Zipi ni Kero za Muungano? je unafaida kwa Tanganyika na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zipi ni Kero za Muungano? je unafaida kwa Tanganyika na Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by silver25, Apr 27, 2012.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani Wadau mimi bado sijajua ukweli.
  Nasikia tu Watu wanabishana kuhusu Muungano, wakisema hauna tija, Hivi Kero kuu ya Muungano zinazo sababisha mabishano hayo ni nini?
  Na Wakati nchi mbili zinaamua kuungana, kulikuwa na Makubaliano yepi?
  Je yaliwekwa kwenye file, yaani Memorandam of Understanding?
  Nini kunacho kusababisha wewe uone Muungano hauna tija au unatija?
  Je Mtu kutoka Zanzibar anahaki ya kuwa Raisi wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania? Kwa kufuata makubaliano hayo yaliyo fikiwa?
  Naomba Muni tatulie kidogo maana natatanika kuhusu hilo.
   
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kero za muungano ni muungano wenyewe.
  Ivi kaka mimi na wewe tukikubaliana kuwa marafiki tukaishi hivo kwa muda mara mie nikaamua nisiwe rafiki yako kwanini wewe ung'ang'anie kuwa rafiki yangu? I mean kwa nini Bara tunang'ang'ania kuwa na muungano na wakati upande wa pili hawautaki?
   
 3. s

  sauti nzito Member

  #3
  Apr 15, 2014
  Joined: Jan 5, 2014
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wengne hatuelewi tueleweshwe tunashabikia
  tu...


  Tanganyika icwepo au iwepo its not my concern nnachotaka maisha bora, kodi hasa
  PAYE ipungue..


  Wale wapemba waliojazana kariakoo warud kwao nataka kuanza kuuza duka langu
  kariakoo ajira Tanganyika hamna mmezishika
  nyie wazanzibar..


  ngja nianze kuangalia frem na viwanja
  kariakoo vya kumiliki..


  Wazanzibar tuwaache waendeleze nchi yao
  wanavyotaka ila wakija huku permit km kawa
  renewable in two years na watatakiwa walipe
  2,000usd ili kuzipata cjui zitakuwa class
  gan..!!!! Wale wapemba nlosoma nao cpat
  picha teh teh,


  Lkn ccm bla muungano c itarud kuwa TANU??
  Polen watawala, chama kikibadilika jina tunarudia uchaguz wa nchi nzima


  Wachaga busy kusaka maduka kariakoo so
  wapemba mtajiondoa wenyewe kwa kutaka
  serikali tatu..support without knowledge


  weekend walikuwa wanaenda zanzibar bla
  hata kuaga, muungano hamna lazma tuombe
  VISA, madem zetu wa kipemba byebye...


  Bakhresa nae arudishe viwanda vyake kwao
  pemba, opportunity kwa Mengi(IPP)..


  Juice ya bakhresa itauzwa 4,000/- kwa lita ili kupromote kutumia vya nyumban kutoka kwa
  mengi ambayo itauzwa 2,500/- kwa lita..discouraging importation..

  maembe ya
  zanzibar yatatosha kutengeneza juice za
  bakhresa kusambaza africa mashariki?
  opportunity for tanganyika to export to
  Zanzibar...


  Zanzibar itakuwa nchi ya kiislam, Tanganyika
  je?? Padri Mushi rudi nyumban Kilimanjaro
  muungano ushavunjika, so sad hyo sio nchi
  yako tena unachukuliwa kama adui, utumishi
  rudisha nyumban JK hana sauti tena
  huko....!!!


  Ntaomba kaz immigration kuhakikisha naondoa wapemba wote dar es salaam afu nickie
  vjana wa dar mnalalamika ukosefu wa ajira, discrimination..

  wapemba wote huku bara watapata jina jipya la "magaidi",mabomu yote yanayolipuka huku Arusha tutakuwa tunawakamata wao kwanza kusaidia upelelez, so sad cz nchi si sio ya kwao..!!!


  "is all of this is divide and rule tactics? struggle
  for power? racism?"


  Yetu macho cz muundo ulivyo hautuhusu kura
  yenyewe hatujawahi kupiga, tuna kadi za
  vyama vyote(opportunity seekers) tunaangalia
  opportunity inayojitokeza kwenye kila
  kinachofanywa..

  muungano ukivunjika
  nkimuona mpemba tu hata nauza juice
  namripoti immigration kama vle nmemuona
  mkongo..
   
 4. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2014
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Hizo ajira walizochukua wapemba wamejiajiri au wameajiriwa.? Uvivu tu. Walipa kodi hao kwa taarifa yako.
  Ekeni hata visa wataishi, umesikia wapi England kuwafukuza Scottish? Na wanataka kujitenga? matembezi na udugu yapo kabla ya muungano hivyo hakuna sababu ya kuwafukuza, tunata ka. Zanzibar huru. This is
   
 5. s

  stefanos Member

  #5
  Apr 16, 2014
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uoga wetu umetufanya tuwe masikini, tunashindwa kusema kweli tumekuwa taifa la watu waongo.
   
Loading...