Zingatia wakati wa kutuma maombi ya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zingatia wakati wa kutuma maombi ya kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mtabe, Jun 25, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau napenda kuwaletea humu jamvini vitu muhimu vya kuzingatia kwenye CV wakati wa kuomba kazi sehemu mbalimbali. i.e.

  JOB APPLICATION FORMAT
  ------------------------------------------------------------------------------------------------------------
  POST:

  1. PERSONAL DATA
  Name
  Contact Address
  E-mail Address
  Gender
  Nationality
  Date of Birth

  2. ACADEMIC QUALIFICATIONS

  3. PROFESSIONAL SKILLS/EXPERTISE

  4. RELEVANT WORK EXPERIENCE

  5.LIST OF PUBLICATIONS (IF ANY)

  6. OTHER RELEVANT SUPPORTING INFORMATION

  7. HOBBIES

  8. REFEREES (MAXIMUM 3) AND DAY TIME TELEPHONE CONTACT
   
 2. GreatMkubwa

  GreatMkubwa Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Asante kwa hili mkuu, hao referees maximum three, mimi nemeweka wanne na cv ishaanza kutembea maofisini vip kuna hatari yoyote hapo :ranger:
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hakuna hatar yeyote, cv ni mbwembwe 2....utaishia kupata kaz za lak 2 au 3...ila kaz nzur bila refa sahau
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hawa marefa naweza weka relatives wangu. Does it matter. Like ma dad, uncle, bro, mum you name it.??.
   
 5. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,421
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu
   
 6. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wamepata kazi bila hata ya kuandika CV.
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi nafikiri referees lazima awe mtu mwenye uelewa wa mambo na awe anakufaham.

  mwanajiri anaweza wasiliana nae na kumwambie akuandikie rikomendesheni sasa akiwa mtu asie weza kukuelezea vizuri na kuonyesha uwezo wako kaz yaweza kuwa hatihati.
  (haya ni mawazo yangu tu)
   
 8. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  mkuu nashukuru sana mimi nimemaliza chuo Udsm,kuna kazi naimezea.ahsante kwa kunipa CV format.nitaitumia soon.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Referee anapaswa kuwa mtu uliyefanya nae kazi kiasi (labda kukusimamia research/desertation, supervisor wa field practicals etc). Na unaandika jina lake na cheo chake.
   
Loading...