendo wa Huyu msukuma toka kanda ya ziwa aliyeamua kuitengeneza ile Tanzania ya Nyerere aliyoitarajia

Ahsante magufuli ipo siku wanaokubeza watatamani urudi Ikulu hata saa moja tu urekebishe Mambo
Kwani ni ngumu kupata Rais mwaminifu na mchapa kazi kama wewe
 
Hawali ya yote kabla sija kujibu niliomba kukuuliza kama umesha wahi ishi kwenye nchi yeyote iliyo endelea duniani ambayo ina mfumo wa kibepari. Maana vingenevyo itakuwa vigumu kunielewa kama huo mfumo wa kibepari haujui vizuri ulivyo.

Inawezekana mkuu katika intepration ya information ya ubongo wako ikawa hivyo naomba samahani kwa hilo kama unaona nimechanganya mambo mengi kwenye hoja moja. Lengo langu kwenye hii hoja ilikuwa kutoa mawazo yangu juu ya miradi ambayo inaweza ikatusaidia kutengeneza au ku create ajira nyingi ambazo vijana wengi hasa wale waishio mjini DSM wanazihitaji kwa haraka sana.

Umesema vizuri Kuanzia 1990s mpaka leo Serikali ilibinafsisha mashirika yote ya umma na ndiyo huu uchumi tulionao, lakini katika mchangi wako huu wa hoja nina hisi kuna kitu umesahau.

Utakumbuka mwaka 2015 kuna uchaguzi wa taifa ulifanyika na tulimpata kiongozi mpya wa nchi. Mambo aliyo yafanya kiongozi huyu mpya sina aja ya kukueleza, naomba malizia mwenyewe.

Hapa chini kuna machache ambayo nimeyaorodhesha kwa uchache tu ili ukumbuke jinsi gani sekta binafsi baada ya huo uliouita ubinafsishaji kufanyika. Kuna mengi ambayo sija yatoa;

1. Unakumbuka kilichotokea kwenye bandari yetu?

2. Unakumbuka Reli ya kati na Tazara zilikuwaje? Pia Reli ya Tanga na Arusha?

3. Unakumbuka Ziwa Nyasa kulikuwa hakuna Meli? Unakumbuka MV Liemba ilikufa? Kuna meli ngapi zilikuwa zina operate ziwa Victoria toka meli iliyokuwepo kuzama?

4. Usafiri Dar ulikuwaje? Na barabara za mikoani je?

5. Elimu yetu mashuleni ilikuwaje?

6. What about Air Tanzania?

7. TTCL yetu je ilikuwa katika hali gani? Je serikali ilikuwa inapata devident?

8. Mitandao ya mawasiliano yalikuwaje?

9. Hali ya mgao wa Umeme ilikuwaje?

10. Maswala ya maji je?

Sasa ulimwengu wote unazungumzia technology mpya ya 5G na Glas fiber cable je, kuna plan yeyote ambayo sekta binafsi inatarajia kuifanya? Project kama hii sidhani kama kuna kampuni ambayo iko tayari ku-invest. Naomba nijuze.

Sijui wewe mwenzetu uko katika hali gani kimaisha, lakini sisi masikini tuna shida sana. Off course tunahitaji sekta binafsi, lakini unamsikia kila mara Rais akilalamika kuhusu sekta binafsi inavyo shindwa kuchangamkia fursa nyingi ambazo nchini zitatokea? Unajua kwa nini? Naomba majibu yako hapa.

What? Unasema nini? Tusubiri mpaka wakati mwafaka uje ndiyo tu adopt hizo Systems wakati tunazungumzia sera ya viwanda now?

Unajua saa nyingine kama huna cha kusema ni afadahli unyamaze maana naona unapenda kusema mambo ambayo huyajui na wala huna idea nalo.

Kama wewe ni mkazi wa jiji la DSM basi naomba zunguka kwenye mitaani yote ya jiji hapo ndiyo utajua nini nasema.

Mji umeelemewa na vijana wasio na uwezo wa kujilisha. Halafu wewe unasema tusubiri wakati mwafaka? Wakati gani ni mwafaka? Unataka kusubiri mpaka chaos inatokea ndiyo uanze kujenga miundo mbinu ambayo itatoa ajira nyingi kwa vijana? Aisee! Nafikiri wewe ni masikini wa akili sana.

Any way siwezi jua unachangia hoja kutoka kwenye perspective ipi? Laiti ningeju ningekueleza mengi. Vijana wana hitaji ajira sasa. Na hakuna mwelekeo wowote ambao nimeuona wa sekta binafsi kuweza kutoa ajira nyingi at once! Ni serikali ya Magufuli tu ina uwezo huo. Na sio mwingine! View attachment 1204247
Naishi Tanzania lakini nimetembelea Ulaya Magharibi, Nchi mbali mbali za Africa na Asia.

Naona una doubt uelewa wangu wa economic empowerment kwa sababu tu unaweza kutamka 5 G technology na kudhani ujenzi wa SGR na ununuzi wa Bombadier ni ku create employment. Hauna hata takwimu za ajira zilizotengenezwa kwa miradi hiyo

Yote uliyoandika ni mkusanyiko wa maneno tu au kwa kifupi pumba.
 
Back
Top Bottom