Zipi dawa za mitishamba za kuondoa maumivu ya vifundo vya miguu (ankles)

Emmadogo

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,126
3,762
Kama kichwa habari hapo juu kinavyoeleza. Ni kuhusu ankles. Mimi ni kijana ambaye nachezaga mpira sana kama njia ya kuweka mwili fiti.

But miaka kama 3 _nyuma nilianza kuwa na maumivu ya enka hasa mtu akinikwatua basi mpk zipoe naweza kaa siku 2 ndio nicheze tena.

But nisipocheza wala sijisikii kabisa zikiuma. Na now tupo kazini so yapita mwaka sichezi kabisa mpira.

But juzi Kati nimepata likizo so nikasema ngoja niweke mwili fiti tena. Hapo ndio shida ikaanza tena. Nilitrot kama siku 3 niko poa but nikaanz soka sasa but now bila kukwatuliwa miguuni zinakiwa tu zinauma zenyewe navyosprint si wajua soka tena.

But vikicheza kama dkk 15 nakuwa naendelea poa but nikimaliza kucheza zinaanza kuuma na kutembea inakuwa shida but nikitembea tena mkwa mda zinapoa but now inanikera so nahitaji matibabu kamili.

Ulaya tunaona wachezaji wakifanyiwa operation za ankles then wanakuwa poa kama zamani

But kibongo nisijepasuliwa kichwa badala ya miguu.

Pamoja na ushauri ntakaopata hapa wa kidaktari hivi hakuna dawa za miti shamba zinazoweza kumaliza hili tatizo? Sio waganga wa tunguli..I mean mitishamba.

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom