Zipi sababu za kukufanya Ufikiri kuwa Magufuli anafaa au hafai kuendelea kuongoza taifa hili kwa ngwe ya pili 2020-2025?

Kama kawaida yet u watanzania kila baada ya miaka 5 ufanyika uchaguzi mkuu wa Urais,Ubunge na Udiwani,

Mwaka 2015 umefanyika uchaguzi uliomuacha Magufuli kileleni kwa kura 8,000,000 za waliojitokeza kupiga kura Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya uchaguzi,

Yapo mambo ambayo aliahidi na kufanya vema, lakin yapo mambo ambayo mpaka sasa kuna sintofahamu,

Kwa mengine ameyaweza

1.MIUNDOMBONU
tumeshuhudia ujenzi ukiendelea kila kona kama vile
A.Ujenzi wa Barabara
B.Ukarabati wa Vivuko
C.Ujenzi wa Mabweni na viwezeshi vya elimu nchini

2.USAFIRI
A.Ununuzi wa ndege
B.Ujenzi wa reli ya standard gauge
C.Ujenzi wa Meli ziwa Victoria
D.Upanuzi wa viwanja vya ndege

3.RUSHWA
Hapa kuna maoni tofauti kutoka kwa wadau mbali mbali kuwa ni hadaa tu ya kutulaghai hakuna suala lolote limefanyika,

4.ELIMU
Elimu bila malipo kuanzia chini mpaka sekondari

Maeneo ambayo Kafanya vibaya sana

1.RUSHWA
Bado rushwa ipo nchini hakuna uhuru wa kuhoji mapato na matumizi ndani ya baadhi ya Taasisi,
Hata zile zinazusanywa kutoka Kwa wahujumu uchumi hatujaelezwa zinaenda sehem gani na zitafanya nini

2.MAAMUZI YA JAZBA
Kuna maamuzi rais wetu anafanya mpaka unaweza kujiuliza hivi huyu kawazaje mpaka haya yanatamkwa?

3.UONEVU
KUTISHIA WAWEKEZAJI
4.UKIUKWAJI WAHAKI ZA BINADAMU
5.UMINYWAJI WA DEMOKRASIA NA UHURU WA HABARI
6.UPOTEAJI WA WATU WAKOSOAJI

Naendelea............
Mi nadhani anafaa kuendelea, ila anapaswa kujirekebisha kwenye baadhi ya mambo.

Ajifunze pia kwamba maendeleo ni zaidi ya reli, ununuzi wa ndege na yafananayo.

Atazame pia vitu visivyoshikika mfano uhuru wa watu kujieleza, kuheshimu utu wa mtu, aache kufokea watumishi hadharani kwani hata yeye hakuwahi fokewa hadharani na watangulizi wake.

Ikiwa aliwafukuza watumishi kwa kufoji vyetu awaguse pia wanasiasa na viongozi wanaotuhumiwa kufanya hivyo.

Aimarishe zaidi mifumo, kuongoza nchi kwa style ya one man show itamzeesha.

Asiutazame ubepari kama ni uadui bali ushindani katika biashara.

Hakuna haja ya kuteua maprofesa kuwa mabalozi ama wanasiasa ili hali kazi hizo zinaweza kufanywa na watu wenye degree moja ama mbili. Awaache wakae vyuoni kufanya utafiti na kufundisha bali awaongezee maslahi.

Sheria za nchi ziheshimiwe, nchi haiwezi kuongozwa kwa amri. Duniani huwezi kusikia waziri mkuu wa uingereza eti ametoa amri ili mkuu wa mkoa wa mkoa fulani atekeleze hiki wala kile, mifumo na sheria ndiyo kila kitu.

Ikiwa anahitaji jambo ambalo halipo kwenye sheria ni bora kubadili sheria kuliko kuivunja.

Aache watu waone bunge live, hoja ya gharama haina mashiko.

Mwisho, ANAFAA KUENDELEA, ILA ANAHITAJI ROHO YA KIKWETE KWA MBAAAALI.
 
Hajaacha kupandisha mishahara kwa makusudi kama inavyojengwa hoja na wengi humu jukwaani, kuna miradi ya kimkakati ambayo kukamilika kwake kutachagiza hata hilo ongezeko la mshahara.

Nchi ilikuwa haijafunguliwa kulingana na wingi wa rasilimali zilizopo, inapofunguliwa kwa miundo mbinu kusambaa kila sehemu hata hao wanaodai ongezeko la mishahara watafikiwa na faida za kiuchumi kwa njia moja au nyingine.

Vigezo vya ubora ni suala binafsi, kila mtu anayo maoni yake yenye kuongozwa na vigezo vya kwake binafsi.

Ukiacha mradi wa stiegler gorge hiyo mingine yote kaikuta toka kwa mtangulizi wake katika hatua ya utekelezaji au ikiwa tayari kuanza. Na hata kama ingetekelezwa sidhani kama wangeacha kuongeza hiyo mishahara maana ipo kisheria. Ni hivi, sio rais bora fullstop.
 
Kama anajiamini aweke Demokrasia ndani ya CCM tu a one kama 2020 awajampiga chini kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea wa CCM,hapa siongelei kitaba mpya na time huru ya uchaguzi.
Hizo kelele za demokrasia zimetulostisha kwa muda mrefu sana, hayo majibizano ya kisiasa na uhuru ni vigezo wanavyotumia wazungu kutudumaza kimaendeleo, tunabakia katika uhuru wa maongezi wakati wenzetu wanazidi kubuni kila aina ya vitendea kazi vya kurahisisha maisha.
 
Ukiacha mradi wa stiegler gorge hiyo mingine yote kaikuta toka kwa mtangulizi wake katika hatua ya utekelezaji au ikiwa tayari kuanza. Na hata kama ingetekelezwa sidhani kama wangeacha kuongeza hiyo mishahara maana ipo kisheria. Ni hivi, sio rais bora fullstop.
Unachokosea ni kutoelewa kwamba JPM na JK wote wanatekeleza ilani ya CCM, ni sawa pia kusema alichokifanya JK ni muendelezo wa kilichoanzishwa kufanywa na BWM ambaye nae alirithi miradi ya AHM.
 
Kama kawaida yet u watanzania kila baada ya miaka 5 ufanyika uchaguzi mkuu wa Urais,Ubunge na Udiwani,

Mwaka 2015 umefanyika uchaguzi uliomuacha Magufuli kileleni kwa kura 8,000,000 za waliojitokeza kupiga kura Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya uchaguzi,

Yapo mambo ambayo aliahidi na kufanya vema, lakin yapo mambo ambayo mpaka sasa kuna sintofahamu,

Kwa mengine ameyaweza

1.MIUNDOMBONU
tumeshuhudia ujenzi ukiendelea kila kona kama vile
A.Ujenzi wa Barabara
B.Ukarabati wa Vivuko
C.Ujenzi wa Mabweni na viwezeshi vya elimu nchini

2.USAFIRI
A.Ununuzi wa ndege
B.Ujenzi wa reli ya standard gauge
C.Ujenzi wa Meli ziwa Victoria
D.Upanuzi wa viwanja vya ndege

3.RUSHWA
Hapa kuna maoni tofauti kutoka kwa wadau mbali mbali kuwa ni hadaa tu ya kutulaghai hakuna suala lolote limefanyika,

4.ELIMU
Elimu bila malipo kuanzia chini mpaka sekondari

Maeneo ambayo Kafanya vibaya sana

1.RUSHWA
Bado rushwa ipo nchini hakuna uhuru wa kuhoji mapato na matumizi ndani ya baadhi ya Taasisi,
Hata zile zinazusanywa kutoka Kwa wahujumu uchumi hatujaelezwa zinaenda sehem gani na zitafanya nini

2.MAAMUZI YA JAZBA
Kuna maamuzi rais wetu anafanya mpaka unaweza kujiuliza hivi huyu kawazaje mpaka haya yanatamkwa?

3.UONEVU
KUTISHIA WAWEKEZAJI
4.UKIUKWAJI WAHAKI ZA BINADAMU
5.UMINYWAJI WA DEMOKRASIA NA UHURU WA HABARI
6.UPOTEAJI WA WATU WAKOSOAJI

Naendelea............
Tukumbushane maneno ya Mzee Ngombali Mwiru.

Yu
 
Unachokosea ni kutoelewa kwamba JPM na JK wote wanatekeleza ilani ya CCM, ni sawa pia kusema alichokifanya JK ni muendelezo wa kilichoanzishwa kufanywa na BWM ambaye nae alirithi miradi ya AHM.

Sio kwamba sijui hao wote ni ccm, bali ni hapo unapotaka kuonyesha kwamba kwa sasa ndio tumepata kiongozi sahihi tofauti na huko nyuma.
 
Sio kwamba sijui hao wote ni ccm, bali ni hapo unapotaka kuonyesha kwamba kwa sasa ndio tumepata kiongozi sahihi tofauti na huko nyuma.
Huyu yupo njema sana ndio maana nakwambia kwamba kila mtu anacho kigezo chake cha ubora wa kiongozi.

Huyu ni mfuatiliaji wa kazi na yupo karibu na kazi yake, sio mlaji wa bata na mtu mwenye kupenda uzungu na tamaduni zake.

Ana energy kubwa kumzidi JK na hata BWM, kavunja daraja la wapigaji na wananchi waliokuwa wakidhulumiwa miaka ya nyuma.
 
Ni kweli ana style tofauti na hao kina JK, ila sio kwamba ni bora sana.
 
Hizo kelele za demokrasia zimetulostisha kwa muda mrefu sana, hayo majibizano ya kisiasa na uhuru ni vigezo wanavyotumia wazungu kutudumaza kimaendeleo, tunabakia katika uhuru wa maongezi wakati wenzetu wanazidi kubuni kila aina ya vitendea kazi vya kurahisisha maisha.

Badilisheni katiba iwe nchi ya kifalme au mwambieni JPM afute mambo ya uchaguzi na atumie hizo pesa kuleta maendeleo mpaka pale atakapokufa na kurithiwa na mwanae. Vinginevyo kama anajiamini yeye anafanya vizuri kunakopelekea kukubalika ndani ya CCM basis uruhusu uchaguzi huru ndani ya CCM tu.
 
Chaguzi zipo huru tatizo la watu kama wewe ni kujaa uoga kunakotokana na kujazwa uoga na watu waliozoea maisha ya mazabe.

Kuna watu waliomba Mungu tuongozwe na rais mbabe, huyu anao ubabe wenye kujali maskini, mpaka mtu kama wewe aeleweke kwa wenye kufaidika na ubabe huu, basi mawio ya jua yataanzia magharibi badala ya mashariki.
 
Kuirudisha nchi kwenye nidhamu lazima uitwe dikteta
Kama kawaida yet u watanzania kila baada ya miaka 5 ufanyika uchaguzi mkuu wa Urais,Ubunge na Udiwani,

Mwaka 2015 umefanyika uchaguzi uliomuacha Magufuli kileleni kwa kura 8,000,000 za waliojitokeza kupiga kura Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya uchaguzi,

Yapo mambo ambayo aliahidi na kufanya vema, lakin yapo mambo ambayo mpaka sasa kuna sintofahamu,

Kwa mengine ameyaweza

1.MIUNDOMBONU
tumeshuhudia ujenzi ukiendelea kila kona kama vile
A.Ujenzi wa Barabara
B.Ukarabati wa Vivuko
C.Ujenzi wa Mabweni na viwezeshi vya elimu nchini

