Zipi taratibu za kuanzisha NGO na kuandikisha itambulike?

Mseriandy

Member
Mar 27, 2011
35
6
Nina wazo la kuanzisha NGO ya mazingira.

Nataka ifanye kazi wilaya moja, baadae mkoa mzima.

Vipi taratibu ni zipi?

Unaandikishaje kwa serikali ili kupata kibali?
 
Nina wazo la kuanzisha NGO ya mazingira.

Nataka ifanye kazi wilaya moja, baadae mkoa mzima.

Vipi taratibu ni zipi?

Unaandikishaje kwa serikali ili kupata kibali?

ninaweza kukusaidia napatikana 0655 308308.
 
Back
Top Bottom