zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

Weka picha ya hilo dudu na hiyo zipu iliyobana dudu. Wengine wagumu kuelewa maandishi zaidi ya picha.
 
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia

Hahahahaaa!Kwenye ngozi au kwenye zile nywele?Wee weee si mchezo mi ilinasa kwenye nywele zetu zilee!Kuna uzi humu tumeambiwa tunyoe jamani!!
 
Ishawahi nitokea hii kitu.
Dudu alivimba wk mbili sijananilii ma mama yoyoyo wangu.
Kama rungu la Mpangwa vile.!
 
Back
Top Bottom