Zingatia matumizi sahihi ya dawa

Asha Hincha

Member
Jul 13, 2021
15
15
kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu,

Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya kutumia dawa husikana kama kuna kitu kina kutatiza ama hukielewi muulize mtaalamu wako.

Dawa hiyo hiyo inaweza kuwa tiba lakini inaweza kuwa sumu vilevile isipotumika kwa usahihi.

Epuka kujitibu(self medication), sio kila dawa iliyomfaa fulani nawe itakufaa,au salama kwa fulani nawe ni salama kwako, lakini kujitibu bila kuwa na uhakika wa tatizo lako la kiafya ni kama kuugeuza mwili wako kama sehemu ya majaribio.

a4.png
 
Thank you
 
Back
Top Bottom