Zipi siku za kupata mimba kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 25-28?

Samawia

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
594
457
Msaada tafadhali,mwezi January hedhi lianza tarehe 11 ,mwezi wa February ilianza tarehe 8, mwezi huu imeanza jana 05/March,na siku za za hedhi ni 3-4.
Nilitarajia mwezi huu ingeanza 08/March lakini yametokea mabadiliko hayo imeanza siku tatu kabla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia tarehe 20/3/2019 bakambu lipigwe kwa kwenda mbele.
Lakini mimba kushika inategemea na
1. Lishe ya baba na mama.
2. Afya ya uzazi ya baba na mama.
3. Mikunjo
4. Saikolojia
 
Mkuu, uwe unasearch thread kuhusu swali lako kisha utapata msaada zaidi sababu kuna nyuzi nyingi zinaeleza hili jambo.

Kwanza wapaswa kutambua kuwa yai likutanapo na mbegu ndipo ujauzito uanzapo. Sasa wapaswa kujua ni muda gani yai lako linashuka ili kupokea mbegu?

Kwa Mzunguko wa siku 28, siku ambayo yai lishuka ni siku ya 14 tangu pale ulipoanza kubleed, mfano mwezi huu umeanza tarehe 05, kuanzia tarehe 05 ndio itakuwa siku ya kwanza, hesabu mpaka siku ya 14 itadondokea tarehe ipi? Hiyo ndio siku haswa ya kuweza kuupata ujauzio.

Ila kumbuka kuwa hata siku 12 yaweza kusababisha kupata mimba endapo ukasex na mbegu zikawa humo, asilimia kubwa mbegu huweza kukaa siku 3 na kuendelea ndani ya Uke kwahiyo yai likitoka siku ya 14 litaweza kukutana na hizo sperms.

Kila la heri.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Asante mkuu,je kwa mzunguko wa siku 25 na 28 bila mpangilio maalum siku Ni ileile ya 14?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua hii japo iko general kwa mwanamke yeyote achana na ishu ya mzunguko sijui 28,25.
Kuanzia siku ya 10 toka period huwa ndiyo siku ya kupata mimba mpaka siku ya kumi na nane, hii ni general kwa wanawake wote ikiwa na maana kuwa wapo wale wa siku ya 10-13/14, 11-14/15....... 16-18, lakini mwisho kwa yeyote ni siku ya 18.
Ili uwe salama usicheze ndani ya siku hizo yani kuanzia siku ya 10-18, kama unatafuta another mouth to feed basi piga siku zote hizo kuanzia ya 10-18.
Usipopata basi basi wachungaji wanakuhusu
Angalizo mimi siyo mtaalamu wa afya ya uzazi

Nimekupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, uwe unasearch thread kuhusu swali lako kisha utapata msaada zaidi sababu kuna nyuzi nyingi zinaeleza hili jambo.

Kwanza wapaswa kutambua kuwa yai likutanapo na mbegu ndipo ujauzito uanzapo. Sasa wapaswa kujua ni muda gani yai lako linashuka ili kupokea mbegu?

Kwa Mzunguko wa siku 28, siku ambayo yai lishuka ni siku ya 14 tangu pale ulipoanza kubleed, mfano mwezi huu umeanza tarehe 05, kuanzia tarehe 05 ndio itakuwa siku ya kwanza, hesabu mpaka siku ya 14 itadondokea tarehe ipi? Hiyo ndio siku haswa ya kuweza kuupata ujauzio.

Ila kumbuka kuwa hata siku 12 yaweza kusababisha kupata mimba endapo ukasex na mbegu zikawa humo, asilimia kubwa mbegu huweza kukaa siku 3 na kuendelea ndani ya Uke kwahiyo yai likitoka siku ya 14 litaweza kukutana na hizo sperms.

Kila la heri.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
nmekuelewa sana mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom