Zipi ni sababu za msingi kwa Democratic kupinga ujenzi wa ukuta mpakani mwa Marekani na Mexico?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,198
12,883
Kwa muda sasa kumekuwa na kashikashi kati ya Rais Trump na viongozi wa chama cha Democratic juu ya kutaka kujenga Ukuta katika mpaka wa Marekani na Mexico, Democratic ni wazi hawataki ukuta ujengwe zaidi ya kumtaka rais Trump azidishe tu ulinzi huko border huku Trump bado akishinikiza lazima ukuta ujengwe kiasi kupelekea ata shughuli za Serikali kusimama kwa muda sasa katika Wizara 8..

Swali langu la msingi hapa linalonifanya nishindwe kuelewa kizungumkuti hiki..!
1. Je, Democratic wanafaidika moja kwa moja na udhaifu uliyopo huko boda..?

2. Zipi hasara ambazo Marekani kama taifa itazipata endapo ukuta utajengwa..?
3. Nini kitatokea kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Wafuatiliaji wa habari za Kimataifa naomba mnijuze?
 
Hila za Kisiasa ni mojawapo ya hoja, Republican wanataka kujipatia Wafuasi zaidi wakijua nn maamuzi trump atachukua, na kupitia maamuzi yake pengine watajiimarisha zaidi, kuna mengi tutasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Wanafaidika na kura za walatino watakaoingia na waliopo marekani.
2.Kama taifa hakuna hasara yoyote marekani itapata kwa kujenga ukuta zaidi ya faida.
3.Trump hana historia na kurudi chini akiwa amesimamia kitu,sasa hali ikiendelea kuwa hivi tutashuhudia mgongamo mkubwa katia ya republican na democrat,sababu hakuna anayetaka kukubali ku lose.

NB:Trump has a valid reason za kujenga ukuta kuliko democrats wanaokataa kusijengwe ukuta.Ukweli ni kwamba Wamarekani wengi hasa wanaoishi mpaka wa kusini wanamsapport Trump kuhusu ujenzi wa ukuta sababu wao ndo wanaona kero za wahamiaji na wauza madawa mara kwa mara.Sema mainstream media nazo zinapotosha sana kuhsu hii Issue,Mfano CNN wakiwa na kinara wao Jim Acosta.
 
Democrats wanaoana ni kupoteza fedha za wananch kujenga ukuta. Hata hivyo hawakumyima ela bali walimoa 1.3b usd, lkn trump anataka 5b usd.
Trump aka freeze baadhi ya taasisi za serikali ili kuwapa shinikizo Dem,

Dem ndo wanaongoza House na ndo wenye mandate kwenye bajeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump katika kampeni za uchaguzi aliahidi ukuta utajengwa kwa gharama za nchi ya Mexico, hivyo Dem hawaoni sababu ya serikali kutoa pesa kugharamikia miradi ya ahadi za uongo... wanafanya kumkomoa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Democrat wanataka kula za walatino na wahamiaji wengine. Sometimes democracy ndiyo huangusha nchi. watu wanafanya maamuzi kwaajili ya kula na si nchi.
1.Wanafaidika na kura za walatino watakaoingia na waliopo marekani.
2.Kama taifa hakuna hasara yoyote marekani itapata kwa kujenga ukuta zaidi ya faida.
3.Trump hana historia na kurudi chini akiwa amesimamia kitu,sasa hali ikiendelea kuwa hivi tutashuhudia mgongamo mkubwa katia ya republican na democrat,sababu hakuna anayetaka kukubali ku lose.

NB:Trump has a valid reason za kujenga ukuta kuliko democrats wanaokataa kusijengwe ukuta.Ukweli ni kwamba Wamarekani wengi hasa wanaoishi mpaka wa kusini wanamsapport Trump kuhusu ujenzi wa ukuta sababu wao ndo wanaona kero za wahamiaji na wauza madawa mara kwa mara.Sema mainstream media nazo zinapotosha sana kuhsu hii Issue,Mfano CNN wakiwa na kinara wao Jim Acosta.
Aaah sasa naanza kuelewa kuwa kumbe Democrats wanatumia mwanya wa Demokrasia kumkwamisha Rais Trump..!
 
Si aliwaahidi Mexico ndio watalipia ukuta ? Sasa hiyo ni ukweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mexico walipogoma alisema wao Marekani wataujenga lakini Mexico lazima watalipia tu, namna ya kulipia ni kuongeza tozo kwa bidhaa za Mexico wanazopeleka kuziuza Marekani na namna nyingine ni ukuta kujengwa kwa materials ambazo zitakua chanzo cha Power source ambapo Mexico lazima wao watahitaji umeme sababu maeneo ya mpakani wana shida ya umeme wa uhakika na hapo ghalama za ujenzi lazima zirudi.

Sasa hapo kadanganya kivipi?
 
Kwa muda sasa kumekuwa na kashikashi kati ya Rais Trump na viongozi wa chama cha Democratic juu ya kutaka kujenga Ukuta katika mpaka wa Marekani na Mexico, Democratic ni wazi hawataki ukuta ujengwe zaidi ya kumtaka rais Trump azidishe tu ulinzi huko border huku Trump bado akishinikiza lazima ukuta ujengwe kiasi kupelekea ata shughuli za Serikali kusimama kwa muda sasa katika Wizara 8..

Swali langu la msingi hapa linalonifanya nishindwe kuelewa kizungumkuti hiki..!
1. Je, Democratic wanafaidika moja kwa moja na udhaifu uliyopo huko boda..?

2. Zipi hasara ambazo Marekani kama taifa itazipata endapo ukuta utajengwa..?
3. Nini kitatokea kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Wafuatiliaji wa habari za Kimataifa naomba mnijuze?
Uwe unasoma na kufuatilia ndo utaelewa Wajumbe wengi wa baraza la wawakilishi na Senate (Dems &Repl) hawakubaliana na mpango wa ujenzi wa ukuta. Pili Trump ameshaona namna makampuni yake yatakvyopata pesa kutokana tenda ya ujenzi wa ukuta.
USA watu wanategemea sana wananchi kutoka nchi za Amerika waingie kihurahisi ili wapate cheap labour, Sex workers, wanamichezo nk kwahiyo wafanyabiashara wengi pia hawaungi mkono hilo suala. Vilevile ukiweka ukuta maana yake utapunguza askari hivyo watu watakosa kazi

Mbona povu mkuu..! Kwani umelazimishwa kuleta ufafanuzi?
 
Trump katika kampeni za uchaguzi aliahidi ukuta utajengwa kwa gharama za nchi ya Mexico, hivyo Dem hawaoni sababu ya serikali kutoa pesa kugharamikia miradi ya ahadi za uongo... wanafanya kumkomoa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump alishatoa ufafanuzi kusuhu jinsi mexco watakavyo ghalamia ujenzi wa ukutu akasema hivi.. Mexco wataulipia ukuta kwa kulipia ushuru kwenye mpaka sio kama ilivyo saivi wanatumia njia za panya.
 
[QUOTE="kapalamsenga, post: 30020974, member: 156918"kawe unasoma na kufuatilia ndo utaelewa Wajumbe wengi wa baraza la wawakilishi na Senate (Dems &Repl) hawakubaliana na mpango wa ujenzi wa ukuta. Pili Trump ameshaona namna makampuni yake yatakvyopata pesa kutokana tenda ya ujenzi wia ukuta.
USA watu wanategemea sana wananchi kutoka nchi za Amerika waingie kihurahisi ili wapate cheap labour, Sex workers, wanamichezo nk kwahiyo wafanyabiashara wengi pia hawaungi mkono hilo suala. Vilevile ukiweka ukuta maana yake utapunguza askari hivyo watu watakosa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Hiyo ni kawaida wananchi huwa wanaangalia faida hata kama kuna madhara fulani kwa nchi. Just a logic kuwa binadamu hujali zaidi jambo linalomgusa yeye moja kwa moja. Hivyo Trump anachofanya kama Serikali ni kuzuia Mambo yanayohatarisha Usalama wa watu hasa uingizwaji wa madawa ya kulevya na Mexico ndio wanaoongoza na uhalifu mwingine. Mbali na madaya lakini pia ni kuzuia idadi kubwa sana ya illegal migrants wanaoingia kwa idadi kubwa sana.

Trump yupo sahihi na wanaompinga wanajua yupo sahihi ila nikutaka kumkwamisha tu kisiasa.
 
Dem ndiyo wanao licontrol bunge sasa hivi, Trump alisema wasipo lipitisha hili swala la ukuta hatasaini mswada wowote wa sheria utakao pitishwa na bungeni....
 
Democrat wanataka kula za walatino na wahamiaji wengine. Sometimes democracy ndiyo huangusha nchi. watu wanafanya maamuzi kwaajili ya kula na si nchi.
Nchi kwanza au kula " kura" kwanza.Nilidhani hayo mambo yako kwetu Africa tuu.
 
[QUOTE="kapalamsenga, post: 30020974, member: 156918"kawe unasoma na kufuatilia ndo utaelewa Wajumbe wengi wa baraza la wawakilishi na Senate (Dems &Repl) hawakubaliana na mpango wa ujenzi wa ukuta. Pili Trump ameshaona namna makampuni yake yatakvyopata pesa kutokana tenda ya ujenzi wia ukuta.
USA watu wanategemea sana wananchi kutoka nchi za Amerika waingie kihurahisi ili wapate cheap labour, Sex workers, wanamichezo nk kwahiyo wafanyabiashara wengi pia hawaungi mkono hilo suala. Vilevile ukiweka ukuta maana yake utapunguza askari hivyo watu watakosa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kawaida wananchi huwa wanaangalia faida hata kama kuna madhara fulani kwa nchi. Just a logic kuwa binadamu hujali zaidi jambo linalomgusa yeye moja kwa moja. Hivyo Trump anachofanya kama Serikali ni kuzuia Mambo yanayohatarisha Usalama wa watu hasa uingizwaji wa madawa ya kulevya na Mexico ndio wanaoongoza na uhalifu mwingine. Mbali na madaya lakini pia ni kuzuia idadi kubwa sana ya illegal migrants wanaoingia kwa idadi kubwa sana.

Trump yupo sahihi na wanaompinga wanajua yupo sahihi ila nikutaka kumkwamisha tu kisiasa.[/QUOTE]

Trump hana usahihi wowote. Wakati wa kampeni alisema Mexico watatoa check ya gharama ya ujenzi wa ukuta, na kwa taarifa yako tu ni kwamba madawa ya kulevya yanaingizwa kupitia port of entry, wala si kwa kukatiza mbio mpakani. Hata terrorists wanaingia Marekani si Kwa kupitia panya road! Mfano mzuri ni wale vijana waliofanya maafa Sept 11 Trump anachotaka kufanya ni ku-Make America White Again! Kuzuia Non White immigrants kuingia Marekani!
 
Back
Top Bottom