Zingatia huu umri jamani! Ana maanisha au kuna ki2 kinamsumbua kichwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zingatia huu umri jamani! Ana maanisha au kuna ki2 kinamsumbua kichwa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, May 17, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dogo ana miaka 22, kamaliza form 6 mwaka jana, hata chuo hakwenda. Hivi juz 2kiwa kwenye kambi mmoja ambalo liko mbali kidogo na wasichana kwa muda wa miezi ka 5 chali alitutamkia nia yake LIVE kuwa anataka kuoa, hapo hapo anataka kwenda chuo!
  Sasa mi najiuliza ni ki2 gani hasa kilimtuma kusema maneno yale.
  Mbarikiwe wana carpet.
   
 2. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo ilitakiwa aulize ,anaoa mtu wa namna gani maana kuna watu wana pesa zao shida yao ni kuolewa tu, lakini kama ni kuoa kwa maana ya kubeba majukumu huyo kijana bado sana ,namshauri amalize chuo kwanza
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mara nyingine ni vizuri ukamuuliza muhusika uelewe then hapa utuletee nivipi umejaribu mshauri na kama ushauri haujafaa na sie tuchangie what to do... Umeanzia mbali kutuuliza ni kwanini kamuua hivyo badala ya kumuuliza utupe jibu lake then tujitahidi kadri ya uwezo wetu kuchangia..
   
Loading...