Zisikie sababu za Mtangazaji wa Channel Ten Fred Mwanjala juu ya Ununuzi wa Ndege ili ujue kwanini Wanahabari Tanzania wanadharaulika sana

1. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Wanafunzi wawe wanazitumia
2. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Marubani wajue jinsi ya Kutua Viwanja vibaya kama vya Kigoma
3. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili ziwe zinawasafirisha Madaktari kwa haraka kukiwa na shida


Endeleeni ' Kuburudika ' nae Mtangazaji wa Channel Ten Fred Mwanjala akiwa ' mubashara ' eneo la Tukio la Uwanja wa Ndege.

Nawapenda sana Waandishi wa Habari wa Tanzania kwani wengi wao kama huyu Mtangazaji ' mahiri ' wa Channel Ten Fred Mwanjala wanaonyesha kabisa jinsi walivyo ' Weledi ' na ' makini ' kwa Kazi yao lakini pia wanatuonyesha ni jinsi gani walivyo Werevu, Wachambuzi wazuri na Watu ambao wana Ufahamu mkubwa wa mambo mbalimbali kuliko wale Wenzao wa nchi kama za Kenya, Uganda, Marekani, Uingereza, Afrika Kusini, Misri, Algeria na Ufaransa.

This is Tanzania!

Nawasilisha.
Pacha wa Zitto katika ubora wako,wewe ndie unajua kila kitu na unataka sote tufuate unavyowaza(sio kufikiri,sababu huwezi kufikiri)
 
Kusifia juhudi za jiwe ni kazi mpya tanzania, na unaajiriwa biila hata kujiuzulu, wala hata kuacha kazi, wewe jitambulishe, kama msifiaji basi uko kazini wako wengi hao
 
Wenye uelewa wakiongea inabidi familia zao ziwe zimeshatangulia Norway alafu na wao passport na visa mkononi kabisaaaaaa
 
Back
Top Bottom