2.USAFIRI
A.Ununuzi wa ndege
B.Ujenzi wa reli ya standard gauge
C.Ujenzi wa Meli ziwa Victoria
D.Upanuzi wa viwanja vya ndege

3.RUSHWA
Hapa kuna maoni tofauti kutoka kwa wadau mbali mbali kuwa ni hadaa tu ya kutulaghai hakuna suala lolote limefanyika,

4.ELIMU
Elimu bila malipo kuanzia chini mpaka sekondari

Maeneo ambayo Kafanya vibaya sana

1.RUSHWA
Bado rushwa ipo nchini hakuna uhuru wa kuhoji mapato na matumizi ndani ya baadhi ya Taasisi,
Hata zile zinazusanywa kutoka Kwa wahujumu uchumi hatujaelezwa zinaenda sehem gani na zitafanya nini

2.MAAMUZI YA JAZBA
Kuna maamuzi rais wetu anafanya mpaka unaweza kujiuliza hivi huyu kawazaje mpaka haya yanatamkwa?

3.UONEVU
KUTISHIA WAWEKEZAJI
4.UKIUKWAJI WAHAKI ZA BINADAMU
5.UMINYWAJI WA DEMOKRASIA NA UHURU WA HABARI
6.UPOTEAJI WA WATU WAKOSOAJI

Naendelea............
 
Magufuli he is the best President ever...Ukweli lazima tuuseme Kwa sasa hakuna mbadala wa Magufuli Kwa miaka mingine mitano....huyu mzee kalitendea mema sana Taifa letu.....Yeye si Malaika akakosa Mapungufu lakini mpaka sasa ana Mazuri mengi mno kwa Nchi yetu kulinganisha na mabaya tunayoaminishwa na baadhi ya watu ambao nao ni wachafu kupindukia
Leo too watu wanaona Membe ni mbadala wa Magufuli Kwa lipi Jema alilolifanya kwa Nchi hii wakati akiwa Waziri na Mbunge????
Halafu Watanzania tunatakiwa kujihadhali mno na hawa wanaopingana na Rais wetu Kwa sasa hawa si wao bali wanatumiwa na baadhi ya wabaya wetu walioguswa maslahi yao ya kifisadi waliokuwa wanafaidika nayo awamu zilizo pita....
Mfano hivi Kia akili ndogo mnafikiri Tundu Lissu huko Kwa hao Wazungu wanashindwa Nini kumfadhili kipesa au kumhakikishia njia yoyote Ile ashinde Urais na yeye kuwalipa ahsante Kwa kuwauzia Rasilimali zetu.....(Na ndio màana Leo too Membe,Zitto na Lissu ni marafiki Kwa kuunganishwa na majizi ya baadae ya Nchi yetu)
Magufuli angekuwa Hapendwi kama tunavyoaminisha ma Magenge ya ajabu humu mitandaoni mbona watu tungekuwa Tumeishaingia barabarani......Ukimya wa Watanzania ni Kwa sababu tunaona kweli anaitendea Nchi yetu mambo mazuri mno

Tunajua sana kuwa yeye siyo malaika. ukweli hatuna haja ya kiongozi asiyejali watu. Huwezi kuijengea familia yako nyumba kisha ukamuuwa mtoto wako halafu upewe sifa kwa kujengea familia nyumba. Amalize tu muda wake apumzike.
 
Nchi za wenzetu hazimpima kiongozi kwa kujenga vitu kama miundombinu pekee, bali humpima kwa kuheshimu utu wa watu wake,demokrasia,uhuru wa watu kutoa maoni,kuheshimu katiba na sheria za nchi husika na kigezo kingine kikubwa kikiwa ni peformance ya kiongozi katika maswala kama uchumi,na ajira,

Ni kweli pia ukishindwa kuboresha miundombinu huku unakusanya kodi, watakupiga chini,ila hata ukijenga miundombinu na ukafeli katika hayo maeneo niliyotaja,bado tu watakupiga chini.
 
Back
Top Bottom